Madaktari wetu
wanapatikana, 24/7

Jopo la madaktari waliosajiliwa pamoja na wataalam wa afya,
Wapo tayari kusikiliza tatizo lako,kujibu maswali yako kisha kukutengenezea mpango wa matibabu kwa ajili yako.
Ongea na DaktariMsaada wa Dharura

Ushauri

Pata ushauri na majibu ya maswali yako kuhusu hali yako ya kiafya,
bila wasiwasi wa taarifa zako za siri za kitabibu.

Ongea na Daktari

Huduma Kamili Mtandaoni

Madaktari wetu wapo 24/7 kukuhudumia, wakati wote na mahali popote ulipo utahudumiwa.

Ongea na Daktari

Wataalamu Waliobobea

Kundi la madaktari waliosajiliwa na baraza la madaktari na wenye nia ya kuihudumia jamii.

Ongea na Daktari

Huduma Wakati Wote

Unganishwa na daktari haraka ndani ya dakika chache, wakati wowote, weekend, sikukuu hata usiku.

Ongea na Daktari

Pata ushauri wa Daktari mtandaoni kama una wasiwasi kuhusu afya

Shauriana na daktari aliyethibitishwa kuhusu dukuduku la kiafya ulilonalo kupitia mtandao

Mafua, Homa, Kikohozi

Ongea na Daktari

Matatizo ya uzazi

Ongea na Daktari

Matatizo ya ngozi

Ongea na Daktari

Mambukizi ya njia ya mkojo.

Ongea na Daktari

WikiElimu ni mshauri nambari moja wa huduma za afya katika mtandao

Uwepo wa madaktari wazoefu katika mtandao wakati wote, unatoa nafasi ya kupata ushauri, majibu ya maswali yako na kuandaa mpango wa matibabu utakaokufaa wewe binafsi.

Wataalamu wa afya waliobobea

Tunasikiliza na kuyapa kipaumbele mahitaji yako na kisha kuchukua hatua pale tu inapofaa kwa ustawi wa afya yako

Huduma za viwango vya juu kabisa

Tunajinoa na kuimarisha ustadi wa taaluma yetu kila siku ili kuwa hodari katika kutoa huduma ya afya unapoihitaji.

Tunafahamu mipaka yetu

Japo madaktari wetu wanaweza kutibu magonjwa mengi, yapo ambayo hatuwezi kuyatibu mtandaoni.

Makala za Hivi Karibuni

Angalia Makala za afya zilizoandikwa hivi karibuni kuhusu, mazoezi, mlo, ulaji, uzazi na kulea, mahusiano, dawa, magonjwa, na kuishi kwa afya
kuogelea
KUAMBUKIZWA/KUPATA UGONJWA WAKATI WA KUOGELEA

Unaweza kuambukizwa ugonjwa kwa kuogelea? Kuogelea kwa kawaida ni shughuli nzuri na salama. Unaweza kupata ugonjwa kama maji unayoogelea yana […]

Magonjwa ya ngono
MAGONJWA YA NGONO: Sababu, dalili, matibabu

Magonjwa ya ngono ni nini? Magonjwa ya ngono – ni maambukizi ya magonjwa yanayoenezwa kwa kufanya ngono isiyo salama. Endapo […]

kumeza kidude
MTOTO KUMEZA KITU/KIDUDE: Nini cha kufanya?

Je, ninapaswa kuwa na wasiwasi kuwa mtoto atameza vidude? Kumeza kitu – watoto wanaweza kumeza kitu bila kutarajia. Mara nyingi, […]

MBWA
KUEPUKA KUUMWA/KUNG’ATWA NA MBWA

Kuepuka kuumwa/kung’atwa na mbwa? Mbwa wengi hawana tabia ya kung’ata watu. Lakini unaweza kuumwa/kung’atwa na mbwa kama atahisi kutishiwa. Watoto […]

kuungua kwa watoto
KUUNGUA:Unachotakiwa kujua

Kuungua kunasababishwa na nini? Mtu yoyote anaweza kuungua. Kwa Watoto wadogo, majeraha mengi ya kuungua yanasababishwa na kukaa sana kwenye […]

upasuaji wa kupunguza uzito
UPASUAJI WA KUPUNGUZA UZITO WA MWILI:Unachohitaji kujua

Upasuaji wa kupunguza uzito wa mwili ni nini? Upasuaji wa kupunguza uzito wa mwili hupunguza ukubwa wa tumbo na kulifanya […]

ugonjwa wa glaukoma
UGONJWA WA GLAUKOMA (PRESHA YA MACHO)

Ugonjwa wa glaukoma (presha ya macho) ni nini? Ugonjwa wa glaukoma (presha ya macho) – Ni ugonjwa wa macho ambao […]

Ujauzito kutungwa nje ya mji wa mimba
UJAUZITO KUTUNGWA NJE YA MJI WA MIMBA

Ujauzito kutungwa nje ya mji wa mimba ina maana gani? Ujauzito kutungwa nje ya mji wa mimba ni pale mtoto […]

mimba iliyozidi umri
MIMBA/UJAUZITO ULIOZIDI UMRI WA KUJIFUNGUA

Mimba/ujauzito uliozidi umri wa kujifungua ni nini? Mimba/ujauzito uliozidi umri wa kujifungua ni mimba iliyozidi wiki mbili baada ya siku […]

MTOTO ANAPOKUNYWA SUMU: Nini cha kufanya

Nawezaje kupunguza uwezekano wa mtoto kunywa sumu? Matukio mengi ya watoto kula au kunywa sumu hutokea nyumbani. Unapaswa kuweka mbali […]

ugonjwa wa parkinson
UGONJWA WA PARKINSON: Sababu, dalili, matibabu

Ugonjwa wa Parkinson ni nini? Ugonjwa wa Parkinson ni ugonjwa wa ubongo unaowaathiri zaidi wazee. Unatokea kwa sababu sehemu za […]

FIGO KUSHINDWA KUFANYA KAZI:Sababu,dalili,matibabu

Ni nini maana ya figo kushindwa kufanya kazi? Figo kushindwa kufanya kazi ni tatizo linalotokana na figo kushindwa kutekeleza majukumu […]

ugonjwa sugu wa figo
UGONJWA SUGU WA FIGO:Sababu, dalili, matibabu

Ugonjwa sugu wa figo ni nini? Ugonjwa sugu wa figo unatokea baada ya figo kuharibiwa na kusababisha zishidwe kusafisha damu […]

SARATANI YA OVARI: Sababu, dalili, matibabu

Saratani ya ovari ni nini? Saratani ya ovari ni kansa inayoanzia kwenye ovari. Ovari ni viungo vidogo vinavypatikana upande wa […]

SARATANI YA MJI WA MIMBA:Sababu,dalili,matibabu

Saratani ya mji wa mimba ni nini? Saratani ya mji wa mimba ni saratani inayotokea kwenye utando wa ndani wa […]

SARATANI YA KIZAZI: Sababu, dalili, matibabu…

Saratani ya kizazi ni nini? Saratani ya kizazi (endometrial cancer) ni saratani inayotokea kwenye utando wa ndani wa mji wa […]

SHINIKIZO/ PRESHA WAKATI WA UJAUZITO: Sababu…

Shinikizo la juu la damu ni nini? Presha wakati wa ujauzito – Kuongezeka kwa shinikizo la damu (pia huitwa shinikizo […]

VIDONDA KWENYE SEHEMU ZA SIRI: Sababu, matibabu

Vidonda kwenye sehemu za siri ni nini? Vidonda kwenye sehemu za siri – kuna vidonda vinavyopatikana kwenye uume au uke […]

UGONJWA WA HASHIMOTO:Sababu, dalili, matibabu

Ugonjwa wa hashimoto ni nini? Ugonjwa wa hashimoto ni tatizo la tezi dundumio. Tezi dundumio ni tezi iliyopo kwenye sehemu […]

shahawa zenye damu
SHAHAWA ZILIZOCHANGANYIKA NA DAMU

Tatizo la Shahawa zilizochanganyika na damu ni nini? Shahawa zilizochanganyika na damu ni tatizo la kuwa na shahawa zilizochanganyikana na […]

saratani ya kongosho
SARATANI YA KONGOSHO:Sababu, dalili, matibabu

Saratani ya kongosho ni nini? Kongosho ni kiungo kilicho karibu na tumbo na kinafanya kazi ya kudhibiti kiwango cha sukari […]

TATIZO LA MTOTO KUCHELEWA KUONGEA

Mtoto kuchelewa kuongea maana yake nini? Kuchelewa kuongea kunaweza kusababisha mtoto kuwa na shida kutamka baadhi ya maneno na sentensi, […]

usonji
UGONJWA WA USONJI: Sababu, dalili, matibabu

Usonji ni nini? Usonji ni neno mwamvuli linalotumika kuelezea matatizo ya tabia na kushindwa kuwasiliana. Dalili za usonji zinaweza kuwa […]

MAWE KWENYE MFUKO WA NYONGO:Sababu, dalili

Mawe kwenye mfuko wa nyongo ni nini? Mawe kwenye mfuko wa nyongo – Mfuko wa nyongo ni kiungo kinachotumika kutunzia […]

KUTETEMEKA :Sababu,matibabu,kuzuia

Kutetemeka ni nini? Kutetemeka ni hali ya kutikisika, kushtuka au mpapatiko inayotokea kwenye sehemu ya mwili bila hiari yako mwenyewe. […]

KUPUNGUA KWA UWEZO WA KUONA NA UPOFU

Kupungua kwa uwezo wa kuona na upofu ni nini? Kupungua kwa uwezo wa kuona ni neno linalotumiwa kuwakilisha watu wenye […]

KUCHOMA SINDANO ZA SUMU YA BOTULINUM – Botox

Kuchoma sindano za sumu ya botulinum kupunguza mikunjo ya ngozi? Sindano za sumu ya botulinum ni bidhaa zinazotumika kupunguza au […]

KORODANI AMBAZO HAZIJASHUKA KWENYE PUMBU

Korodani ambazo hazijashuka kwenye pumbu ni nini? Korodani ambazo hazijashuka kwenye pumbu – Korodani ni moja ya kiungo cha mwili […]

DAWA ZA KULEVYA: Sababu, matumizi, madhara

Dawa za Kulevya ni Nini? Dawa za kulevya ni kemikali ambazo ziingiapo mwilini huathiri ubongo wa mtumiaji na kumsababishia kuwa […]

ATHARI ZA MABADILIKO YA HALI YA HEWA KWA AFYA

Mabadiliko ya hali ya hewa nini? Mabadiliko ya hali ya hewa yanatokana na kupanda kwa joto katika uso wa dunia. […]

ugonjwa wa selimundu
UGONJWA WA SELIMUNDU (SIKOSELI) – mtoto akiwa na sikoseli

Ugonjwa wa selimundu (sikoseli) ni nini? Ugonjwa wa selimundu (sikoseli) ni aina ya ugonjwa wa damu unaorithiwa na Watoto kutoka […]

UFANYE NINI UNAPONYANYASWA KWENYE MAHUSIANO

Nitajuaje kama ninafanyiwa unyanyaswaji kwenye mahusiano? Unaponyanyaswa kwenye mahusiano – unaweza kujihisi uoga au kutojiami unapokuwa pamoja na mwenzi wako. […]

TATIZO LA KUVUJA/KUTOKWA MAZIWA KWENYE MATITI

Tatizo la kuvuja/kutokwa maziwa kwenye matiti? Tatizo la kuvuja/kutokwa maziwa kwenye matiti ni tatizo la kuvuja maziwa kutoka kwenye matiti […]

SARATANI YA KORODANI :Sababu, dalili, matibabu

Saratani ya korodani na inampata nani? Saratani ya korodani ni saratani inayoanzia kwenye moja au korodani zote. Korodani zinakaa ndani […]

SARATANI YA KOO:Saratani,dalili,matibabu,kuzuia

Saratani ya koo (umio) ni nini? Saratani ya koo (umio) ni saratani inayotokea kwenye bomba linalounganisha mdomo na tumbo linaloitwa […]

MENO: Yanaota lini, matundu, usafi, matibabu

Ni lini meno ya mwanao yatakapo tokeza? Kila mtoto ni tofauti, lakini meno kwa kawaida huanza kuota anapofikia umri wa […]

UGONJWA WA LUPUS :Sababu, dalili, matibabu

Ugonjwa wa lupus ni nini? Ugonjwa wa lupus ni ugonjwa wa kinga ya mwili unaoweza kuathiri sehemu nyingi za mwili. […]

JIWE / MAWE KWENYE FIGO :Dalili,sababu,matibabu

Jiwe/mawe kwenye figo ni nini? Jiwe/mawe kwenye figo ni vijiwe vidogo vinavyotengenezwa na mwili kwa kuunganisha mabaki ya taka mwili […]

MAUMIVU WAKATI WA KUKOJOA : Sababu, matibabu

Maumivu wakati wa kukojoa ni nini? Maumivu wakati wa kukojoa ni hali ya kuhisi maumivu wakati wa kukojoa inayotokana na […]

NJIA ZA KUDHIBITI UZITO / KUPUNGUZA UZITO WA MWILI

Kupunguza au kudhibiti uzito ni nini? Ili kusema umeweza kudhibiti uzito wako wa mwili, ni lazima uwe umeweza kupunguza uzito […]

TATIZO LA KUKOSA HEDHI: Sababu,matibabu, kuzuia

Tatizo la kukosa hedhi ni nini? Tatizo la kukosa hedhi ni hali ya kutokuanza kupata damu ya hedhi unapofikia balehe […]

KUUMWA NA NYOKA: Dalili, cha kufanya, matibabu

Niepuke vipi kuumwa na nyoka? Unaweza kufanya yafuatayo ili kupunguza uwezekano wa kuumwa na nyoka: Epuka kwenda kwenye maeneo wanapoishi […]

KIGUGUMIZI :Ni nini, sababu, matibabu

Kigugumizi ni nini? Kigugumizi ni tatizo la kuzungumza linalosababisha iwe ngumu kusema baadhi ya maneno au sauti. Watu wenye kigugumizi […]

KASWENDE: Sababu, dalili, matibabu, kuzuia

Kaswende ni nini? Kaswende ni ugonjwa wa ngono unaosababishwa na bakteria anyeitwa Treponema pallidum. Kama ugonjwa wa kaswende hautatibiwa unaweza […]

SARATANI YA MIFUPA: Sababu,dalili,matibabu

Saratani ya mifupa ni nini? Saratani ya mifupa – Kuna aina nyingi ya saratani zinazoweza kusambaa kwenda kwenye mifupa. Lakini […]

KANSA YA DAMU:Sababu,dalili,matibabu

Kansa ya damu ni nini? Kansa ya damu ni kansa inayotokea kwenye seli za damu na uboho wa mifupa. Watu […]

UGONJWA WA JONGO/GAUTI: dalili,sababu,matibabu

Ugonjwa wa jongo (gout) ni nini? Ugonjwa wa jongo ni ugonjwa unaotokana na kuwa na kiasi kikubwa cha uric acid […]

KUTUMIA PETE YA MPIRA YENYE VICHOCHEO VIWILI KUPANGA UZAZI

Pete ya Mpira Yenye Vichocheo Viwili Ni Nini? Pete ya mpira yenye vichocheo viwili ni pete laini inayowekwa ukeni. Hutoa […]

KUTUMIA KIBANDIKO CHENYE VICHOCHEO VIWILI KUPANGA UZAZI

Kibandiko chenye vichocheo viwili ni Nini? Kibandiko chenye vichocheo viwili ni Kiplastiki kidogo, chembamba, cha umbo la mraba kinachobandikwa mwilini. […]

KUTUMIA NJIA YA KUNYONYESHA MTOTO KUPANGA UZAZI

Njia ya Kunyonyesha Maziwa ya Mama ni Nini? Njia ya kunyonyesha maziwa ya mama ni njia ya muda ya uzazi […]

KUTUMIA KIFUNIKO CHA SEVIKSI (MLANGO WA KIZAZI) KUZUIA MIMBA

Kifuniko cha Seviksi (mlango wa kizazi) ni Nini? Kifuniko cha seviksi (mlango wa kizazi) ni kifuniko laini, kinene, cha mpira […]

KUTUMIA KIWAMBO/ VIWAMBO KUPANGA UZAZI

Kiwambo ni nini? Kiwambo ni kifuniko cha mpira kinachofunika seviksi. Viwambo vya plastiki vinaweza pia kupatikana. Ukingo wake una springi […]

DAWA ZA POVU NA JELI ZA KUPANGA UZAZI

Dawa za povu na jeli ni nini? Dawa za povu na jeli ni dutu ya kuua mbegu za kiume inayoingizwa […]

KUSHUSHA KANDO/KUMWAGA NJE MBEGU KAMA NJIA YA KUPANGA UZAZI

Nini Maana ya Kushusha Kando / Kumwaga nje? Kushusha kando au Kumwaga nje ni kitendo cha baadhi ya wanaume kuchomoa […]

KONDOMU ZA KIKE

Kondomu za Kike Ni Nini? Kondomu za kike ni kifuko kilichotengenezwa kutokana na plastiki nyembamba, laini, inayopitisha mwanga, ambacho huingizwa […]

KONDOMU ZA KIUME

Kondomu za Kiume ni Nini? Kondomu za kiume ni kifuko au kifuniko, ambacho huvalishwa kwenye uume unaposimama. Pia zinajulikana kama […]

KUFUGA KIZAZI MWANAUME (VASEKTOMI)

Kufunga Kizazi Mwanaume (Vasektomi) ni Nini? Kufunga kizazi mwanaume (Vasektomi) ni njia ya kudumu ya kuzuia mimba kwa mwanaume ambayo […]

KUFUNGA KIZAZI MWANAMKE

Nini Maana Kufunga Kizazi Mwanamke? Kufunga kizazi mwanamke ni njia ya kudumu ya kuzuia mimba kwa wanawake ambao hawahitaji kupata […]

KITANZI CHENYE KICHOCHEO KIMOJA (LEVONORGESTREL)

Kitanzi Chenye Levonorgestrel ni Nini? Kitanzi chenye kichocheo kimoja (levonorgestrel) ni kiplastiki chenye umbo la T ambacho hutoa kiasi kidogo […]

KITANZI CHENYE MADINI YA SHABA

Kitanzi Chenye Madini ya Shaba ni Nini? Kitanzi chenye madini ya shaba ni kiplastiki kilichozungushiwa madani ya shaba. Mtoa huduma […]

VIPANDIKIZI

Vipandikizi ni Nini? Vipandikizi ni vijiti vidogo vya plastiki au kapsuli, kila kimoja kina ukubwa wa njiti ya kibiriti, ambacho […]

SINDANO ZA KILA MWEZI ZA KUZUIA MIMBA

Sindano za Kila Mwezi za Kuzuia Mimba ni Nini? Sindano za kila mwezi za kuzuia mimba zina vichocheo – projestini […]

SINDANO ZENYE KICHOCHEO KIMOJA ZA KUZUIA MIMBA

Sindano Zenye Kichocheo Kimoja (Sindano za kila baada ya miezi 3) ni Nini? Sindano zenye kichocheo kimoja za kuzuia mimba […]

VIDONGE VYA DHARURA VYA KUZUIA MIMBA

Vidonge vya Dharura vya Kuzuia Mimba ni nini? Vidonge vya dharura vya kuzuia mimba ni vidonge ambavyo vina projestini pekee, […]

VIDONGE VYENYE KICHOCHEO KIMOJA VYA KUPANGA UZAZI

Vidonge vyenye kichocheo kimoja vya kupanga uzazi ni Nini? Vidonge vyenye kichocheo kimoja vya kupanga uzazi ni vidonge ambavyo vina […]

VIDONGE VYENYE VICHOCHEO VIWILI VYA KUPANGA UZAZI

Vidonge Vyenye Vichocheo Viwili ni Nini? Vidonge vyenye vichocheo viwili vina kiasi kidogo cha vichocheo vya aina mbili projestini na […]

UGONJWA WA HOMA YA INI B :Dalili, Sababu..

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa homa ya ini B ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya hepatitis B. Sio rahisi kwa […]

UGONJWA WA HOMA YA INI C : Dalili, Matibabu…

Maelezo ya jumla Sio rahisi kwa watoto kuambukizwa ugonjwa wa homa ya ini C, isipokuwa wanaoambukizwa wakati wa kuzaliwa. Watu […]

UGONJWA WA HOMA YA INI A :Dalili, Matibabu…

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa homa ya ini A ni ugonjwa wa ini unaosababishwa na virusi wanaoitwa hepatitis A. Dalili […]

UGONJWA WA DEMENTIA (UGONJWA WA KUSAHAU)

Ugonjwa wa dementia (Ugonjwa wa kusahau) ni nini? Ugonjwa wa dementia (Ugonjwa wa kusahau) ni ugonjwa unaosababisha mgonjwa kupoteza kumbukumbu, […]

KUUMIA JICHO AU JERAHA LA JICHO :Dalili …..

Maelezo ya jumla Ni rahisi sana kupata jeraha la jicho yanayotokana na kupigwa. Macho yanaweza kupata majeraha pia yanayosababishwa na […]

JERAHA LA KICHWA / KUUMIA KICHWA :Dalili..

Maelezo ya jumla Kupigwa kichwani kunaweza kusababisha damu kuvia kwenye ngozi, jereha la kichwa linalovuja damu au wakati mwingine kusababisha […]

KUTEGUKA MFUPA AU KUVUNJIKA MFUPA

Maelezo ya jumla Kuvunjika mfupa ni hali ya kupata ufa au mvujiko kwenye mfupa kwa sababu ya kupigwa na kitu […]

KUPOTEZA FAHAMU :Dalili, Sababu, Matibabu….

Maelezo ya jumla Kupoteza fahamu ni tatizo linaloweza kutishia maisha. Tatizo hili linaweza kusababishwa na sababu nyingi, hii ni pamoja […]

MMENYUKO MKALI WA MZIO :Dalili, Sababu,……

Maelezo ya jumla Mmenyuko mkali wa mzio ni tatizo linalowapata baadhi ya watu. Baadhi ya watu hupatwa na hali hatari […]

KUUMWA NA MDUDU :Dalili, Nini cha kufanya….

Maelezo ya jumla Kuumwa na mdudu kama nyigu au nyuki huleta maumivu, na eneo lililoumwa linaweza kuvimba, kuwa jekundu na […]

KUUMIA MAUNGIO :Miguu, Magoti, kiwiko n.k

Maelezo ya jumla Kuumia maungio ‘’sprain/strain’’ ni jambo la kawaida kwenye michezo. Wakati mwingine kano ‘’ligaments’’ za kwenye maungio kama […]

KUVUJA DAMU SANA :Sababu,Matibabu,Kuzuia..

Maelezo ya jumla Kuvuja damu sana ni jambo linalomwogopesha mwathirika na mtu anayemsaidia. Mara nyingi hali ya kuvuja damu hutokana […]

NAMNA YA KUTOA KIJITI KILICHOKUCHOMA & KUTIBU MKWARUZO AU JERAHA DOGO

Maelezo ya jumla Kujikata kidogo, kujikwaruza mahali na kuchomwa na kijiti ni majeraha ya kawaida. Mkato kwa kawaida huvuja damu […]

MALENGELENGE :Dalili, Sababu, Matibabu….

Maelezo ya jumla Malengelenge ‘’blisters’’ kwa kawaida hutokea kwenye miguu na mikono, na husababishwa na msuguano au shinikizo. Mwanzoni ngozi […]

UGONJWA WA RUBELLA / SURUA YA UJERUMANI

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa rubella unaojulikana pia kama surua ya ujerumani ‘’German measles’’ ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na […]

MATUBWITUBWI / MACHUBWICHUBWI

Maelezo ya jumla Matubwitubwi au machubwichubwi ”Mumps” ni ugonwa unaosababishwa na virusi na ulikuwa unawaathiri sana watoto kabla ya enzi […]

UGONJWA WA KIFADURO :Dalili,Sababu,Matibabu

Maelezo ya jumla Kifaduro ‘’pertusis /whooping cough’’ ni aina ya maambukizi makali ya bakteria ambayo yaliwapata sana watoto kabla ya […]

UGONJWA WA MKANDA WA JESHI :Dalili, Matibabu..

Maelezo ya jumla Mkanda wa jeshi ‘’shingles’’ ni ugonjwa unaotokana na kuamka kwa virusi walio bakia mwilini baada ya kuugua […]

UGONJWA WA SURUA :Dalili, Sababu, Matibabu…

Maelezo ya jumla Surua ‘’measles’’ ni ugonjwa unaoweza kuambukizwa kwa urahisi sana, na ulikuwa ugonjwa uliowapata watoto wengi sana kabla […]

UKIMWI / VVU : IMANI POTOFU ZILIZOPO

Maelezo ya jumla Njia kuu ya maambukizi ya ugonjwa huu ni ngono isiyo salama. Hadi sasa, bado hakuna tiba ya […]

KUOTA NYWELE KWENYE MIKONO,USO,MAPAJA,TUMBO…

Maelezo ya jumla Kuota nywele nyingi kuliko kawaida (hirsutism) ni tatizo ambalo linaweza kuwapata watu wa jinsi zote mbili, lakini […]

WAOGELEAJI:UGONJWA WA MASIKIO

Maelezo ya jumla Sio kwamba wanaopata ugonjwa wa masikio ‘’otitis externa’’ ni wanaoogelea pekee. Unapooga au kuosha nywele, unyevunyevu unaobakia […]

NTA MASIKIONI AU UCHAFU MASIKIONI

Maelezo ya jumla Kwa kawaida nta masikioni hutengenezwa kwa kiwango kidogo tu ili kulinda sikio na kisha kutawanyika yenyewe. Lakini […]

TATIZO LA KUHARISHA KWA WATOTO

Maelezo ya jumla Yawezekana mwanao amewahi kusumbuka au umewahi kusikia rafiki au ndugu akilalamika kuwa mtoto wake anaharisha na haelewi […]

KUVIMBA KIMEO/ KUVIMBA KILIMI

Maelezo   ya jumla Kuvimba kilimi / Kuvimba kimeo ni hali inaweza kukera sana . Kuvimba kilimi (uvulitis) mara nyingi huambatana […]

TATIZO LA KUSIKIA KELELE MASIKIONI AU KICHWANI

Maeleo ya jumla Kama unatatizo la kusikia kelele masikioni au kichwani (tinnitus), unahisi kama kengele inapigiwa masikioni, sauti ”buzzz” kama […]

MAUMIVU YA SIKIO :Dalili, Sababu, Matibabu…

Maelezo ya jumla Maumivu ya sikio moja au yote mawili na kushindwa kusikia mara nyingi hutokana na maambukizi kwenye sehemu […]

KUINGILIWA NA MDUDU/KITU SIKIONI NA JINSI YA KUKITOA

Maelezo ya jumla Kuingiliwa na kitu sikioni ni tatizo. Kama kitu kitaingia na kung’ang’ania ndani ya sikio  kinaweza kusababisha usumbufu […]

TATIZO LA KUUMA, KULA, KUTAFUNA KUCHA

Maelezo ya jumla Watoto wengi na vijana ambao wako kwenye balehe wanauma au kutafuna kucha. Lakini wengi wao, kadri wanavyokua […]

MBA:Sababu, dalili, matibabu, kuzuia

Maelezo ya jumla Mba (dandruff) hazina madhara yoyote, lakini zinakera na zinaaibisha. Ukiwa na tatizo la hili, ngozi ya kichwa […]

UKUCHA UNAOKUA KWENDA NDANI YA NGOZI / NYAMA

Maelezo ya jumla Kama kidole cha mguu kinauma, ni chekundu na kimevimba kuzunguka ukucha, kuna uwezekano mkubwa utakuwa umesababishwa na […]

MAPUNYE | VIBARANGO | MASHILINGI: Sababu,dalili

Maelezo ya jumla Mapunye/ Vibarango/ Mashilingi ni ugonjwa unaosababisha madoadoa kama magamba kwenye ngozi. Madoa ni ya mviringo, yanayowasha, mekundu […]

KUCHA ZENYE MWONEKANO MBAYA NA ZINAZOKATIKA

Maelezo ya jumla Sababu kubwa zaidi inayosababisha kucha zenye mwonekano mbaya ni mambukizi ya fangasi. Mara nyingi fangasi wanathiri zaidi […]

CHAWA WA NYWELE KICHWANI

Maelezo ya jumla Chawa wa nywele kichwani ni wadudu wenye rangi ya kijivu–kahawia, wanalingana ukubwa na mbegu ya ufuta. Wanaishi […]

VIDONDA VYA HOMA / VIDONDA BARIDI / TUTUKO

Maelezo ya jumla Vidonda vya homa / vidonda baridi / tukuto, huanza kwa kuwepo kwa mwasho karibu na midomo, kisha […]

VIDONDA MDOMONI:Sababu, matibabu

Maelezo ya jumla Ukianza kupata vidonda mdomoni unaanza kuwa na maumivu kama umeungua moto, kisha unapata kishimo kidogo cha rangi […]

KUPASUKAPASUKA KWA MIDOMO:Sababu,matibabu..

Maelezo ya jumla Kila mmoja wetu kwa wakati fulani anapatwa na tatizo hili la kukauka na kuchanika au kupasukapasuka kwa […]

UCHAFU UNATOKA UKENI:Sababu,dalili,matibabu

Maelezo ya jumla Uchafu unatoka ukeni – ni hali ya kawaida kwa mwanamke kutokwa na uteute ukeni. Uteute huu huwa […]

MAUMIVU WAKATI WA NGONO: Sababu,matibabu..

Maelezo ya jumla Wanawake wengi wanahisi maumivu wakati wa ngono kwa wakati fulani. Wakati mwingine, tatizo linaweza kuwa la kimwili: […]

KUWASHWA UKENI (SEHEMU ZA SIRI):Sababu,matibabu

Melezo ya jumla Kuwashwa ukeni au eneo linalozunguka uke ni tatizo linaloleta karaha na kukera sana mchana na linaweza kusababisha […]

KUSHINDWA KUZUIA MKOJO:Sababu,matibabu……

Maelezo ya jumla Wanawake wengi wana tatizo la kushindwa kuzuia mkojo, yaani wanajikojolea kwa sababu ya kushindwa kudhibiti kibofu. Tatizo […]

UKOMO WA HEDHI NA MATATIZO YAKE

Maelezo ya jumla Ukomo wa hedhi (menopause) ni mabadiliko ya asili ya mwili yanayowatokea wanawake wenye umri kati ya miaka […]

MAAMBUKIZI KWENYE KIBOFU:Sababu,dalili,matibabu

Maelezo ya jumla Maambukizi kwenye kibofu (cystitis) yanasababisha utando unaofunika sehemu ya ndani ya kibofu kuvimba, na mara nyingi tatizo […]

ZIJUE DALILI ZA AWALI ZA UJAUZITO

Je, una wasiwasi kuwa una ujauzito? Kwa kweli njia pekee kujua kama wewe ni mjamzito ni kupima ujauzito. Hata hivyo, […]

MATATIZO YANAYOTOKEA SIKU CHACHE KABLA YA HEDHI

Maelezo ya jumla Wanawake wenye matatizo yanayotokea siku chache kabla ya hedhi ‘’premenstrual syndrome’’ husumbuliwa na dalili kadhaa ambazo huanza […]

CHUCHU YA TITI ILIYOPASUKA:Sababu,matibabu.

Maelezo ya jumla Chuchu ya titi iliyopasuka – kina mama wengi waliojifungua siku za hivi karibuni, wanapatwa na maumivu kwenye […]

MAUMIVU NA UVIMBE KWENYE MATITI

Maelezo ya jumla Wanawake wengi wanapatwa na shida hii ya maumivu na uvimbe kwenye matiti. Dalili mara nyingi zinaathiri matiti […]

MATATIZO YA LENZI ZA MACHO :Dalili, sababu..

Matatizo ya lenzi za macho ‘’contact lens ‘’ Sababu kubwa ya matatizo ya lenzi za macho yanatokana na lenzi ambayo […]

KUONDOA KITU JICHONI

Maelezo ya jumla Kuondoa kitu jichoni – kama ukiingiliwa na kitu jichoni, kinaweza kuleta usumbufu , kikasababisha wekundu kwenye jicho, […]

TATIZO LA UKAVU WA MACHO | KUPUNGUA KWA MACHOZI

Maelezo ya jumla Tatizo la ukavu wa macho / kupungua kwa machozi – macho yanaweza kuwa makavu unapokuwa hautengenezi machozi […]

KUWASHWA MACHO:Sababu,dalili,matibabu

Maelezo ya jumla Kuwashwa macho – macho yanayowasha mara nyingi utakuta ni mekundu, yanawasha na unahisi kama yanaungua hivi. Unahisi […]

JERAHA LA JICHO BAADA YA KUPIGWA

Maelezo ya jumla Damu huwa inavilia chini ya ngozi inayozunguka jicho kama umepata jeraha la jicho baada ya kupigwa na […]

KIKOPE:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Kikope (stye) ni uvimbe mwekundu unakuwa juu au ndani ya ukingo wa kope ya jicho lako, uvimbe […]

KUPATA SHIDA KUKOJOA:Sababu, matibabu

Maelezo ya jumla Kupata shida kukojoa kwa wanaume wengi huaanza uzeeni na husababiswa na kuongezeka ukubwa wa tezi dume. Tezi […]

KUWAHI KUFIKA KILELENI:Sababu, matibabu

Maelezo ya jumla Kuwahi kufika kileleni, ni pale mwanaume anapomwaga manii muda mfupi tu baada ya msisimuo wa kingono, kabla […]

KUSHINDWA KUSIMAMISHA UUME:Sababu,matibabu

Maelezo ya jumla Wanaume wengi huwa wanapata shida hii ya kushindwa kusimamisha uume kwa wakati fulani au wengine wanaweza kusimamisha […]

MAUMIVU YA PUMBU:Sababu, matibabu

Maelezo ya jumla Maumivu ya pumbu – jeraha dogo tu kwenye pumbu halisababishi matatizo ya kudumu, lakini maumivu makali yanaweza […]

MAUMIVU YA UUME:Sababu, matibabu…

Maelezo a jumla Maumivu ya uume – ngozi inayoufunika uume ni nyepesi na ni rahisi kuumia. Mikwaruzo midogo midogo inaweza […]

kuwashwa sehemu ya kutolea haja kubwa
KUWASHWA SEHEMU YA KUTOLEA HAJA KUBWA

Maelezo ya jumla Kuwashwa sehemu ya kutolea haja kubwa (mkundu), ni hali inayoleta karaha sana na inaweza kuaibisha kwa sababu […]

BAWASIRI:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Bawasiri ni ugonjwa ambao unatokana na kuvimba kwa mishipa ya damu ndani au kuzunguka njia ya kutolea […]

KUHARISHA BAADA YA KULA CHAKULA KILICHOHARIBIKA

Maelezo ya jumla Matukio mengi ya kuharisha baada ya kula chakula kilichoharibika au kichafu, husababishwa na usafi duni wakati wa […]

KUVIMBIWA NA KUJAMBA:Dalili,sababu,matibabu

Maelezo ya jumla Kuvimbiwa na kujamba ni tatizo la kawaida linalosababishwa na kujaa kwa hewa ndani ya mfumo wa umeng’enyaji […]

TATIZO LA KUTAPIKA WAKATI WA SAFARI

Maelezo ya jumla Kama una tatizo la kutapika wakati wa safari, utahisi kizunguzungu, kichefuchefu na wakati mwingine maumivu ya kichwa […]

MAPIGO YA MOYO KWENDA MBIO:Nini cha kufanya…

Maelezo ya jumla Mapigo ya moyo kwenda mbio – kwa kawaida moyo unapopiga huwa hatuna ufahamu au kuhisi kuwa unapiga, […]

KUKOROTA:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Kukorota ni sauti kama mluzi inayotokea mtu anapokuwa anapumua kutoa hewa nje. Kifua kinaweza kuwa kimebana na […]

KUKOHOA:Sababu,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Sababu kubwa ya kukohoa ni usumbufu au kuvimba kwa mapafu au koo kwa sababu ya mafua, maambukizi […]

VIDOLE VINAPATA BARIDI SANA:Sababu,dalili,matibabu

Maelezo ya jumla Vidole vinapata baridi sana – ni kawaida kwa vidole vya miguu au mikono kushikwa na baridi. Lakini […]

MAUMIVU YA MIGUU:Sababu,dalili,matibabu

Maelezo ya jumla Mguu ”foot” unahimili mikwaruzo na shinikizo kubwa sana. Baada ya kusimama au kutembea kwa muda mrefu, unaweza […]

MAUMIVU YA KISIGINO :Sababu,dalili,matibabu

Maelezo ya jumla Kuvimba kwa wayo wa mguu ‘’plantar facitis’’ ndio sababu kubwa ya maumivu ya kisigino ‘’heal pain’’, mgonjwa […]

KUVIMBA KWA VIFUNDO VYA MIGUU

Maelezo ya jumla Kuvimba kwa vifundo vya miguu ‘’swollen ankles’’ kunaweza kutokea baada ya kukaa kwa muda mrefu bila kufanya […]

KUVIMBA KWA MISHIPA YA VENA MIGUUNI

Maelezo ya jumla Kuvimba kwa mishipa ya vena miguuni ‘’varicose veins’’, ni tatizo la vena za miguu, linalosababisha mishipa ya […]

KUKAZA KWA MISULI YA MIGUU:Sababu,matibabu

Maelezo ya jumla Kukaza kwa misuli ya miguu ”leg cramp” kunasababisha maumivu kwenye misuli ya mguu au ndama ya mguu. […]

MAUMIVU YA BEGA:Sababu,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Maumivu ya bega yanaweza kuwepo muda wote au yanaweza kuwepo unapoweka mkono katika mkao fulani au kuuchezesha […]

MAUMIVU YA GOTI:Sababu,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Magoti ni maungio yanayobeba sehemu kubwa ya uzito wa mwili, na kwa sababu hii ni rahisi sana […]

MAUMIVU YA NYONGA:Sababu,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Sababu kubwa zaidi ya mkazo au maumivu ya nyonga ni kulika na kuisha kwa maungio ya nyonga […]

KUKAZA AU MAUMIVU YA SHINGO:Sababu,matibabu

Maelezo ya jumla Kukaza au maumivu ya shingo, mara nyingi yanatokana na kukaza kwa misuli ya shingo kunakotokana na mkao […]

KIPANDAUSO:Sababu,dalili,matibabu

Maelezo ya jumla Kipandauso ni maumivu makali ya kichwa, unahisi kama kinadunda na kinagonga upande mmoja tu hasa nyuma ya […]

KUOTA VINYAMA /MASUNDOSUNDO SEHEMU ZA SIRI

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa kuota vinyama sehemu za siri/Masundosundo/vigwaru au “Genital warts”, ni tatizo la kuota vinyama vidogo laini […]

TATIZO LA SAUTI KUKWARUZA AU KUPOTEA

Maelezo ya jumla Tatizo la sauti kukwaruza au kupotea ni shida inayokera, sauti yako inakua inakwaruza kwaruza na inakuwa ngumu […]

KUWASHWA AU MAUMIVU YA KOO

Maelezo ya jumla Kuwashwa au maumivu ya koo ni tatizo la kwaida sana. Pamoja na koo kuuma, unaweza kuwa unapata […]

MAUMIVU MDOMONI AU ULIMI:Dalili,sababu,matibabu

Maelezo ya jumla Kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha upate maumivu mdomoni au ulimi. Utando ute unaofunika mdomo na ulimi unaweza […]

MAUMIVU YA MENO:Dalili,sababu,matibabu

Maelezo ya jumla Maumivu ya meno yanaweza kuwa ya kadri unayoweza kuyavumilia au yanaweza kuwa makali sana, yanayokuwepo wakati wote, […]

TATIZO LA FIZI KUVUJA DAMU:Sababu,matibabu

Maelezo ya jumla kuhusu fizi kuvuja damu Tatizo la fizi kuvuja damu au kutokwa na damu kwenye fizi huwa ni […]

mafua ya nguruwe
MAFUA YA NGURUWE:Sababu,dalili,matibabu

Mafua ya nguruwe (Swine flu) ni ugonjwa unaosababishwa na virusi aina ya H1N1 na H3N2 wanaosababisha mafua. Dalili za mafua ya nguruwe zinafanana kabisa na zile za mafua ya kawaida.
Mwaka 2009 wanasayansi walitambua aina ya kirusi kinachoitwa H1N1. Kirusi hiki kilikuwa kimetengenezwa kwa muunganiko wa virusi ambao wanapatikana kwa nguruwe, ndege na wanadamu na kusababisha ugonjwa kwa wanadamu. Kati ya mwaka 2009 -2010, virusi wa H1N1 walisababisha ugonjwa wa mafua kwa watu wengi. Kwa sababu watu wengi sana duniani kote waliugua mafua haya, shirika la afya duniani lilitangaza ugonjwa huu kuwa janga la dunia. Ilipofika agosti mwaka 2010 WHO ilitangaza kuwa janga limedhibitiwa.
Siku hizi kuna chanjo ambayo inaweza kulinda watu dhidi ya mafua ya nguruwe yanayosababishwa na H1N1.

TATIZO LA NGOZI KAVU AU KUPASUKA

Maelezo ya jumla Ngozi kavu sana au kupasuka: Ngozi yako inapokosa unyevu inaanza kuwasha, kukakamaa na inakuwa dhaifu na rahisi […]

MAMBO YA KUFANYA KUPUNGUZA MAUMIVU WAKATI WA HEDHI

Maelezo ya jumla Maumivu wakati wa hedhi – wanawake wengi wanapata maumivu kwenye sehemu ya chini ya tumbo muda kidogo […]

KWIKWI:Sababu,dalili,matabibu

Maeleozo ya jumla Kila mmoja wetu anapatwa na kwikwi mara moja moja- unajikuta unavuta hewa kwa haraka na kwa mshtuo, […]

KUTOKWA | KUVUJA DAMU KUTOKA PUANI

Maelezo ya jumla Kuvuja damu kutoka puani ni jambo la kawaida sana kwa watoto, lakini watu wazima pia wanapatwa na […]

sugu kwenye miguu
KUONDOA SUGU KWENYE MIGUU AU MIKONO

Maelezo ya jumla Kuondoa sugu kwenye miguu – kama kuna msuguano wa muda mrefu unaosababiswa na mgandamizo kwenye mikono au […]

CHUNJUA | VIGWARU | MASUNDOSUNDO

Maelezo ya jumla Chunjua (warts) ni viuvimbe vidogo ambavyo huwa vinaota kwenye ngozi, vinamwonekano kama wa mkoliflawa (cauliflower) na wakati […]

KUSHINDWA KULALA | KUKOSA USINGIZI USIKU

Maelezo ya jumla Kukosa usingizi ni tatizo kubwa kwa watu wengi, wegine wanashindwa kulala kabisa usiku au wanashtuka kutoka usingizini […]

KUJISIKIA VIBAYA BAADA YA KULEWA POMBE

Maelezo ya jumla Kujisikia vibaya baada ya kulewa pombe ni matokeo ya kunywa pombe nyingi, lakini kuna baadhi ya watu […]

UCHOVU:Sababu,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Kila mmoja wetu anajihisi kuchoka baada ya shughuli za kimwili au kazi ngumu. Kulala vizuri usiku mara […]

TATIZO LA KUTOKWA JASHO JINGI KULIKO KAWAIDA

Maelezo ya jumla Karibu kila mmoja wetu anatokwa jasho kuliko kawaida anapokuwa anafanya mazoezi au wakati wa joto kali. Lakini […]

UMUHIMU WA MAVAZI

Maelezo ya jumla Umuhimu wa mavazi -Tafiti nyingi zinaonesha kuwa, mavazi tunayovaa yana adhari kubwa kwa maisha yetu kiakili na […]

VIFO VYA AKINA MAMA WAJAWAZITO

Maelezo ya jumla Kifo cha mama, au vifo vya akina mama au kifo kinachotokana na uzazi ni kifo cha mwanamke […]

UPUNGUFU WA MAJI MWILINI:Sababu,dalili,matibabu

Maelezo ya jumla Upungufu wa maji mwilini unaweza kuwa upungufu wa kadri, upungufu wa wastani, au upungufu mkubwa sana kulingana […]

uchangiaji wa damu
KUCHANGIA DAMU:sababu na namna ya kujiandaa

Maelezo ya jumla Kuchangia damu (blood donation) ni utaratibu wa hiari unaoweza kuokoa maisha ya wengine. Kuna aina kadhaa za […]

RATIBA YA CHANJO TANZANIA KWA WATOTO

Utoaji wa chanjo zaidi ya moja kwenye kila hudhurio Katika ratiba ya chanjo Tanzania watoto hupata chanjo zaidi ya moja […]

TETEKUWANGA:Sababu,dalili,matibabu

Maelezo ya jumla Tetekuwanga (Chicken pox) ni maambukizi ya virusi yanayosababisha mtu kupata malengelenge yanayowasha mwili mzima. Tetekuwanga ulikuwa ugonjwa […]

CHANJO YA UGONJWA WA POLIO

Utangulizi Ugonjwa wa polio ni ugonjwa unaoambukiwa na virusi vijuikanavyo kwa jina la kitaalamu polio virus.  Ugonjwa huu unaweza kumpata […]

DEGEDEGE:Sababu,dalili,matibabu

Maelezo ya jumla Degedege ni mabadiliko ya kimwili na tabia yanayotokea kunapokuweko na shughuli ya umeme isiyo ya kawaida kwenye […]

KUMWAMBIA MWENZI KUWA UNA MAGONJWA YA NGONO

Maelezo ya jumla Kuna unyanyapaa mkubwa sana na habari nyingi sana za kupotosha kuhusu magonjwa ya ngono. Kwa sababu hii […]

KIDONDAMALAZI:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Kidondamalazi (Bedsore) ni kidonda kinachotokea kwenye ngozi baada ya shinikizo la muda mrefu linalotokana na kutokujongea kwa […]

MTOTO NJITI:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Mtoto njiti (premature infant) ni mtoto anayezaliwa kabla ya wiki 37 za ujauzito. Je! Nini dalili za […]

KIFAFA CHA MIMBA:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Kifafa cha mimba (Eclampsia) ni degedege inayompata mwanamke mjamzito ambayo haihusiani kabisa na tatizo kwenye ubongo. Dalili […]

KUONGEZEWA DAMU:Sababu,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Kuongezewa damu ni utaratibu wa kimatibabu wa kuwaongezea wahitaji damu iliyochangishwa toka kwa wadhamini wa kujitolea. Damu […]

MAFUA:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Mafua hali inayosababisha kutokwa na kamasi, kuziba kwa pua na kupiga chafya. Pia, unaweza kuwa na maumivu […]

MAUMIVU YA KIFUA:Sababu,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Maumivu ya kifua (chest pain) ni adha au maumivu unayohisi kwenye sehemu ya mbele ya mwili kati […]

MDOMO WAZI:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Mdomo wazi au mdomo sungura (cleft lip and palate) ni kasoro ya kuzaliwa nayo inayoathiri mdomo wa […]

YABISI KAVU:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa yabisi kavu ”arthritis” na hali nyingine 100 za yabisi baridi ”rheumatic” huathiri viungo na tishu […]

MAUMIVU WAKATI WA HEDHI:Sababu,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Maumivu wakati wa hedhi ni tatizo linalowapata wanawake wengi Hedhi ni hali ya kawaida kwa wanawake, wanawake […]

KIZUNGUZUNGU:Sababu,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Kizunguzungu ni hali ya kuhisi kama unataka kuzimia, unatetereka, unapoteza balance au kuhisi kama wewe au chumba […]

UVUTAJI WA SIGARA: Namna ya kuacha kuvuta

Hatari za uvutaji wa sigara Uvutaji wa sigara huongeza uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo. Baadhi ya bidhaa zinazotumika kutengeneza […]

KIBWIKO/KIGUU:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Mtoto mwenye kibwiko au kiguu (clubfoot) huzaliwa na miguu au mguu wenye wayo uliogeukia ndani au nje. […]

MTINDIO WA UBONGO:Sababu,dalili,matibabu

Maelezo ya jumla Mtindio wa ubongo (cerebral palsy),ni hali inayosababishwa na matatizo ya ubongo inayopelekea kuvurugika kwa shughuli za mfumo […]

KICHEFUCHEFU NA KUTAPIKA:Sababu,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Kichefuchefu na kutapika – kichefuchefu ni hisia ya kuwa na hamu ya kutapika. Kutapika ni hali ya […]

kondomu
KONDOMU

1. Kondomu ya kiume Kondomu ni kiwambo chembamba kinachovaliwa kwenye uume wakati wa kujamiiana. Ukitumia kondomu itasaidia : Kuzuia ujauzito […]

MAGONJWA YA NGONO:Sababu,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Magonjwa ya ngono ni magonjwa yanayoambukiza kwa njia ya tendo la kujamiiana na mtu aliyeambukizwa magonjwa hayo bila […]

UGONJWA UNAOTOKANA NA KUWA KATIKA ENEO LILILO JUU KUTOKA SANA USAWA WA BAHARI

Maelezo ya jumla Ugonjwa unaotokana na kuwa katika maeneo yaliyo juu sana kutoka usawa wa bahari  (altitude sickness), huu ni […]

UGONJWA WA KISUKARI AINA YA 1:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Kisukari aina ya 1 huwapata zaidi watoto na vijana wadogo. Kisukari ni ugonjwa ambao mgonjwa huwa na […]

KISUKARI AINA YA 2:Sababu,dalili,matibabu

Maelezo ya jumla Mgonjwa wa kisukari huwa na kiwango cha juu cha sukari kwenye damu kuliko ilivyo kawaida. Kisukari aina […]

SARATANI YA SHINGO YA MLANGO WA KIZAZI:Dalili,matibabu..

Maelezo ya jumla Saratani ya shingo ya mlango wa kizazi (cervical cancer) ni aina ya saratani ambayo huathiri tishu za […]

KUONGEZA NJIA WAKATI WA KUJIFUNGUA

Maelezo ya jumla Kuongeza njia wakati wa kujifungua ( Episiotomy) ni utaratibu unaofanyika kwa kuchana ngozi iliyo kati ya uke […]

UGONJWA WA FIZI:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa fizi (gingivitis) husababisha kuvimba kwa fizi. Dalili za ugonjwa wa fizi? Kutokwa damu kwenye fizi […]

UASTIGMATI:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Uastigmati (Astigmatism) ni dosari katika jicho/lenzi unaozuia fokasi sahihi ya mwanga kwenye retina (refrative error). Retina ni […]

SONONA:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Sonona (Depression) ni hali ya kuhisi huzuni, kushuka moyo na kukosa furaha. Wengi wetu hujihisi hivi kwa […]

USAHAULIFU:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Usahaulifu (amnesia) ni hali isiyo ya kawaida ya kusahau sana. Mgonjwa anaweza asiwe na uwezo wa kukumbuka […]

KUMTELEKEZA MTOTO:Sababu,kuzuia

Maelezo ya jumla Kumtelekeza mtoto (child neglect) ni aina ya unyanyasaji wa mtoto unaotokea mtu anapoamua kwa makusudi kutokumpatia mtoto […]

KIUNGULIA:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Kiungulia (heartburn) ni hali ya kuhisi mchomo (maumivu kama moto) unaotokea nyuma ya mfupa wa kidari. Kwa […]

KUSHUKA KWA SHINIKIZO LA DAMU:Dalili,matatibu..

Maelezo ya jumla Kushuka kwa shinikizo la damu (hypotension), ni hali ya kuwa na shinikizo la damu lililo chini sana […]

NGIRI:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Ngiri (hernia) ni hali inayotokea kama kuna uwazi au udhaifu kwenye ukuta wa tumbo na kusababisha viungo […]

MABUSHA:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Mabusha (hydrocele) ni hali inayosababishwa na kujaa kwa maji katikati ya tabaka mbili za utando unaozunguka korodani […]

HOMA YA DENGUE:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Homa ya dengue (dengue fever) ni ugonjwa unaosababishwa na virusi wanaoenezwa na mbu. Je, nini dalili za […]

UGUMBA:Sababu,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Ugumba (Infertility) ni hali ya kutoweza kupata ujauzito katika kipindi cha mwaka mmoja au zaidi kwa wenzi […]

KUWASHWA:Sababu,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Kuwashwa (itching) ni hali ya kuhisi mchonyoto unaokera kwenye ngozi anaokufanya utamani kukuna sehemu ilioathiriwa. Unaweza kuwashwa […]

KUKOROMA:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Kukoroma (snoring) ni hali ya kupumua kwa nguvu au kutoa sauti kubwa yenye mkwaruzo usingizini. Kukoroma husababishwa […]

UNYANYASAJI WA KINGONO KWA WATOTO

Maelezo ya jumla Unyanyasaji wa kingono kwa watoto (sexual abuse) ni hali ya kuwaingiza kwa makusudi watoto wadogo kwenye shughuli […]

MTOTO WA JICHO:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Mtoto wa jicho (cataract) ni ukungu kwenye lenzi ya jicho unaoathiri uwezo wa kuona. Inaweza kutokea kwa […]

UGONJWA WA TAUNI:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa tauni (plague) ni ugonjwa wa kuambukiza unaowapata  panya, wanyama wengine na binadamu. Ugonjwa huu husababishwa […]

UGONJWA WA KISONONO:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Kisonono (Gonorrhea) ni ugonjwa wa zinaa. Je, Nini dalili za kisonono? Dalili za kisonono huanza kuonekana siku […]

UGONJWA WA KIPINDUPINDU:Sababu,dalili,matibabu

Maelezo ya jumla Kipindupindu (cholera) ni ugonjwa unasababishwa na maambukizi ya bakteria aina ya vibrio cholerae. Mara nyingi maambukizi huwa […]

KICHWA KUUMA:Sababu,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Kichwa kuuma ni neno linalotumika kuelezea maumivu ya kichwa au sehemu ya juu ya shingo. Kichwa ni […]

KIPIMO CHA ECHOCARDIOGRAM

Maelezo ya jumla Echocardiogram hutumia mawimbi ya sauti ili kuzalisha picha ya moyo. Kipimo hiki humruhusu daktari kuuchunguza moyo ukipiga […]

UGONJWA WA POLIO/UGONJWA WA KUPOOZA

Maelezo ya jumla  maumivu ya kichwa, homa, kutapika, maumivu ya mgongo, maumivu ya misuli, kukaza kwa misuli na kuwashwa ngozi […]

HOMA YA EBOLA:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Homa ya Ebola ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya ebola. Ugonjwa huu, huua zaidi ya 90% ya […]

UGONJWA WA PEPOPUNDA | TETENASI:Sababu,matibabu

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa pepopunda au tetenasi ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria. Bakteria hawa huishi kwenye udongo, mate, vumbi […]

UGONJWA WA MALARIA:Sababu,dalili,matibabu

Maelezo ya jumla Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea wanaoambukizwa na mbu aina ya anofelesi. Dalili za awali za ugonjwa […]

KICHAA CHA MBWA:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Kichaa cha mbwa (Rabies) ni ugonjwa hatari sana wa wanyama unaosababishwa na virusi. Unaweza kuwapata wanyama wa […]

UCHUNGUZI WA NJIA YA HAJA KUBWA KWA KIDOLE

Digital rectal examination (DRE) ni uchunguzi wa njia ya haja kubwa kwa kidole unaofanywa na daktari au mtaalamu wa huduma […]

KIPIMO CHA ELECTROCARDIOGRAM

Kipimo cha electrocardiogram ni nini? Kipimo cha electrocardiogram – hufupishwa kama EKG au ECG – ni kipimo kinachopima shughuli ya […]

KUFUNGA CHOO

Maelezo ya jumla Kufunga choo (constipation) ni hali ya kushindwa kupata kinyesi (kunya) kwa angalau mara tatu kwa wiki. Mtu […]

MAUMIVU YA TUMBO:Sababu,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Maumivu ya tumbo ni maumivu yanayotokea popote kati ya kifua na kinena. Dalili za maumivu ya tumbo? […]

HOMA:Ni nini,sababu,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Homa (fever) ni dalili inayotajwa mara kwa mara kuelezea ongezeko la joto la mwili kuliko kiwango cha […]

KIPIMO CHA EKSIREI

Eksirei ni nini? Kipimo cha eksirei (X-ray) ni kipimo cha picha ambacho kimetumika kwa miongo mingi. Kinamsaidia daktari kutazama ndani […]

DARUBINI

Maelezo ya jumla Darubini (Microscope) ni chombo kinachotumika kuangalia vitu ambavyo ni vidogo sana kuonekana kwa macho pekee . Sayansi […]

UKIMWI:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla UKIMWI – Upungufu wa kinga mwilini- ni ugonjwa unaopata mtu baada virusi vya VVU kuharibu mfumo wa […]

KITAMBI:Sababu,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Kitambi (obesity) humaanisha kuwa una mafuta mengi mwilini. Kuwa na kitambi si sawa na kuwa na uzito […]

KIBOLE:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Kibole (appendicitis) ni uvimbe wa kidole tumbo (appendix) unaosababishwa na maambukizi. Kidole tumbo ni kiungo kidogo kinachoonekana […]

KUTOKWA DAMU:Sababu,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Kutokwa damu (bleeding) kunaweza kutokea nje au ndani ya mwili: Ndani ya mwili, damu huvuja kutoka kwenye […]

DAMU KWENYE KINYESI:Sababu,matatibu,kuzuia

Maelezo ya jumla Mara nyingi kunapokuwepo na damu kwenye kinyesi huashiria kuwa kuna tatizo au jeraha kwenye mfumo wa kumeng’enya […]

SARATANI YA KIBOFU:Sababu,dalili,matibabu

Maelezo ya jumla Kibofu (bladder) hupatikana kwenye sehemu ya chini ya tumbo, na kazi yake kubwa ni kuhifadhi mkojo. Saratani […]

UVIMBE KWENYE UBONGO:Sababu,dalili,matibabu

Maelezo ya jumla Ubongo ni sehemu ya mfumo mkuu wa neva. Ni chanzo cha mawazo, hisia, kumbukumbu, lugha, kuona, kusikia, […]

NAMNA YA KUCHUNGUZA MATITI YAKO MWENYEWE

Maelezo ya jumla Kuchunguza matiti yako mwenyewe ni sehemu muhimu ya afya kwa wanawake wengi. Inawasaidia kujua matiti yao yalivyo […]

KUKOKOJA KITANDANI/KIKOJOZI:Matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Kikojozi ”bedwetter” ni mtoto wa miaka 5 mpaka 6 anayejikojolea bila hiari yake – ana tatizo la […]

MATEGE/KUJIPINDA MIGUU:Sababu,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Tatizo la kujipinda miguu au matege  (bowlegs) huchukuliwa kuwa jambo la kawaida kwa watoto chini ya miezi […]

SARATANI YA MATITI:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Saratani ya matiti ni kansa ya matiti inayotokea kwenye tishu za matiti. Inatokea kwa wanaume na wanawake. […]

UGONJWA WA TEZI DUME:Sababu,dalili,matibabu

Maelezo ya jumla Tezi dume (prostate), ni tezi iliyo kwenye kizazi cha mwanaume inayozalisha maji maji yanayobeba manii/shahawa. Inaizunguka urethra, […]

KUNUKA MDOMO:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Harufu mbaya ya kinywa au kunuka mdomo (bad breath) ni hali ya kutoa pumzi/hewa kinywani, yenye harufu […]

MAUMIVU YA MGONGO:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Maumivu ya mgongo ni tatizo kuumwa mgongo linalowapata watu wengi sana. Katika kipindi chote cha maisha ya […]

UGONJWA WA BERIBERI:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa beriberi ni ugonjwa uletwao na ukosefu wa vitamini B1 mwilini (vitamini B1). Nini dalili za ugonjwa […]

MZIO:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Mzio (allergy) ni muuitikio (reaction) wa kinga ya mwili usio kawaidMa, unaotokea kwa kitu ambacho kwa kawaida […]

UGONJWA WA KISUKARI:Sababu,dalili,matibabu

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa kisukari (diabetes) ni ugonjwa unaoleta matatizo ya kimetaboliki ambayo husababisha kuwepo kwa viwango vya juu […]

KUHARA/KUHARISHA:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Kuhara / Kuharisha (Diarrhea) ni hali ya kupata kinyesi chepesi chenye majimaji mengi. Kwa kawaida, mtu mwenye […]

MSONGO:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Msongo (Stress)  hutokana na wazo lolote au tukio lolote linalokufanya uhisi huzuni, hasira, au hofu. Msongo/ mfadhaiko […]

ULEVI:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Ulevi (Alcoholism) na kunywa pombe kupita kiasi (Alcohol abuse) ni matatizo mawili tofauti. Ulevi ni pale unapopata […]

UGONJWA WA KIMETA:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Dalili hutofautiana kulingana na aina ya kimeta. Ugonjwa huu haumbikizwi kutoka kwa mtu moja mpaka mwingine kama […]

AMIBA:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Amiba (Amoebiasis) ni ugonjwa wa matumbo unaosababishwa na vimelea vya Entamoeba histolytica. Je! Ni nini dalili za […]

FISTULA KWENYE NJIA YA HAJA KUBWA

Maelezo ya jumla Fistula kwenye njia ya haja kubwa ni mferiji usio wa kawaida unaotengenezeka kuunganisha njia ya haja kubwa […]

JIPU KWENYE NJIA YA HAJA KUBWA:Sababu,matatibu

Maelezo ya jumla Jipu kwenye njia ya haja kubwa (anal abscess) ni mkusanyiko wa usaha katika eneo la mkundu (anus) […]

SARATANI YA NJIA YA HAJA KUBWA

Maelezo ya jumla Saratani ya njia ya haja kubwa / Kansa ya njia ya haja kubwa ni kansa kwenye mfumo […]

UFA KWENYE NJIA YA HAJA KUBWA

Maelezo ya jumla Ufa kwenye njia ya haja kubwa (anal fissure) ni hali inayotokana na kuchanika au kupasuka kwa utando […]

BRONCHIECTASIS (KUHARIBIKA KWA MFUMO WA HEWA)

Maelezo ya jumla Bronchiectasis ni uharibufu unaosababisha kupanuka kusiko kwa kawaida kwa njia ya hewa. Mtoto anapozaliwa na hali hii, […]

MAAMBUKIZI KWENYE NJIA YA MKOJO

Maelezo ya jumla Maambukizi kwenye njia ya mkojo (Yutiyai) yanaweza kutokea mahali popote kwenye njia ya mkojo. Maambukizi haya yana […]

KUPANDIKIZA MOYO :Sababu, Matibabu, Kuzuia

Maelezo ya jumla Kupandikiza moyo (heart transplant) ni upasuaji unaofanyika ili kuondoa moyo ulioharibika au mgonjwa na badala yake kupandikiza […]

MSHTUKO WA MOYO / SHAMBULIO LA MOYO

Maelezo ya jumla Shambulio la moyo au mshtuko wa moyo hutokea pindi tu mtiririko wa damu kuelekea kwenye misuli ya moyo […]

SHINIKIZO LA JUU LA DAMU :Dalili na Matibabu

Maelezo ya jumla Shinikizo la juu la damu, ni hali ya muda mrefu ambapo shinikizo la damu katika mishipa huwa […]

KIHARUSI : Dalili, Sababu, Matibabu, Kuzuia

Maelezo ya jumla Kiharusi (stroke) ni hali inayomtokea mtu kunapokuwepo na kizingiti kinachozuia damu kufika katika sehemu fulani ya ubongo. […]

KANSA / SARATANI : Dalili, sababu, Matibabu

Maelezo ya jumla Saratani au kansa ni ukuaji wa seli sizizo za kawaida mwilini usio na udhibiti. Dalili za saratani […]

CHUNUSI: Dalili, Sababu, Matibabu, Kuzuia

Maelezo ya jumla Chunusi (acne) ni hali ya muda mrefu ya ngozi ambayo husababisha kutokea kwa vipele na madoa meupe […]

KIPARA / KUCHOMOKA/KUKATIKA KWA NYWELE

Maelezo ya jumla Kipara au kukatika au kuchomoka kwa nywele (alopecia) ni hali ya kupoteza nywele zote au sehemu ya […]

JIPU

Maelezo ya jumla Jipu (abscess) ni mkusanyiko wa usaha katika sehemu yoyote ya mwili, ambayo mara nyingi huisababisha ivimbe. Je! […]

KUZIBA KWA NJIA YA HEWA : Dalili, Sababu, Matibabu

Maelezo ya jumla Kuziba kwa njia ya hewa (airway obstruction) hutokana na uzibe kwenye njia ya hewa, uzibe huu unaweza […]

UKURUTU : Dalili, Sababu, Matibabu, Kuzuia

Maelezo ya jumla Ukurutu (eczema), ni neno linalotumika kuwakilisha aina mbalimbali za uvimbe wa ngozi. Tatizo hili hujulikana pia kama […]

KICHOMI : Dalili, Sababu, Matibabu, Kuzuia

Maelezo ya jumla Kichomi ni maumivu ya kifua yanayotokea hasa wakati wa kuvuta pumzi ndani au kukohoa, maumivu haya husababishwa […]

MAPAFU KUJAA MAJI : Dalili, Sababu, Matibabu

Maelezo ya jumla Mapafu kujaa maji (pulmonary edema) ni hali isiyo ya kawaida ya maji kujaa kwenye mapafu na kusababisha […]

KOMA :Dalili, Sababu, Matibabu, Kuzuia

Maelezo ya jumla Koma (coma) si ugonjwa. Ni hali ya kuwa na usingizi mzito sana, mgonjwa huzimia kwa muda mrefu […]

MKAMBA :Sababu, Dalili, Matibabu, Kuzuia

Maelezo ya jumla Mkamba (bronchitis) ni kuvimba kwa njia kuu ya kupitisha hewa kwenda kwenye mapafu. Mkamba unaweza kuwa wa […]

KURUKWA NA AKILI / WENDAWAZIMU

Mwone mtoa huduma wa afya au mtaalamu wa afya ya akili ikiwa wewe au mwanafamilia anaonesha dalili za kurukwa akili

JIPU LA INI:Sababu,dalili,matibabu,kuzuia

Maelezo ya jumla Jipu la ini (liver abscess) ni eneo kwenye ini lililojaa usaha. Je! Nini dalili za jipu la […]