1. Home
  2. Archives
MSHTUKO WA MOYO/SHAMBOLIO LA MOYO

  Maelezo ya jumla Shambulizi la moyo (heart attack) hutokea pindi tu mtiririko wa damu kuelekea kwenye misuli ya moyo unapokatishwa. Ikiwa mtiririko wa damu haukurejeshwa haraka misuli ya moyo huharibika/kufa kutokana na ukosefu wa oksijeni. shambulio la moyo linaongoza kwa kusababisha vifo kwa wanaume na wanawake nchini...

SHINIKIZO LA JUU LA DAMU

Maelezo ya jumla Shinikizo la juu la damu (Hypertension), ni hali ya muda mrefu ambapo shinikizo la damu katika mishipa huwa juu saana [1] Shinikizo la damu ni nguvu ya damu inaposukumwa/kukandamizwa dhidi ya kuta za mishipa wakati wa kutiririka. Kila wakati moyo unapopiga, unasukuma damu ndani ya mishipa. Shinikizo la damu ni...

KIHARUSI

Maelezo ya jumla Kiharusi (stroke) ni hali inayomtokea mtu kunapokuwepo na kizingiti kinachozuia damu kufika katika sehemu fulani ya ubongo.Wakati mwingine kiharusi huitwa "shambulio la ubongo." Je! Nini dalili za kiharusi...

KANSA/SARATANI

Maelezo ya jumla Saratani (cancer) ni ukuaji wa seli sizizo za kawaida mwilini usio na udhibiti. Dalili Dalili za kansa hutegemea ni aina gani ya kansa na eneo la mwili ilip...

CHUNUSI

CHUNUSI Maelezo ya jumla Chunusi (acne) ni hali ya muda mrefu ya ngozi ambayo husababisha kutokea kwa vipele na madoa meupe na/au meusi. Je, nini dalili za chunusi? Chunusi kwa kawaida huto kea kwenye uso na mabega, lakini pia zinaweza kutokea kwenye kiwiliwili, mik...

Categories: