1. Home
  2. Archives
KISUKARI AINA YA 2

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa kisukari (diabetes), mgonjwa wa kisukari huwa na kiwango cha juu cha sukari kwenye damu kuliko ilivyo kawaida. Aina ya pili ya (type 2 diabetes), ndiyo aina ya kisukari inayowapata watu wengi zaidi, karibia 90-95% za wagonjwa wote wanaotambuliwa kuwa na huwa na aina hii ya kisukari. Wagonjwa...

SARATANI YA SHINGO YA MLANGO WA KIZAZI

Maelezo ya jumla Saratani ya shingo ya mlango wa  kizazi (cervical cancer) ni aina ya ambayo huathiri tishu za shingo ya kizazi (shingo ya kizazi ni kiungo kinachounganisha uke na mji wa mimba(uterasi)). Ni saratani ambayo kwa kawaida hukua taratibu sana na kwa kificho, inaweza isisababishe dalili yoyote mwanzoni, lakini inaweza kugundu...

KUONGEZA NJIA WAKATI WA KUJIFUNGUA

Maelezo ya jumla Kuongeza njia wakati wa kujifungua ( Episiotomy) ni utaratibu unaofanyika kwa kuchana ngozi iliyo kati ya uke na mkundu. Kuongeza njia wakati wa kujifungua hufanyika ili kupanua uke wa mwanamke ili mtoto anayezaliwa apite kwa urahisi. Je, Kuongeza njia kunafanyikaje? Kabla tu ya mtoto kuzaliwa, mkunga au daktar...

UGONJWA WA FIZI

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa fizi (gingivitis) husababisha kuvimba kwa fizi. Dalili za ugonjwa wa fizi? Kutokwa damu kwenye fizi (unakuta damu kwenye mswaki hata kama ukisugua polepole meno) Kuwa na fizi zenye rangi nyekundu sana au zenye rangi ya zambarau Kuwa na fizi zinazouma ukizi...

Categories: 
UASTIGMATI

Maelezo ya jumla Uastigmati (Astigmatism) ni dosari katika jicho/lenzi unaozuia fokasi sahihi ya mwanga kwenye retina (refrative error). Retina ni sehemu  inayopokea nuru ndani ya jicho. Mtu mwenye uastigmati haoni vizuri. Je, nini dalili za uastigmati? Uastigmati unaweza kusababisha dalili kama vile:...

Categories: