
Maelezo ya jumla Tafiti nyingi zinaonesha kuwa , mavazi tunayovaa yana adhari kubwa kwa maisha yetu kiakili na kimwili. Japo tafiti hizi nyingi, ni tafiti ndogo, zinazofanyika kwa makundi ya watu wachache na hayajapata uwezekano wa kufanyika kwa watu wengi ulimwenguni, lakini kadri tafiti hizi zinavyoongezeka zinaashiria kuwa kuna kitu ch...

Maelezo ya jumla Upungufu wa maji mwilini (Dehydration) unaweza kuwa upungufu wa kadri, upungufu wa wastani, au upungufu mkubwa sana kulingana na kiasi cha maji ya mwili yaliyopotea. Upungufu wa maji mwilini unapokuwa mkubwa sana unaweza kutishia maisha. Upungufu wa maji mwilini humaanisha kuwa mwili wako hauna maji ya...

Maelezo ya jumla Uchangiaji wa damu (blood donation) ni utaratibu wa hiari unaoweza kuokoa maisha ya wengine. Kuna aina kadhaa za uchangiaji wa damu, unaosaidia kukidhi mahitaji mbalimbali ya kitabibu. Kuchangia damu nzima Hii ndio aina ya uchangiaji damu inayofanywa na watu wengi. Mchangiaji huchangia chupa kadhaa za...

Utoaji wa chanjo zaidi ya moja kwenye kila hudhurio; Mtoto hupata chanjo zaidi ya moja wakati wa hudhurio inauhusu mtoto kupata kinga kamili haraka iwezekanavyo. Hii hutoa ulinzi wakati wa miezi ya kwanza ya hatari ya maisha ya mtoto. Kwa kupata chanjo zaidi ya moja kwa kila hudhurio humpunguzia mzazi/mlezi mahudhurio ya mara...

Maelezo ya jumla Tetekuwanga (Chicken pox) ni maambukizi ya virusi yanayosababisha mtu kupata malengelenge yanayowasha mwili mzima. Tetekuwanga ulikuwa ugonjwa uliowapata watoto wengi sana kabla ya kugunduliwa kwa chanjo ya tetekuwanga. Je, nini dalili za tetekuwanga? Watoto wengi wenye tetekuwanga huwa na dalili zi...

Utangulizi ni ugonjwa unaoambukiwa na virusi vijuikanavyo kwa jina la kitaalamu polio virus. Ugonjwa huu unaweza kumpata mtu yoyote katika umri wowote ila watoto walio chini ya miaka 15 huathirika zaidi. Virusi vya polio humwingia mtu mwilini kwa kupitia chakula, au maji yaliyochafuliwa. Virusi hivi huishi kwenye utumbo na kuongezeka...

Maelezo ya jumla Degedege (seizuire) ni mabadiliko ya kimwili na tabia yanayotokea kunapokuweko na shughuli ya umeme isiyo ya kawaida kwenye ubongo. Mtu anayepatwa na degedege hutikisika na kutupa tupa mikono na miguu kwa vurugu bila kujitambua, misuli yake hukaza na kulegea kwa kujirudia rudia. Aina fulani za degedege hazina dalili ka...

Maelezo ya jumla Kuna unyanyapaa mkubwa sana na habari nyingi sana za kupotosha kuhusu . Kwa sababu hii inaweza kuwa ngumu sana kuyaongelea. Lakini sote tunajuan ni muhimu sana kuyaongelea ili kuyadhibiti. yanawapata watu wengi, hasa vijana wanaobalehe. Kwa hiyo, unaweza kulikwepa swala hili la kuyaongelea, lakini siku moja utapaswa kufa...