August 1, 2022
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa kuwashwa/fangasi kwenye pumbu ni tatizo linalosababishwa na fangasi wanaoshambulia eneo la kinena. Ni zipi dalili […]
August 1, 2022
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa homa ya mapafu (Nimonia) ni ugonjwa wa mfumo wa upumuaji unaosababisha kuvimba kwa mapafu. Mtu […]
July 31, 2022
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa himofilia (hemophilia) ni kundi la matatizo ya damu yanayosababisha damu kuchukua muda mrefu sana kuganda […]
July 31, 2022
Majanga na Dharula Majanga na dharura ni matukio ambayo yanatokea kwa ghafla na kuharibu mfumo mzima wa maisha na mali […]
July 30, 2022
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa mionzi (radiation injury) husababisha dalili kwa sababu ya kukutana na mionzi kwa kiasi kikubwa. Kuna […]
July 30, 2022
Lishe ya watoto wenye ulemavu Utapiamlo kwa watoto wenye ulemavu unatokana na kutokula chakula cha kutosha na/au ulaji mbaya unaopelekea […]
July 28, 2022
Dhana ya uzito pungufu Mtoto aliyezaliwa na uzito chini ya kilogramu 2.5 (gramu 2500) ana uzito pungufu wa kuzaliwa. Akizaliwa […]
July 28, 2022
Maelezo ya jumla Tatizo la kucheza kamari (pathological gambling) ni hali ya kushindwa kujizuia kucheza kamari. Kushindwa kuzuia msukumo wa […]
July 26, 2022
Maelezo ya jumla Saratani ya tumbo ni aina ya saratani za mfumo wa chakula zinazowapata zaidi watu katika maeneo kadhaa […]
July 26, 2022
Maelezo ya jumla Tatizo la kula sana kupita kiasi (binge eating) ni pale mtu anpokula kiasi kikubwa cha chakula katika […]
July 25, 2022
Ugonjwa wa von Willebrand ni nini? Ugonjwa unaofanana na ugonjwa wa hemophilia, unasababisha kuvuja damu. Ugonjwa wa von Willebrand unawapata […]
July 25, 2022
Kupima Mzingo wa Mkono Kupima mzingo wa mkono ni utaratibu wa kupima mzingo wa kati wa sehemu ya juu ya […]
July 24, 2022
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa moyamoya ni ugonjwa nadra sana, unasababishwa na matatizo yanayoendelea ya mfumo wa kuzungusha damu yanayotokana […]
July 24, 2022
Kupima kimo au urefu wa mtoto Kupima kimo au urefu wa mtoto husaidia kutambua yafuatayo: Urefu au kimo kulingana na […]
July 23, 2022
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa chikungunya ni ugonjwa unaosababishwa na virusi wanaoenezwa na mbu. Ni zipi dalili za ugonjwa wa […]
July 23, 2022
Kupima uzito wa mtoto Shirika la Afya Duniani linashauri kupima uzito wa mtoto kwa kutumia mizani yenye sifa zifuatazo: Mizani […]
July 22, 2022
Maelezo ya jumla Kupinda kwa mgongo (kibiongo) ni hali ya kupinda kwa uti wa mgongo kunakosababishwa na sababu mbalimbali. Kupinda […]
July 22, 2022
Lishe kwa Wanafunzi Umri wa kwenda shule (Miaka 6-12) ni kipindi cha mwendelezo wa ukuaji wa mwili na ukuaji wa […]
July 21, 2022
Taratibu za unyonyeshaji zinazopendekezwa Shirika la Afya Duniani linapendekeza kufuata taratibu sahihi za kunyonyesha mtoto. Taratibu hizo ni; Mwili wa […]
July 21, 2022
Lishe ya vijana balehe Lishe ya vijana balehe – Kijana balehe ni kijana mwenye umri wa kati ya miaka 10 […]
July 20, 2022
Ugonjwa wa pepopunda kwa watoto wachanga ni nini? Pepopunda ni ugonjwa wa hatari unaoambukiza. Ugonjwa huu unasababishwa na vimelea vya […]
July 20, 2022
Maelezo ya jumla Mtindo wa maisha usiofaa huchangia kwa kiasi kikubwa aina nyingi za saratani. Kufuata kwa makini ulaji na […]
July 19, 2022
Mambo ya msingi Chanjo ni Nini? Chanjo huzuia mtu mwenye afya asipate magonjwa fulani kwa kufundisha mwili jinsi ya kutambua […]
July 19, 2022
Utapiamlo Hali ya kupungua au kuzidi kwa baadhi ya virutubishi mwilini ambapo husababisha lishe duni au unene uliozidi. Utapiamlo unajumuisha […]
July 18, 2022
Maelezo ya jumla Homa ya mgunda (Leptospirosis) ni maambukizi yanayotokea unapokutana na bakteria aina ya leptospira. Ni zipi dalili za […]
July 18, 2022
Je KIFUA KIKUU inaweza kutibiwa? Karibu visa vyote vya KIFUA KIKUU siku hizi vinaweza kutibiwa na kupona. Ni muhimu kumeza […]
July 18, 2022
Ulishaji wa chakula cha nyongeza Ulishaji wa chakula cha nyongeza ni kumlisha mtoto vyakula au vinywaji vingine zaidi ya maziwa […]
July 17, 2022
Maana ya magonjwa yasiyo ya kuambukiza Magonjwa Yasiyo ya kuambukiza ni magonjwa ambayo hayasambazwi kwa mtu mwingine kwa kuwa hakuna […]
July 17, 2022
Nunua vyakula vilivyo salama Ili kuwa na chakula salama, usinunue mayai yaliyo na nyufa hata kama yanauzwa kwa bei nafuu. […]
July 16, 2022
Baada ya miezi 6 mpe vyakula vya aina mbali mbali kila siku Baada ya miezi 6 watoto wanahitaji aina nyingine […]
July 16, 2022
Namna sahihi ya kutakasa maji Kama maji yana vumbi, udongo, majani au mchanga acha yatuame na uchafu utulie kisha chuja […]
July 15, 2022
Mtoto ni nani? Mtoto ni mtu yeyote mwenye umri wa chini ya miaka kumi na nane (18). Tafsiri hii imetokana […]
July 15, 2022
Lishe kwa vijana wenye umri wa miaka 11–17 Lishe kwa vijana inapaswa kuwa bora sana. Katika kipindi hiki cha ujana, […]
July 14, 2022
Maelezo ya jumla Jipu kwenye jino ni mkusanyiko wa usaha unatokona na maambukizi kwenye sehemu ya kati ya jino. Ni […]
July 14, 2022
Lishe kwa watoto wachanga hadi umri wa miezi 6 Kuna mambo ya kuzingatia katika lishe kwa watoto wachanga hadi umri […]
July 13, 2022
Maelezo ya jumla Kukatwa mguu ni hali ya kukata na kuondoa mguu, kanyagio au vidole kutoka mwilini. Kukatwa mguu kunafanyikaje? […]
July 13, 2022
Umuhimu wa lishe kwa wajawazito na wanaonyonyesha Lishe ya wanawake wakati wa ujauzito na kunyonyesha ni muhimu kwa afya ya […]
July 12, 2022
Maelezo ya jumla Kuomboleza ni mwitikio anaokuwa nao mtu baada ya kupoteza/kuondokewa/kuachwa. Mara nyingi ni mwitikio wa huzuni na hisia […]
July 11, 2022
Maelezo ya jumla Kuongezeka uzito ni hali ya kuongezeka uzito bila kuamua mwenyewe kufanya hivyo. Wakati wa ujauzito uzito wa […]
July 11, 2022
Magonjwa sugu ya njia ya hewa Aina za magonjwa sugu ya njia ya hewa ni pamoja na ugonjwa wa pumu, […]
July 10, 2022
Maelezo ya jumla Kuota matiti kwa wanaume (Gynecomastia) ni tatizo la kuongezeka ukubwa wa matiti kwa wanaume. Kuongezeka kwa ukubwa […]
July 10, 2022
Ugonjwa wa figo Mtu mwenye ugonjwa wa figo ni muhimu kudhibiti ulaji wake kwa kufanya mabadiliko ya aidha kupunguza kiasi […]
July 9, 2022
Maelezo ya jumla Kushindwa/kupata shida kumeza ni hali ya kuhisi kama chakula kinakwama kwenye koo au eneo lolote kabla hakijafika […]
July 9, 2022
Saratani Saratani ni ugonjwa unaotokana na seli za mwili zilizopoteza mfumo wake wa kugawanyika na hivyo hazipo katika hali yake […]
July 8, 2022
Maelezo ya jumla Kushindwa/kupata shida kupumua ni hali ya kuhisi ugumu au kupata shida unapovuta pumzi au kujihisi kama vile […]
July 7, 2022
Maelezo ya jumla Kutapika damu ni hali ya kutapika damu inayotoka sehemu ya mwanzo ya mfumo wa kumeng’enya chakula. Sehemu […]
July 6, 2022
Maelezo ya jumla Kuzama kwenye maji humaanisha kuwa mtu karibia afie ndani ya maji kwa sababu ya kushindwa kupumua ndani […]
July 5, 2022
Maelezo ya jumla Kuvimba tumbo mara nyngi kunatokana na gesi inayosababishwa na kula aina fulani za vyakula, lakini wakat mwingine […]
July 4, 2022
Maelezo ya jumla Kutoboka/kupasuka kwa ngoma ya sikio ni kutokea kwa upenyo au tobo kwenye ngoma ya sikio, ngoma ya […]
July 4, 2022
Shinikizo la juu la damu Sababu hasa za shinikizo la juu la damu/ presha/ shinikizo kubwa la damu kwa sehemu […]
July 3, 2022
Maelezo ya jumla Virusi vya zika husababisha ugonjwa wa wanadamu unaoitwa maambukizi ya virusi vya zika au homa ya zika. […]
July 3, 2022
Magonjwa ya moyo Magonjwa ya moyo yanahusisha yale magonjwa yote yanayoathiri moyo na mishipa yake. Magonjwa ya moyo yanajumuisha magonjwa […]
July 2, 2022
Ugonjwa wa kisukari ni nini? Ugonjwa wa kisukari ni hali ambayo hutokea wakati sukari katika damu inapokuwa nyingi kupita kiwango […]
July 1, 2022
Maelezo ya jumla Maumivu wakati wa kumeza yanaweza kuhisiwa mdomoni, kooni, au kwenye umio. Unaweza kuhisi maumivu wakati wa kumeza […]
July 1, 2022
Mtindo bora wa maisha Mtindo bora wa maisha – Kwa mujibu ya Shirika la Afya Duniani (WHO), mitindo ya maisha […]
June 30, 2022
Maelezo ya jumla Ndoto za kutisha ni ndoto zinazotokea ukiwa umelalal zinazoamsha hisia kali za hofu, woga, msongo na za […]
June 30, 2022
Kupima uzito na kulinganisha na umri Kupima uzito na kulinganisha na umri – Kipimo hiki hutumika kutathmini hali ya lishe […]
June 29, 2022
Maelezo ya jumla Saratani ya uke ni kansa inayotokea kwa nadra sana. Haina dalili za awali. Uke unaanzia kwenye mlango […]
June 29, 2022
Mzunguko wa kiuno Kipimo kingine kinachoweza kuonesha kama mtu ana uzito uliozidi na kumuweka katika uwezekano mkubwa wa kupata magonjwa […]
June 28, 2022
Maelezo ya jumla Saratani ya uume ni kansa inayoanzia kwenye uume. Uume ni moja ya viungo vinavyotengeneza mfumo wa uzazi […]
June 28, 2022
Uwiano wa uzito na urefu Uwiano wa uzito na urefu – Uwiano wa uzito katika kilogramu na urefu katika mita […]
June 27, 2022
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa homa ya matumbo (typhoid fever) ni ugonjwa hatari unaosababishwa na bakteria anayeitwa salmonella typhi. Ni […]
June 27, 2022
Jinsi ya kukadiria kiasi cha mlo kwa kutumia mikono yako Mikono yako inaweza kutumika kukadiria kiasi cha chakula unachotakiwa kula […]
June 26, 2022
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa wilson (Wilson’s disease) ni tatizo la kurithi linalosababisha kubakia kwa kiwango kikubwa cha madini ya […]
June 26, 2022
Mlo kamili na umuhimu wake Mlo kamili ni ule ambao hutokana na chakula mchanganyiko kutoka katika makundi yote ya chakula. […]
June 25, 2022
Maelezo ya jumla Utangotango/matangatanga/mba wa mwili (tinea versicolor) ni maambukizi ya fangasi kwenye ngozi yanayodumu kwa muda mrefu. Ni zipi […]
June 25, 2022
Makundi ya vyakula Vyakula vyenye virutubishi vingi vinavyofanana huwekwa katika kundi moja. Ili kuweza kupata virutubishi vyote muhimu vinavyohitajika mwilini, […]
June 24, 2022
Maelezo ya jumla kuhusu dawa za kulevya aina ya methamphetamine Dawa za kulevya aina ya methamphetamine ina majina mengi tofauti: […]
June 24, 2022
Aina za virutubishi Kuna aina kuu tano za virutubishi ambavyo ni kabohaidreti, protini, mafuta, vitamini na madini. Kila kirutubishi kina […]
June 23, 2022
Je, watu walioambukizwa VVU wanaweza kupata au kuzaa watoto ambao hawana virusi? Ndio. Hii ni mojawapo ya faida nyingi za […]
June 23, 2022
Chakula na lishe Chakula ni muhimu kwa binadamu wote kwani huupatia mwili virutubishi mbalimbali kwa ajili ya kazi mbalimbali mwilini […]
June 22, 2022
Maelezo ya jumla Bhangi ndiyo mhadarati unaotumiwa vibaya zaidi kati ya vijana duniani. Vijana hutumia bhangi kwa sababu nyingi. Huenda […]
June 22, 2022
Sababu ya magonjwa sugu Magonjwa sugu yasiyo ya kuambukiza yanayohusiana na mtindo wa maisha yamekuwa yakiongezeka kwa kasi katika nchi […]
June 21, 2022
Dalili kwamba Huenda Mtu Anafikiria Kujiua/kujinyonga Dalili kwamba huenda mtu anafikiria kujiua/kujinyonga ni kama zifuatazo: Anazungumzia kuhusu kutaka kufa au […]
June 20, 2022
Maelezo ya jumla Wakati mwingi watu hunywa pombe ili waburudike na marafiki zao au watulize machungu fulani au ili iwasaidie […]
June 19, 2022
Je, unyanyasaji wa nyumbani ni nini? Unyanyasaji wa nyumbani (home violence) pia huitwa ukatili majumbani. Ukatili ni neno linaloelezea mtu […]
June 18, 2022
Kutawaliwa (kupata uraibu) ni nini? Kutawaliwa (kupata uraibu) ni tatizo la mtu kutoweza kuacha kunywa pombe au kutumia mihadrati/dawa za […]
June 17, 2022
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa homa ya bonde la ufa (Rift valley fever) ni ugonjwa mkali unosababishwa na virusi unaosababisha […]
June 16, 2022
Maelezo ya jumla Damu kwenye mkojo (mkojo wenye damu) ni hali ya kuwepo seli nyekundu za damu kwenye mkojo. Kama […]
June 15, 2022
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa homa ya manjano (yellow fever) ni ugonjwa unaoambukizwa na mbu. Ugonjwa huu unapatikana zaidi Amerika […]
June 14, 2022
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa matende ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea ambao hauwezi kuwaona kwa macho pekee, unahitaji darubini, vimelea […]
June 13, 2022
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa malale (trypanosomiasis /sleeping sickness) ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea wanaoitwa trypanosoma brucei wanaoenezwa na mbung’o. […]
June 12, 2022
Maelezo ya jumla Ukiziwi ni hali ya kushindwa kusikia vizuri au kushindwa kabisa kusikia sauti kwenye sikio moja au yote […]
June 11, 2022
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa brucella (brucellosis) ni ugonjwa wa kuambukizwa unatokana na kugusana na wanyama wenye maambukizi ya bakteria […]
June 5, 2022
Maelezo ya jumla kuhusu madhara ya tumbaku/sigara Tumbaku/sigara inaua haijalishi inatumiwa kwa njia gani. Bidhaa za tumbaku/sigara zinazovutwa, huwa na […]
June 5, 2022
Ugonjwa wa akili ni nini? Ugonjwa wa akili kwa kiasi kikubwa huathiri kufikiri kwa mtu, hali ya hisia na tabia, […]
June 5, 2022
Mfumo wa uzazi Mfumo wa uzazi wa mwanamke na mwanamme hufanya kazi pamoja kupata mtoto. Mfumo wa uzazi wa mwanamke […]
June 5, 2022
Mfumo wa mkojo Mfumo wa mkojo unafanya kazi ya kuchuja damu na kuondoa uchafu mwilini. Kwa hali ya kawaida, mpaka […]
June 5, 2022
Mfumo wa chakula Safari ya chakula ni ndefu na muhimu. Umeng’enyaji wa chakula huanza pindi tu chakula kinapongia mdomoni na […]
June 5, 2022
Mapafu na mfumo wa upumuaji Unapovuta hewa ndani, hewa yenye oksijeni inapitia kwenye pua na mdomo na kusafiri mpaka kwenye […]
June 5, 2022
Moyo Moyo ni pump ndogo inayolingana na ngumi inayosukuma damu mwilini Mfumo wa kuzungusha damu mwilini umeundwa na mishipa ya […]
June 5, 2022
Mfumo wa fahamu Mfumo wa fahamu unawezesha mawasiliano ya sehemu moja ya mwili na nyingine Mfumo wa fahamu umeundwa na […]
June 5, 2022
Misuli Tunahitaji misuli ili kuwa hai. Karibia nusu ya uzito wa mwili wa mwanadamu unatokana na karibia misuli 600 inayofanya […]
June 5, 2022
Mifupa Mifupa yote 206 iliyoko kwenye mwili wa binadamu, hufanya kazi ya kuutegemeza, kuulinda na kuruhusu mwili kujongea. Mifupa inalinda […]
June 5, 2022
Ngozi Sio rahisi kujua mtu anaweza kuishi kwa muda gani bila ngozi. Siku 2 ni makadrio mazuri, ila bado hatuna […]
June 5, 2022
Seli ni kama kiwanda? Seli za mwili ni kama kiwanda. Kila seli ni msingi kwa uhai wa kiwanda kizima. Mwili […]
June 5, 2022
Mambo 10 mzazi anayopaswa kuongea na mwanae kuhusu bangi Bangi sio dawa ya kawaida kama dawa nyingine. Ubongo wa vijana […]
June 5, 2022
Uchungu/maumivu wakati wa kujifungua yatakuwa makali kiasi gani? Hakuna njia nzuri ya kutambua maumivu yatakuwa makali kiasi gani wakati wa […]
June 5, 2022
Ugonjwa wa PID (Pelvic inflammatory disease) ni nini? Ugonjwa wa PID (Pelvic inflammatory disease) ni maambukizi yanayowapata wanawake wengi, yanayotokea […]
June 4, 2022
Ugonjwa wa misuli ya moyo ni nini? Ugonjwa wa misuli ya moyo (cardiomyopathy) ni hali inayoathiri misuli ya moyo na […]
June 4, 2022
Kutoboa/kutoga mwili ili kuweka urembo ni nini? Kutoboa/kutoga mwili ni hali ya kutoboa tundu kwenye ngozi ili kuweka urembo kama […]
June 4, 2022
Jicho jekundu ni nini? Jicho jekundu ni hali inayotokana na kuvimba kwa utando mwepesi unaofunika jicho na sehemu ya ndani […]
June 4, 2022
Tatizo/ugonjwa wa kujiona mbaya ni nini? Ugonjwa wa kujiona mbaya ni hali inayokutokea unaposhindwa kujizuia kufikiria kuhusu sehemu fulani ya […]
June 4, 2022
Ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo ni nini? Ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo ni maambukizi au uvimbe […]
June 4, 2022
Sigara za kisasa /sigara za kielektroniki “ e-cigarettes ” ni nini? Sigara za kisasa /sigara za kielektroniki “ e-cigarettes ” […]
June 4, 2022
Fangasi za kucha ni nini? Fangasi za kucha ni aina ya maambukizi yanayotokea kwenye kucha za vidole vya miguu au […]
June 4, 2022
Kuziba kwa utumbo ni nini? Kuziba kwa utumbo ni hali ya kuwepo kizingiti kinachozibba utumbo mwembamba aua utumbo mpana na […]
June 4, 2022
Kutoka kwa mimba/ujauzito ni nini? Kutoka kwa mimba/ujauzito ni hali inayotokea ujauzito unapoacha kukua. Hali hii inatambuliwa baada ya mwanamke […]
June 4, 2022
Ni nini husababisha kutokwa damu katika hatua za mwanzo za ujauzito? Karibu mwanamke mmoja kati ya wanne watapata tatizo la […]
June 4, 2022
Nisafishe vipi kidonda nikiwa nyumbani? Dumbukiza kidonda kwenye maji ya uvuguvugu. Tumia sabuni na kitambaa laini kusafisha ngozi inayozunguka kidonda. […]
June 4, 2022
Kuharibika kwa ini (sirosisi)? Kuharibika kwa ini (sirosisi) ni hali ya ini kupata makovu yanayosababisha ini lishindwe kufanya kazi yake. […]
June 4, 2022
Ugonjwa wa mdudu kwenye kidole (uvimbe wa kucha) Ugonjwa wa mdudu kwenye kidole (paronychia) ni ugonjwa unaosababisha kuvimba kwa tishu […]
June 4, 2022
Ugonjwa wa sonona (huzuni) baada ya kujifungua ni nini? Ugonjwa wa sonona (huzuni) baada ya kujifungua ni aina ya sonona […]
June 4, 2022
Tatizo la kubana kwa govi ni nini? Tatizo la kubana kwa govi (paraphimosis) ni tatizo hatari linaloweza kuwapata wanaume na […]
June 4, 2022
Macho mekundu ni nini? Macho mekundu ni hali inayotokana na kuvimba kwa utando mwepesi unaofunika jicho na sehemu ya ndani […]
June 4, 2022
Macho kengeza ni nini? Macho kengeza (amblyopia) ni hali ya kupoteza uwezo wa kuona katika jicho moja. Kwa watoto na […]
June 4, 2022
Ugonjwa wa kudhoofika kwa mifupa kwa wanaume ni nini? Ugonjwa wa kudhoofika kwa mifupa (osteoporosis) ni hali inayosababisha mifupa ya […]
June 3, 2022
Ugonjwa wa Kawasaki ni nini? Ugonjwa wa Kawasaki ni ugonjwa ambao ni nadra sana unaowapata watoto wadogo chini ya umri […]
May 29, 2022
Malengelenge aina ya I na II Malengelenge aina ya I na II (Herpes simplex 1&2) – Aina ya I mara […]
May 29, 2022
Maelezo ya jumla Minyoo inaishi kwenye tumbo na husambazwa kupitia mchanga, mikono, na wakati mwengine kupitia chakula ambacho hakijapikwa au […]
May 29, 2022
Ugonjwa wa dondakoo ni nini? Dondakoo ni ugonjwa unaowapata watoto wadogo. Ugonjwa huu unasababishwa na vimelea ambavyo hujulikana kama “corynebacterium […]
May 29, 2022
Maelezo ya jumla kuhusu ugonjwa wa klamidia Ugonjwa wa klamidia ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na bakteria. Mara nyingi hauna […]
May 29, 2022
Maelezo ya jumla Ajali zote zinaweza kuua, kusababisha ulemavu na uharibifu wa mali, hivyo basi kuleta umasikini kwa watu na […]
May 29, 2022
Ugonjwa wa trakoma ni nini? Ugonjwa wa trakoma ni ugonjwa wa macho unaosababishwa na bakteria, ambao wanasababisha kope kukua kwa […]
May 29, 2022
Kwa nini uzazi wa mpango ni muhimu? Kipindi cha ujauzito kinaweza kikawa ni hatari kwa mama na mtoto hususani kinamama […]
May 29, 2022
Njia 9 za kupunguza kunywa pombe Labda siku hizi umejikuta unakunywa pombe nyingi kuliko ilivyo kawaida yako. Kunywa pombe nyingi […]
May 29, 2022
Ugonjwa wa ndui ni nini? Ugonjwa wa ndui (smallpox) ni ugonjwa hatari, unaasambaa haraka sana na wakati mwingine unaweza kusababisha […]
May 29, 2022
Ugonjwa wa homa ya nyani ni nini? Homa ya nyani (monkeypox) ni ugonjwa unaosababishwa na virusi uliogunduliwa kwa nyani waliokuwa […]
May 26, 2022
Unaweza kuambukizwa ugonjwa kwa kuogelea? Kuogelea kwa kawaida ni shughuli nzuri na salama. Unaweza kupata ugonjwa kama maji unayoogelea yana […]
May 26, 2022
Magonjwa ya ngono ni nini? Magonjwa ya ngono – ni maambukizi ya magonjwa yanayoenezwa kwa kufanya ngono isiyo salama. Endapo […]
May 25, 2022
Je, ninapaswa kuwa na wasiwasi kuwa mtoto atameza vidude? Kumeza kitu – watoto wanaweza kumeza kitu bila kutarajia. Mara nyingi, […]
May 25, 2022
Kuepuka kuumwa/kung’atwa na mbwa? Mbwa wengi hawana tabia ya kung’ata watu. Lakini unaweza kuumwa/kung’atwa na mbwa kama atahisi kutishiwa. Watoto […]
May 25, 2022
Kuungua kunasababishwa na nini? Mtu yoyote anaweza kuungua. Kwa Watoto wadogo, majeraha mengi ya kuungua yanasababishwa na kukaa sana kwenye […]
May 25, 2022
Upasuaji wa kupunguza uzito wa mwili ni nini? Upasuaji wa kupunguza uzito wa mwili hupunguza ukubwa wa tumbo na kulifanya […]
May 25, 2022
Ugonjwa wa glaukoma (presha ya macho) ni nini? Ugonjwa wa glaukoma (presha ya macho) – Ni ugonjwa wa macho ambao […]
May 24, 2022
Ujauzito kutungwa nje ya mji wa mimba ina maana gani? Ujauzito kutungwa nje ya mji wa mimba ni pale mtoto […]
May 24, 2022
Mimba/ujauzito uliozidi umri wa kujifungua ni nini? Mimba/ujauzito uliozidi umri wa kujifungua ni mimba iliyozidi wiki mbili baada ya siku […]
May 24, 2022
Nawezaje kupunguza uwezekano wa mtoto kunywa sumu? Matukio mengi ya watoto kula au kunywa sumu hutokea nyumbani. Unapaswa kuweka mbali […]
May 24, 2022
Ugonjwa wa Parkinson ni nini? Ugonjwa wa Parkinson ni ugonjwa wa ubongo unaowaathiri zaidi wazee. Unatokea kwa sababu sehemu za […]
May 24, 2022
Ni nini maana ya figo kushindwa kufanya kazi? Figo kushindwa kufanya kazi ni tatizo linalotokana na figo kushindwa kutekeleza majukumu […]
May 24, 2022
Ugonjwa sugu wa figo ni nini? Ugonjwa sugu wa figo unatokea baada ya figo kuharibiwa na kusababisha zishidwe kusafisha damu […]
May 24, 2022
Saratani ya ovari ni nini? Saratani ya ovari ni kansa inayoanzia kwenye ovari. Ovari ni viungo vidogo vinavypatikana upande wa […]
May 24, 2022
Saratani ya mji wa mimba ni nini? Saratani ya mji wa mimba ni saratani inayotokea kwenye utando wa ndani wa […]
May 24, 2022
Saratani ya kizazi ni nini? Saratani ya kizazi (endometrial cancer) ni saratani inayotokea kwenye utando wa ndani wa mji wa […]
May 24, 2022
Shinikizo la juu la damu ni nini? Presha wakati wa ujauzito – Kuongezeka kwa shinikizo la damu (pia huitwa shinikizo […]
May 24, 2022
Vidonda kwenye sehemu za siri ni nini? Vidonda kwenye sehemu za siri – kuna vidonda vinavyopatikana kwenye uume au uke […]
May 20, 2022
Ugonjwa wa hashimoto ni nini? Ugonjwa wa hashimoto ni tatizo la tezi dundumio. Tezi dundumio ni tezi iliyopo kwenye sehemu […]
May 20, 2022
Tatizo la Shahawa zilizochanganyika na damu ni nini? Shahawa zilizochanganyika na damu ni tatizo la kuwa na shahawa zilizochanganyikana na […]
May 20, 2022
Saratani ya kongosho ni nini? Kongosho ni kiungo kilicho karibu na tumbo na kinafanya kazi ya kudhibiti kiwango cha sukari […]
May 20, 2022
Mtoto kuchelewa kuongea maana yake nini? Kuchelewa kuongea kunaweza kusababisha mtoto kuwa na shida kutamka baadhi ya maneno na sentensi, […]
May 20, 2022
Usonji ni nini? Usonji ni neno mwamvuli linalotumika kuelezea matatizo ya tabia na kushindwa kuwasiliana. Dalili za usonji zinaweza kuwa […]
May 14, 2022
Mawe kwenye mfuko wa nyongo ni nini? Mawe kwenye mfuko wa nyongo – Mfuko wa nyongo ni kiungo kinachotumika kutunzia […]
May 14, 2022
Kutetemeka ni nini? Kutetemeka ni hali ya kutikisika, kushtuka au mpapatiko inayotokea kwenye sehemu ya mwili bila hiari yako mwenyewe. […]
May 14, 2022
Kupungua kwa uwezo wa kuona na upofu ni nini? Kupungua kwa uwezo wa kuona ni neno linalotumiwa kuwakilisha watu wenye […]
May 14, 2022
Kuchoma sindano za sumu ya botulinum kupunguza mikunjo ya ngozi? Sindano za sumu ya botulinum ni bidhaa zinazotumika kupunguza au […]
May 14, 2022
Korodani ambazo hazijashuka kwenye pumbu ni nini? Korodani ambazo hazijashuka kwenye pumbu – Korodani ni moja ya kiungo cha mwili […]
May 14, 2022
Dawa za Kulevya ni Nini? Dawa za kulevya ni kemikali ambazo ziingiapo mwilini huathiri ubongo wa mtumiaji na kumsababishia kuwa […]
May 14, 2022
Mabadiliko ya hali ya hewa nini? Mabadiliko ya hali ya hewa yanatokana na kupanda kwa joto katika uso wa dunia. […]
May 6, 2022
Ugonjwa wa selimundu (sikoseli) ni nini? Ugonjwa wa selimundu (sikoseli) ni aina ya ugonjwa wa damu unaorithiwa na Watoto kutoka […]
May 6, 2022
Nitajuaje kama ninafanyiwa unyanyaswaji kwenye mahusiano? Unaponyanyaswa kwenye mahusiano – unaweza kujihisi uoga au kutojiami unapokuwa pamoja na mwenzi wako. […]
May 6, 2022
Tatizo la kuvuja/kutokwa maziwa kwenye matiti? Tatizo la kuvuja/kutokwa maziwa kwenye matiti ni tatizo la kuvuja maziwa kutoka kwenye matiti […]
April 24, 2022
Saratani ya korodani na inampata nani? Saratani ya korodani ni saratani inayoanzia kwenye moja au korodani zote. Korodani zinakaa ndani […]
April 24, 2022
Saratani ya koo (umio) ni nini? Saratani ya koo (umio) ni saratani inayotokea kwenye bomba linalounganisha mdomo na tumbo linaloitwa […]
April 24, 2022
Ni lini meno ya mwanao yatakapo tokeza? Kila mtoto ni tofauti, lakini meno kwa kawaida huanza kuota anapofikia umri wa […]
April 22, 2022
Ugonjwa wa lupus ni nini? Ugonjwa wa lupus ni ugonjwa wa kinga ya mwili unaoweza kuathiri sehemu nyingi za mwili. […]
April 22, 2022
Jiwe/mawe kwenye figo ni nini? Jiwe/mawe kwenye figo ni vijiwe vidogo vinavyotengenezwa na mwili kwa kuunganisha mabaki ya taka mwili […]
April 22, 2022
Maumivu wakati wa kukojoa ni nini? Maumivu wakati wa kukojoa ni hali ya kuhisi maumivu wakati wa kukojoa inayotokana na […]
April 22, 2022
Kupunguza au kudhibiti uzito ni nini? Ili kusema umeweza kudhibiti uzito wako wa mwili, ni lazima uwe umeweza kupunguza uzito […]
April 16, 2022
Tatizo la kukosa hedhi ni nini? Tatizo la kukosa hedhi ni hali ya kutokuanza kupata damu ya hedhi unapofikia balehe […]
April 15, 2022
Niepuke vipi kuumwa na nyoka? Unaweza kufanya yafuatayo ili kupunguza uwezekano wa kuumwa na nyoka: Epuka kwenda kwenye maeneo wanapoishi […]
April 15, 2022
Kigugumizi ni nini? Kigugumizi ni tatizo la kuzungumza linalosababisha iwe ngumu kusema baadhi ya maneno au sauti. Watu wenye kigugumizi […]
April 15, 2022
Kaswende ni nini? Kaswende ni ugonjwa wa ngono unaosababishwa na bakteria anyeitwa Treponema pallidum. Kama ugonjwa wa kaswende hautatibiwa unaweza […]
April 15, 2022
Saratani ya mifupa ni nini? Saratani ya mifupa – Kuna aina nyingi ya saratani zinazoweza kusambaa kwenda kwenye mifupa. Lakini […]
April 15, 2022
Kansa ya damu ni nini? Kansa ya damu ni kansa inayotokea kwenye seli za damu na uboho wa mifupa. Watu […]
April 15, 2022
Ugonjwa wa jongo (gout) ni nini? Ugonjwa wa jongo ni ugonjwa unaotokana na kuwa na kiasi kikubwa cha uric acid […]
March 27, 2022
Pete ya Mpira Yenye Vichocheo Viwili Ni Nini? Pete ya mpira yenye vichocheo viwili ni pete laini inayowekwa ukeni. Hutoa […]
March 27, 2022
Kibandiko chenye vichocheo viwili ni Nini? Kibandiko chenye vichocheo viwili ni Kiplastiki kidogo, chembamba, cha umbo la mraba kinachobandikwa mwilini. […]
March 27, 2022
Njia ya Kunyonyesha Maziwa ya Mama ni Nini? Njia ya kunyonyesha maziwa ya mama ni njia ya muda ya uzazi […]
March 27, 2022
Kifuniko cha Seviksi (mlango wa kizazi) ni Nini? Kifuniko cha seviksi (mlango wa kizazi) ni kifuniko laini, kinene, cha mpira […]
March 27, 2022
Kiwambo ni nini? Kiwambo ni kifuniko cha mpira kinachofunika seviksi. Viwambo vya plastiki vinaweza pia kupatikana. Ukingo wake una springi […]
March 27, 2022
Dawa za povu na jeli ni nini? Dawa za povu na jeli ni dutu ya kuua mbegu za kiume inayoingizwa […]
February 28, 2022
Nini Maana ya Kushusha Kando / Kumwaga nje? Kushusha kando au Kumwaga nje ni kitendo cha baadhi ya wanaume kuchomoa […]
February 26, 2022
Kondomu za Kike Ni Nini? Kondomu za kike ni kifuko kilichotengenezwa kutokana na plastiki nyembamba, laini, inayopitisha mwanga, ambacho huingizwa […]
February 26, 2022
Kondomu za Kiume ni Nini? Kondomu za kiume ni kifuko au kifuniko, ambacho huvalishwa kwenye uume unaposimama. Pia zinajulikana kama […]
February 26, 2022
Kufunga Kizazi Mwanaume (Vasektomi) ni Nini? Kufunga kizazi mwanaume (Vasektomi) ni njia ya kudumu ya kuzuia mimba kwa mwanaume ambayo […]
February 26, 2022
Nini Maana Kufunga Kizazi Mwanamke? Kufunga kizazi mwanamke ni njia ya kudumu ya kuzuia mimba kwa wanawake ambao hawahitaji kupata […]
February 26, 2022
Kitanzi Chenye Levonorgestrel ni Nini? Kitanzi chenye kichocheo kimoja (levonorgestrel) ni kiplastiki chenye umbo la T ambacho hutoa kiasi kidogo […]
February 26, 2022
Kitanzi Chenye Madini ya Shaba ni Nini? Kitanzi chenye madini ya shaba ni kiplastiki kilichozungushiwa madani ya shaba. Mtoa huduma […]
February 26, 2022
Vipandikizi ni Nini? Vipandikizi ni vijiti vidogo vya plastiki au kapsuli, kila kimoja kina ukubwa wa njiti ya kibiriti, ambacho […]
February 26, 2022
Sindano za Kila Mwezi za Kuzuia Mimba ni Nini? Sindano za kila mwezi za kuzuia mimba zina vichocheo – projestini […]
February 26, 2022
Sindano Zenye Kichocheo Kimoja (Sindano za kila baada ya miezi 3) ni Nini? Sindano zenye kichocheo kimoja za kuzuia mimba […]
February 26, 2022
Vidonge vya Dharura vya Kuzuia Mimba ni nini? Vidonge vya dharura vya kuzuia mimba ni vidonge ambavyo vina projestini pekee, […]
February 26, 2022
Vidonge vyenye kichocheo kimoja vya kupanga uzazi ni Nini? Vidonge vyenye kichocheo kimoja vya kupanga uzazi ni vidonge ambavyo vina […]
January 28, 2022
Vidonge Vyenye Vichocheo Viwili ni Nini? Vidonge vyenye vichocheo viwili vina kiasi kidogo cha vichocheo vya aina mbili projestini na […]
November 13, 2021
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa homa ya ini B ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya hepatitis B. Sio rahisi kwa […]
November 13, 2021
Maelezo ya jumla Sio rahisi kwa watoto kuambukizwa ugonjwa wa homa ya ini C, isipokuwa wanaoambukizwa wakati wa kuzaliwa. Watu […]
November 13, 2021
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa homa ya ini A ni ugonjwa wa ini unaosababishwa na virusi wanaoitwa hepatitis A. Dalili […]
October 31, 2021
Ugonjwa wa dementia (Ugonjwa wa kusahau) ni nini? Ugonjwa wa dementia (Ugonjwa wa kusahau) ni ugonjwa unaosababisha mgonjwa kupoteza kumbukumbu, […]
June 11, 2021
Maelezo ya jumla Ni rahisi sana kupata jeraha la jicho yanayotokana na kupigwa. Macho yanaweza kupata majeraha pia yanayosababishwa na […]
May 1, 2021
Maelezo ya jumla Kupigwa kichwani kunaweza kusababisha damu kuvia kwenye ngozi, jereha la kichwa linalovuja damu au wakati mwingine kusababisha […]
May 1, 2021
Maelezo ya jumla Kuvunjika mfupa ni hali ya kupata ufa au mvujiko kwenye mfupa kwa sababu ya kupigwa na kitu […]
May 1, 2021
Maelezo ya jumla Kupoteza fahamu ni tatizo linaloweza kutishia maisha. Tatizo hili linaweza kusababishwa na sababu nyingi, hii ni pamoja […]
April 27, 2021
Maelezo ya jumla Mmenyuko mkali wa mzio ni tatizo linalowapata baadhi ya watu. Baadhi ya watu hupatwa na hali hatari […]
April 27, 2021
Maelezo ya jumla Kuumwa na mdudu kama nyigu au nyuki huleta maumivu, na eneo lililoumwa linaweza kuvimba, kuwa jekundu na […]
April 27, 2021
Maelezo ya jumla Kuumia maungio ‘’sprain/strain’’ ni jambo la kawaida kwenye michezo. Wakati mwingine kano ‘’ligaments’’ za kwenye maungio kama […]
April 24, 2021
Maelezo ya jumla Kuvuja damu sana ni jambo linalomwogopesha mwathirika na mtu anayemsaidia. Mara nyingi hali ya kuvuja damu hutokana […]
April 24, 2021
Maelezo ya jumla Kujikata kidogo, kujikwaruza mahali na kuchomwa na kijiti ni majeraha ya kawaida. Mkato kwa kawaida huvuja damu […]
April 24, 2021
Maelezo ya jumla Malengelenge ‘’blisters’’ kwa kawaida hutokea kwenye miguu na mikono, na husababishwa na msuguano au shinikizo. Mwanzoni ngozi […]
April 23, 2021
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa rubella unaojulikana pia kama surua ya ujerumani ‘’German measles’’ ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na […]
April 23, 2021
Maelezo ya jumla Matubwitubwi au machubwichubwi ”Mumps” ni ugonwa unaosababishwa na virusi na ulikuwa unawaathiri sana watoto kabla ya enzi […]
April 23, 2021
Maelezo ya jumla Kifaduro ‘’pertusis /whooping cough’’ ni aina ya maambukizi makali ya bakteria ambayo yaliwapata sana watoto kabla ya […]
April 21, 2021
Maelezo ya jumla Mkanda wa jeshi ‘’shingles’’ ni ugonjwa unaotokana na kuamka kwa virusi walio bakia mwilini baada ya kuugua […]
April 21, 2021
Maelezo ya jumla Surua ‘’measles’’ ni ugonjwa unaoweza kuambukizwa kwa urahisi sana, na ulikuwa ugonjwa uliowapata watoto wengi sana kabla […]
April 16, 2021
Maelezo ya jumla Njia kuu ya maambukizi ya ugonjwa huu ni ngono isiyo salama. Hadi sasa, bado hakuna tiba ya […]
April 12, 2021
Maelezo ya jumla Kuota nywele nyingi kuliko kawaida (hirsutism) ni tatizo ambalo linaweza kuwapata watu wa jinsi zote mbili, lakini […]
April 12, 2021
Maelezo ya jumla Sio kwamba wanaopata ugonjwa wa masikio ‘’otitis externa’’ ni wanaoogelea pekee. Unapooga au kuosha nywele, unyevunyevu unaobakia […]
April 12, 2021
Maelezo ya jumla Kwa kawaida nta masikioni hutengenezwa kwa kiwango kidogo tu ili kulinda sikio na kisha kutawanyika yenyewe. Lakini […]
April 7, 2021
Maelezo ya jumla Yawezekana mwanao amewahi kusumbuka au umewahi kusikia rafiki au ndugu akilalamika kuwa mtoto wake anaharisha na haelewi […]
April 5, 2021
Maelezo ya jumla Kuvimba kilimi / Kuvimba kimeo ni hali inaweza kukera sana . Kuvimba kilimi (uvulitis) mara nyingi huambatana […]
April 5, 2021
Maeleo ya jumla Kama unatatizo la kusikia kelele masikioni au kichwani (tinnitus), unahisi kama kengele inapigiwa masikioni, sauti ”buzzz” kama […]
April 5, 2021
Maelezo ya jumla Maumivu ya sikio moja au yote mawili na kushindwa kusikia mara nyingi hutokana na maambukizi kwenye sehemu […]
April 5, 2021
Maelezo ya jumla Kuingiliwa na kitu sikioni ni tatizo. Kama kitu kitaingia na kung’ang’ania ndani ya sikio kinaweza kusababisha usumbufu […]
April 4, 2021
Maelezo ya jumla Watoto wengi na vijana ambao wako kwenye balehe wanauma au kutafuna kucha. Lakini wengi wao, kadri wanavyokua […]
April 4, 2021
Maelezo ya jumla Mba (dandruff) hazina madhara yoyote, lakini zinakera na zinaaibisha. Ukiwa na tatizo la hili, ngozi ya kichwa […]
April 4, 2021
Maelezo ya jumla Kama kidole cha mguu kinauma, ni chekundu na kimevimba kuzunguka ukucha, kuna uwezekano mkubwa utakuwa umesababishwa na […]
April 2, 2021
Maelezo ya jumla Mapunye/ Vibarango/ Mashilingi ni ugonjwa unaosababisha madoadoa kama magamba kwenye ngozi. Madoa ni ya mviringo, yanayowasha, mekundu […]
April 2, 2021
Maelezo ya jumla Sababu kubwa zaidi inayosababisha kucha zenye mwonekano mbaya ni mambukizi ya fangasi. Mara nyingi fangasi wanathiri zaidi […]
April 2, 2021
Maelezo ya jumla Chawa wa nywele kichwani ni wadudu wenye rangi ya kijivu–kahawia, wanalingana ukubwa na mbegu ya ufuta. Wanaishi […]
March 25, 2021
Maelezo ya jumla Vidonda vya homa / vidonda baridi / tukuto, huanza kwa kuwepo kwa mwasho karibu na midomo, kisha […]
March 25, 2021
Maelezo ya jumla Ukianza kupata vidonda mdomoni unaanza kuwa na maumivu kama umeungua moto, kisha unapata kishimo kidogo cha rangi […]
March 25, 2021
Maelezo ya jumla Kila mmoja wetu kwa wakati fulani anapatwa na tatizo hili la kukauka na kuchanika au kupasukapasuka kwa […]
March 18, 2021
Maelezo ya jumla Uchafu unatoka ukeni – ni hali ya kawaida kwa mwanamke kutokwa na uteute ukeni. Uteute huu huwa […]
March 17, 2021
Maelezo ya jumla Wanawake wengi wanahisi maumivu wakati wa ngono kwa wakati fulani. Wakati mwingine, tatizo linaweza kuwa la kimwili: […]
March 17, 2021
Melezo ya jumla Kuwashwa ukeni au eneo linalozunguka uke ni tatizo linaloleta karaha na kukera sana mchana na linaweza kusababisha […]
March 17, 2021
Maelezo ya jumla Wanawake wengi wana tatizo la kushindwa kuzuia mkojo, yaani wanajikojolea kwa sababu ya kushindwa kudhibiti kibofu. Tatizo […]
March 16, 2021
Maelezo ya jumla Ukomo wa hedhi (menopause) ni mabadiliko ya asili ya mwili yanayowatokea wanawake wenye umri kati ya miaka […]
March 16, 2021
Maelezo ya jumla Maambukizi kwenye kibofu (cystitis) yanasababisha utando unaofunika sehemu ya ndani ya kibofu kuvimba, na mara nyingi tatizo […]
March 16, 2021
Je, una wasiwasi kuwa una ujauzito? Kwa kweli njia pekee kujua kama wewe ni mjamzito ni kupima ujauzito. Hata hivyo, […]
March 5, 2021
Maelezo ya jumla Wanawake wenye matatizo yanayotokea siku chache kabla ya hedhi ‘’premenstrual syndrome’’ husumbuliwa na dalili kadhaa ambazo huanza […]
March 5, 2021
Maelezo ya jumla Chuchu ya titi iliyopasuka – kina mama wengi waliojifungua siku za hivi karibuni, wanapatwa na maumivu kwenye […]
March 5, 2021
Maelezo ya jumla Wanawake wengi wanapatwa na shida hii ya maumivu na uvimbe kwenye matiti. Dalili mara nyingi zinaathiri matiti […]
March 3, 2021
Matatizo ya lenzi za macho ‘’contact lens ‘’ Sababu kubwa ya matatizo ya lenzi za macho yanatokana na lenzi ambayo […]
March 3, 2021
Maelezo ya jumla Kuondoa kitu jichoni – kama ukiingiliwa na kitu jichoni, kinaweza kuleta usumbufu , kikasababisha wekundu kwenye jicho, […]
March 2, 2021
Maelezo ya jumla Tatizo la ukavu wa macho / kupungua kwa machozi – macho yanaweza kuwa makavu unapokuwa hautengenezi machozi […]
March 2, 2021
Maelezo ya jumla Kuwashwa macho – macho yanayowasha mara nyingi utakuta ni mekundu, yanawasha na unahisi kama yanaungua hivi. Unahisi […]
March 2, 2021
Maelezo ya jumla Damu huwa inavilia chini ya ngozi inayozunguka jicho kama umepata jeraha la jicho baada ya kupigwa na […]
March 1, 2021
Maelezo ya jumla Kikope (stye) ni uvimbe mwekundu unakuwa juu au ndani ya ukingo wa kope ya jicho lako, uvimbe […]
February 23, 2021
Maelezo ya jumla Kupata shida kukojoa kwa wanaume wengi huaanza uzeeni na husababiswa na kuongezeka ukubwa wa tezi dume. Tezi […]
February 23, 2021
Maelezo ya jumla Kuwahi kufika kileleni, ni pale mwanaume anapomwaga manii muda mfupi tu baada ya msisimuo wa kingono, kabla […]
February 23, 2021
Maelezo ya jumla Wanaume wengi huwa wanapata shida hii ya kushindwa kusimamisha uume kwa wakati fulani au wengine wanaweza kusimamisha […]
February 22, 2021
Maelezo ya jumla Maumivu ya pumbu – jeraha dogo tu kwenye pumbu halisababishi matatizo ya kudumu, lakini maumivu makali yanaweza […]
February 22, 2021
Maelezo a jumla Maumivu ya uume – ngozi inayoufunika uume ni nyepesi na ni rahisi kuumia. Mikwaruzo midogo midogo inaweza […]
February 21, 2021
Maelezo ya jumla Kuwashwa sehemu ya kutolea haja kubwa (mkundu), ni hali inayoleta karaha sana na inaweza kuaibisha kwa sababu […]
February 21, 2021
Maelezo ya jumla Bawasiri ni ugonjwa ambao unatokana na kuvimba kwa mishipa ya damu ndani au kuzunguka njia ya kutolea […]
February 20, 2021
Maelezo ya jumla Matukio mengi ya kuharisha baada ya kula chakula kilichoharibika au kichafu, husababishwa na usafi duni wakati wa […]
February 20, 2021
Maelezo ya jumla Kuvimbiwa na kujamba ni tatizo la kawaida linalosababishwa na kujaa kwa hewa ndani ya mfumo wa umeng’enyaji […]