
Maelezo ya jumla Pepopunda (tetanus) ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria. Bakteria hawa huishi kwenye udongo, mate, vumbi na mbolea. Bakteria hawa mara nyingi huingia mwilini kupitia kwenye kidonda, mfano unapojikata na kisu au unapochomwa na msumari. Je! Nini dalili za pepopunda? Maambukizi ya ugonjwa huu husababish...