1. Home
  2. Archives
MAFUA YA NGURUWE

Maelezo ya jumla Mafua ya nguruwe (Swine flu) ni ugonjwa unaosababishwa na virusi aina ya H1N1 na H3N2 wanaosababisha . Dalili za mafua ya nguruwe zinafanana kabisa na zile za mafua ya kawaida. Mwaka 2009 wanasayansi walitambua aina ya kirusi kinachoitwa H1N1. Kirusi hiki kilikuwa kimetengenezwa kwa muunganiko wa virusi ambao wanapatik...

TATIZO LA NGOZI KUWA KAVU AU KUPASUKA

Maelezo ya jumla Ngozi kuwa kavu sana au kupasuka (dry skin) : Ngozi yako inapokosa unyevu inaanza , kukakamaa na inakuwa dhaifu na rahisi kupasuka. Ngozo inaweza kuonekana nyekundu, yenye mikunjomikunjo na kuwa kama una magamba, na katika hali kali sana inaweza kupasuka kabisa na kuvimba. Sehemu za miguu, mikono na mgongo ndio z...

Categories: 
MAMBO YA KUFANYA KUPUNGUZA MAUMIVU WAKATI WA HEDHI

Maelezo ya jumla Maumivu wakati wa hedhi (dysmenorrhea) - wanawake wengi wanapata maumivu kwenye sehemu ya chini ya tumbo muda kidogo tu kabla au wakati hedhi inapoanza, maumivu yenyewe yanakuwa ya kunyonga. Baadhi ya wanawake pia wanapata , , na hata . na unaweza kusababisha tatizo likawa kubwa zaidi. Maumivu wakati wa hedhi...

Categories: 
KWIKWI

Maeleozo ya jumla Kila mmoja wetu anapatwa na kwikwi mara moja moja- unajikuta unavuta hewa kwa haraka na kwa mshtuo, kunakosababishwa na kuvutika kwa kiwambo kinachosaidia upumuaji (diaphragm). Japo mara nyingi kwikwi inatokea bila sababu yoyote, baadhi ya sababu za kawaida ni pamoja na kula chakula kuzidi kiasi au kula haraka h...

KUTOKWA | KUVUJA DAMU KUTOKA PUANI

Maelezo ya jumla Kuvuja damu puani (Nosebleed) ni jambo la kawaida sana kwa watoto, lakini watu wazima pia wanapatwa na Hii hali mara chache pia. Sababu za kawaida ni pamoja na kuchokonoa pua na kupuliza kwa nguvu pua hasa wakati wa kutoa makamasi, lakini mara nyingi kuvuja damu puani huwa kunaokea bila sababu ya msingi au inayoe...

KUONDOA SUGU KWENYE MIGUU AU MIGUU

Maelezo ya jumla Kama kuna msuguano wa muda mrefu unaosababiswa na mgandamizo kwenye mikono au miguu kunatokea sugu ambayo inasababisha ngozi ya mahali hapo kuwa ngumu (calluses). Sugu zinaweza kutokea kwenye miguu kama unavaa viatu vinavyobana miguu au ambayo sole yake hailingani unapotembea na kwenye mikono kama unafanya kazi n...

Categories: 
CHUNJUA | VIGWARU | MASUNDOSUNDO

Maelezo ya jumla Chunjua (warts) ni viuvimbe vidogo ambavyo huwa vinaota kwenye ngozi, vinamwonekano kama wa mkoliflawa (cauliflower) na wakati mwingine vinakuwa na kidoti cheusi katikati. Huwa vinasababishwa na virusi na mara nyingi huwa vinawapata watoto na vijana wadogo. Chunjua mara nyingi hutokea kwenye mikono au kw...

KUSHINDWA KULALA | KUKOSA USINGIZI USIKU

Maelezo ya jumla Watu wengi wanapata shida kulala (insomnia), inaweza kuwa kwa sababu ya kukosa usingizi kabisa usiki au kwa sababu wanashtuka kutoka usingizini mapema sana na wanashindwa tena kupata usingizi. Watu wazima wanahitaji angalau masaa 7-8 ya usingizi kwa wastani, lakini ukweli ni kwamba kadri umri unavyoongezeka na uhitaji wa...

KUJISIKIA VIBAYA BAADA YA KULEWA POMBE ”HANGOVER”

Maelezo ya jumla Hangover ni matokeo ya , lakini kuna baadhi ya watu wanapata hangover baada ya kunywa hata kidogo tu. Sababu ya hangaover baada ya huwa inasababishwa na unaosababishwa na pombe, kemikali na viungo vingine vinavyowekwa kwenye vinywaji, hasa vinywaji vyenye rangi nzito kama red wine, brandy, port na sherry. Unaweza kuhisi...

UCHOVU

Maelezo ya jumla Kila mmoja wetu anajihisi kuchoka baada ya shughuli za kimwili au kazi ngumu. Kulala vizuri usiku mara nyingi ni tiba kamili ya uchovu, lakini wakati mwingine utajikuta unahisi uchovu unakuwepo kwa siku kadhaa na unaweza kukuta shughuli zako zinaharibika kabisa. Sababu ya wazi kabisa ya uchovu huwa ni...