
Maelezo ya jumla Matege (bowlegs) huchukuliwa kuwa jambo la kawaida kwa watoto chini ya miezi 18. Mtu mwenye matege akisimama mguu sawa magoti hayagusani, magoti huwa mbali mbali kama vifundo vya miguu vimekutanisha. Je, nini dalili za matege? Magoti hayagusani akisimama mguu sawa (vifundo vya miguu vikiw...