Maelezo ya jumla
Vidonda vya tumbo (peptic ulcers) ni vidonda kwenye ukuta wa tumbo au duodeni (mwanzo wa utumbo mdogo). Vidonda vya tumbo vinawapata watu wengi siku hizi: Mmoja kati ya Watu 10 hupata kidonda kwa wakati fulani k...
Maelezo ya jumla
Rovu (goitre) ni hali ambayo husababisha kuvimba kwa tezi dundumio (thyroid gland ). Sababu kubwa inayosababisha kuvimba kwa tezi dundumio ni ukosefu wa madini ya joto (iodine) katika mlo...
Maelezo ya jumla
Saratani ya mapafu (lung cancer) ni kansa inayowapata watu wengi duniani kote. Ni kansa inayoongoza kwa kusababisha vifo kwa wanaume na wanawake nchini Marekani. Uvutaji wa sigara ni sababu kuu ya kutokea kwa kansa n...
Maelezo ya jumla
Kifua kikuu (Tuberculosis) ni maambukizi ya bakteria yanayoua zaidi ya watu milioni 1.8 kote duniani. Takribani watu milioni 10.4 duniani wameambukizwa kifua kikuu. Kifua kikuu ni ugonjwa unaoweza kuua 60% ya wa...
Maelezo ya jumla
Angina ni aina ya usumbufu au maumivu ya kifua ambayo yanatokea kama matokeo ya inayopeleka okisijeni kwenye misuli ya moyo, okisijeni inapopungua inashindwa kukidhi mahitaji ya misuli ya moyo na kusababisha Maum...
Maelezo ya jumla
Kifafa (epilepsy) ni ugonjwa wa ubongo unaotokea kama muundo na shughuli za neva kwenye ubongo umevurugika .Ugonjwa wa kifafa unaweza kusababishwa na majeraha ya kichwa, na magonjwa mengine ya mishipa ya damu, , maambukizi kwenye ubongo yanayoweza kusababisha uvimbe wa ta...