1. Home
  2. Archives
MAUMIVU WAKATI WA HEDHI

Maelezo ya jumla Hedhi ni hali ya kawaida kwa wanawake, wanawake hutokwa na damu ukeni kwa siku kadhaa na mara nyingi hutokea kila mwezi mara moja. Hali hii huwapata wanawake walio katika umri wa kuzaa, yaani wale ambao wamekwisha vunja ungo tayari. Mzunguko wa hedhi ambao ni wa kawaida ni ule ambao hua...

KIZUNGUZUNGU

Maelezo ya jumla Kizunguzungu (dizziness) ni hali ya kuhisi kama unataka kuzimia, unatetereka, unapoteza balance au kuhisi kama wewe au chumba ulichomo kinazunguka. Sababu nyingi za kizunguzungu hazitishii maisha na hupoa zenyewe baada ya muda Fulani au baada ya matibabu. Ni nini husababisha kizunguzungu? Kizunguzungu hutokea u...

UVUTAJI WA SIGARA

Hatari za kuvuta sigara Uvutaji wa sigara huongeza uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo. Baadhi ya bidhaa zinazotumika kutengeneza sigara husababisha kusinyaa na hata kuziba kwa mishipa ya damu, hali hii husababisha au . Kulingana na utafiti uliofanywa na timu ya watafiti wa kimataifa, watu chini ya miaka 40 wana uwezekano mk...

KIBWIKO

Maelezo ya jumla Mtoto mwenye kibwiko (clubfoot) huzaliwa na miguu au mguu wenye wayo uliogeukia ndani au nje. Hali hii huwepo wakati mtoto anapozaliwa. Ni nini dalili za kibwiko? Mwonekano wa mguu hutofautiana. Mguu mmoja au yote inaweza kuathirika. Wayo wa mguu hugeukia ndani au nje anapozaliwa, na inaweza kuwa ngumu kuiny...

MTINDIO WA UBONGO

Maelezo ya jumla Mtindio wa ubongo (cerebral palsy),ni hali inayosababishwa na matatizo ya ubongo inayopelekea kuvurugika kwa shughuli za mfumo wa neva kama vile kujongea, kujifunza, kusikia, kuona na kufikiri. Neno utindio wa ubongo linatumika kuwakilisha matatizo yote ya mfumo wa neva yanayotokea utotoni na yanayothiri mjongeo na mis...

Categories: 
KICHEFUCHEFU NA KUTAPIKA

Maelezo ya jumla Kichefuchefu (nausea) ni hisia ya kuwa na hamu ya kutapika. Kutapika ni hali ya kutupa yaliyomo tumboni kupitia kinywani. Nini husababisha kichefuchefu na kutapika? Matatizo mengi ya kawaida yanaweza kusababisha kichefuchefu na kutapika: wa chakula Maambukizi ya tumbo au utumbo, kama v...

KONDOMU

1. Kondomu za kiume Kondomu ni kiwambo chembamba kinachovaliwa kwenye uume wakati wa kujamiiana. Ukitumia kondomu itasaidia : Kuzuia ujauzito kwa mwenzi wako Maambukizi kutoka kwako kwenda kwa mwenzi wako au kutoka kwake kuja kwako. ni kama , (warts), malengelenge ukeni au kwenye uume na ukimwi. Kon...

Categories: 
MAGONJWA YA NGONO

Maelezo ya jumla Magonjwa ya ngono (Sexual transmitted diseases) ni magonjwa yanayoambukiza kwa njia ya tendo la kujamiiana na mtu aliyeambukizwa magonjwa hayo bila kutumia . Matendo ya kujamiiana hujumuisha kuingiza uume ukeni au kwenye sehemu ya haja kubwa na kunyonyana sehemu za siri, Magonjwa haya huweza kuwapata watu wa rika...

UGONJWA UNAOTOKANA NA KUWA KATIKA ENEO LILILO JUU SANA KUTOKA USAWA WA BAHARI

Maelezo ya jumla Ugonjwa unaotokana na kuwa katika maeneo yaliyo juu sana kutoka usawa wa bahari  (altitude sickness), huu ni ugonjwa unaowapata watu wanaopanda milima, wanaoruka angani kwa parachuti au wanaosafiri kwenda kwenye maeneo yaliyo juu sana kutoka usawa wa bahari (kwa kawaida juu sana kuliko futi 8000 u mita 2400). Nini d...

KISUKARI AINA YA 1

Maelezo ya jumla ni ugonjwa ambao mgonjwa huwa na kiwango cha juu cha sukari kwenye damu kuliko kawaida. Kisukari aina ya 1 huwapata zaidi watoto na vijana wadogo. Mwili wa mgonjwa wa kisukari aina ya 1 hautengenezi insulini. Mfumo wa kinga ya mwili hushambulia na kuharibu seli za kongosho zinazozalisha insulini. Insulini ni homoni inayo...