
Maelezo ya jumla Kimeta (Anthrax) ni ugonjwa wa kuambukiza,unaopatikana kote duniani, unasababishwa na Bacillus anthracis. Bacillus anthracis ni bakteria anayetengeneza chembe (spores) ambazo husambaza ugonjwa huu. Ugonjwa huu mara nyingi huwapata wanyama wanaokula majani, hasa kabla hawajapewa chanjo....

Maelezo ya jumla Fistula/nasuri kwenye njia ya haja kubwa (anal fistula) ni mferiji usio wa kawaida unaotengenezeka kuunganisha njia ya haja kubwa na ngozi. Watu waliokuwa na jipu kwenye njia ya haja kubwa wana uwezekano mkubwa wa kupata shida hii. Dalili zake ni maumivu, kutokwa uchafu,damu au usaha, kuwashwa sehemu ya haja kubw...

Maelezo ya jumla Kansa ya njia ya haja kubwa ni kansa kwenye mfumo wa kumeng’enya chakula. Mkundu ni sehemu ya mfumo wa kumeng’enya chakula ,inayoruhusu kinyesi kutoka nje.Imeundwa kwa aina tofauti za seli, na kila aina inaweza kuwa na kansa. ndio aina ya saratani ya njia ya haja kubwa inayowapata watu wengi zaidi kuliko zingine. Dal...

Maelezo ya jumla Ufa kwenye njia ya haja kubwa (anal fissure) ni hali inayotokana na kuchanika au kupasuka kwa utando utelezi (mucosa) unaoifunika sehemu ya chini ya rektamu Je! Nini dalili za ufa kwenye njia ya haja kubwa? Nyufa kwenye njia ya haja kubwa zinaweza kusababisha maumivu wakati wa kwenda haja kubw...

MAAMBUKIZI KWENYE NJIA YA MKOJO Maelezo ya jumla Mambukizi kwenye njia ya mkojo (urinary tract infection (UTI)) yanaweza kutokea mahali popote kwenye njia ya mkojo. Maambukizi haya yana majina tofauti, kulingana na sehemu ilioambukizwa. Maambukizi katika kibofu cha mkojo huitwa cystitis, maambukizi kwenye figo moja au zo...