1. Home
UGONJWA WA HOMA YA INI B

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa homa ya ini B ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya hepatitis B. Sio rahisi kwa watoto kuambukizwa ugonjwa huu wa homa ya ini B, isipokuwa watoto walioambukizwa wakati wa ujauzito au wakati wa kuzaliwa. Watoto walioambukizwa wanaweza kubakia na maambukizi ya ugonjwa huu maisha yao yote. Nini dalili za ug...

UGONJWA WA HOMA YA INI C

Maelezo ya jumla Sio rahisi kwa watoto kuambukizwa ugonjwa wa homa ya ini C, isipokuwa wanaoambukizwa wakati wa kuzaliwa. Watu wengi wanaoambukizwa ugonjwa wa homa ya ini C hubakia na maambukizi maisha yao yote (ugonjwa sugu). Nini sababu ya ugonjwa huu Virusi wa hepatitis C Nini dalili za ugonjwa wa homa ya ini C Wa...

UGONJWA WA HOMA YA INI A

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa homa ya ini A ni ugonjwa wa ini unaosababishwa na virusi wanaoitwa hepatitis A. Dalili za ugonjwa wa homa ya ini A huanza ghafla, , na. Mkojo unaweza kuwa na rangi kama chai au soda ya cocacola, kinyesi chenye rangi iliyofifia, na manano kwenye macho au ngozi hutokea siku chache baadae. Watoto weng...

UGONJWA WA DEMENTIA (UGONJWA WA KUSAHAU)

Ugonjwa wa dementia (Ugonjwa wa kusahau) ni nini? Ugonjwa wa dementia (Ugonjwa wa kusahau) ni ugonjwa unaosababisha mgonjwa , kupungua kwa uwezo wa kufikiria, kuongea na mabadiliko katika hisia na tabia. Ugonjwa wa dementia unasababishwa na uharibifu kwenye ubongo unaosababisha seli za ubongo kushindwa kuwasiliana vizuri. Kama mgonjwa aki...

Categories: 
KUUMIA AU JERAHA LA JICHO

Maelezo ya jumla Ni rahisi sana kupata jeraha la jicho yanayotokana na kupigwa. Macho yanaweza kupata majeraha pia yanayosababishwa na vitu vyenye ncha kali kama vile vipande vya kioo, au uchafu au vumbi inayoingia machoni. Kemikali zinaweza pia kurukia machoni na bidhaa nyingi za kusafishia nyumba zinaweza kusumbua jicho zikiingia. Kuna...

Categories: 
KUUMIA/ JERAHA LA KICHWA

Maelezo ya jumla Majeraha yote ya kichwa ni hatari. Kupigwa kichwani kunaweza kusababisha damu kuvia kwenye ngozi, jereha la kichwa linalovuja damu au wakati mwingine kusababisha kabisa. Kuna hatari ya kuvunjika kwa fuvu la kichwa, kukandamizwa kwa ubongo na au kuvimba kwa ubongo kwa sababu ya kuumia kwa tishu zake. Dalili ni kama vile,...

Categories: 
KUTEGUKA AU KUVUNJIKA MFUPA

Maelezo ya jumla Kuvujika mfupa ni hali ya kupata ufa au mvujiko kwenye mfupa kwa sababu ya kupigwa na kitu kizito au kwa sababu ya kukunja au kuzungusha mfupa kwa ghafla. Mfupa uliovunjika unaweza kutoboa ngozi na kutokeza nje au unaweza usitokeze nje japo umevunjika. Kuteguka ni hali ya kuvutwa au kutenganishwa kwa mifupa miwili ambayo...

Categories: 
KUPOTEZA FAHAMU

Maelezo ya jumla Kupoteza fahamu ni tatizo linaloweza kutishia maisha. Tatizo hili linaweza kusababishwa na sababu nyingi, hii ni pamoja na jeraha baya la kichwa; ; kupungua kwa mzunguko wa damu mwilini; sumu; matatizo ya upumuaji; au ugonjwa mkali sana. Mtu ambaye amepoteza fahamu hawezi kushtushwa na kelele kubwa. Macho yanaweza kuwa ya...

Categories: 
MMENYUKO MKALI WA MZIO

Maelezo ya jumla Baadhi ya watu hupatwa na hali hatari inayoweza kuhatarisha maisha baada ya kuumwa na mdudu, kula baadhi ya vyakula kama vile njugu au samaki, au kutumia madawa fulani. Mshtuko huu unaotokana na mmenyuko mkali au mjibizo mbaya wa ‘’allergic reaction’’ huitwa ‘’anaphylactic shock’’ kitaalamu. Dalili za...

Categories: 
KUUMWA NA MDUDU

Maelezo ya jumla Kuumwa na mdudu kama nyigu au nyuki huleta maumivu, na eneo lililoumwa linaweza kuvimba, kuwa jekundu na linalowasha kwa siku 1 au 2. Kuumwa na kiroboto na mbu kunaweza kusababisha uvimbe unaowasha, na kuumwa na kupe kunasababisha uvimbe, mwekundu, unaoonekana kama ushanga. Kupe wanaweza kueneza magonjwa kwa hiyo wanapasw...

Categories: