Huduma za afya bora zaidi kwa urahisi
WikiElimu ina lenga kurahisisha upatikanaji wa elimu bora na huduma za kiafya kwa bei nafuu kwa jamii inayozungumza lugha ya kiswahili. Tunaamini kuwa, kuwawezesha wanajamii kupata elimu sahihi na taarifa kamili kuhusu maswala ya kiafya, yatawasaidia kufanya maamuzi sahihi kuhusu afya zao
Huduma bora kwa afya ya familia nzima
Kukupatia huduma bora zaidi ya afya na ya kuaminika wakati wote ndio sababu ya uwepo wetu.
Tunakuunganisha
Tunatambua kuwa huduma ya afya haiishii tu kwenye dalili, ishara, utambuzi na matibabu. Tunahimiza mahusiano bora na ya kudumu kati ya mgonjwa na daktari ili kuboresha matokeo ya tiba.
soma zaidiTunaaminika
WikiElimu ipo kwa sababu tunaaminika. Tunatambua majukumu yaliyowekwa juu yetu na madaktari pamoja na wagonjwa. Siku zote tutafanya kila tuwezalo kulinda imani hii
soma zaidiNi wa kweli na wazi
Tunaamini katika uwazi kamili. Tunaamini katika kutoa taarifa kwa uwazi na ukweli, na kufuatilia mwenendo wa kimaadili ya kitabibu bila kukosa.
soma zaidiTunajiboresha kila siku
Tunaamini unastahili huduma bora zaidi kila siku. Tunaamini unastahili kupata huduma bora zaidi kesho kuliko uliyopata leo.
soma zaidi