1. Home
  2. Archives
NGIRI

Maelezo ya jumla Ngiri (hernia) ni hali inayotokea kama kuna uwazi au udhaifu kwenye ukuta wa tumbo na kusababisha viungo vya ndani ya tumbo kuchoropoka na kutokeza nje ya ukuta wa tumbo. Ukuta wa tumbo umeundwa na safu imara ya fascia inayoizunguka misuli ya tumbo, na kazi yake kubwa ni kulinda na kuzuia vinavyopaswa ku...

MABUSHA

Maelezo ya jumla Busha (hydrocele) ni hali inayosababishwa na kujaa kwa maji katikati ya tabaka mbili za utando unaozunguka korodani na mrija unaobeba manii kutoka kwenye korodani kwenda nje. Je! Nini dalili za busha? Kwa kawaida busha halisababishi maumivu yoyote, korodani huvimba na kuwa kama puto lililojaa maji. Bus...

HOMA YA DENGUE

Maelezo ya jumla Homa ya dengue (dengue fever) ni ugonjwa unaosababishwa na virusi wanaoenezwa na mbu. Je, ni dalili za homa ya dengue? Homa ya dengue huanza na homa ya ghafla, joto la mwili linaweza kupanda hata kufikia nyuzi  joto 40. Mgonjwa anaweza kutokewa na upele mwekundu siku 2-5 baada ya homa kuanza. Upele wa...

UGUMBA

Maelezo ya jumla Ugumba (Infertility) ni hali ya kutoweza kupata ujauzito katika kipindi cha mwaka mmoja au zaidi kwa wenzi ambao wamekuwa wakifanya mapenzi bila kutumia njia zozote za uzazi wa mpango. Hali hii inaweza kutokea kutokana na tatizo kwa mwanaume au mwanamke. Ugumba umegawanywa katika makundi m...

Categories: 
KUWASHWA

Maelezo ya jumla Kuwashwa (itching) ni hali ya kuhisi mchonyoto unaokera kwenye ngozi anaokufanya utamani kukuna sehemu ilioathiriwa. Unaweza kuwashwa sehemu fulani ya mwili pekee au mwili mzima. Kuwashwa husababishwa na nini? Kuna sababu nyingi za kuwashwa, ikiwa ni pamoja na: Kuzeeka kwa ngozi Kuvimba...

Categories: 
KUKOROMA

Maelezo ya jumla Kukoroma (snoring) ni hali ya kupumua kwa nguvu au kutoa sauti kubwa yenye mkwaruzo usingizini. Kukoroma husababishwa na nini ? Unapokuwa umelala, misuli ya koo hulegea, ulimi wako hurudi nyuma na koo lako hupungua upana na kulegea. Unapovuta pumzi ndani, kuta za koo hutetema na kusaba...

Categories: 
UNYANYASAJI WA KINGONO KWA WATOTO

Maelezo ya jumla Unyanyasaji wa kingono kwa watoto (sexual abuse) ni hali ya kuwaingiza kwa makusudi watoto wadogo kwenye shughuli za kingono. Hii inamaanisha, mtoto hulazimishwa au kushawishiwa kufanya ngono au shughuli za kingono na mtu mwingine. Unyanyasaji wa kingono wa watoto hujumuisha: Ngono ya kinywa–...

Categories: 
MTOTO WA JICHO

Maelezo ya jumla Mtoto wa jicho (cataract) ni ukungu kwenye lenzi ya jicho unaoathiri uwezo wa kuona. Inaweza kutokea kwa jicho moja au yote, lakini haiwezi kuenea kutoka kwenye jicho moja hadi jingine. Je! Nini dalili mtoto wa jicho ? Mgonjwa huwa na matatizo yafuatayo: Kuona ukungu kwenye jicho...

Categories: 
TAUNI

Maelezo ya jumla Tauni (plague) ni ugonjwa wa kuambukiza unaowapata  panya, wanyama fulani na binadamu. Ugonjwa huu husababishwa na bakteria wanaoitwa Yersinia pestis. Bakteria hawa hupatikana katika maeneo mengi duniani. Kuna aina tatu za tauni, tauni inayosababisha mtoki (bubonic), tauni inayosababisha nyumon...

KISONONO

Maelezo ya jumla Kisonono (Gonorrhea) ni ugonjwa wa zinaa. Je, Nini dalili za kisonono? Dalili za kisonono huanza kuonekana siku 2 - 5 baada ya kuambukizwa. Hata hivyo, kwa wanaume, dalili zinaweza kuchelewa mpaka mwezi. Watu wengine hawapati dalili kabisa. Wanaweza kuwa hawajui kabisa kwamba wameambukizwa ugonjwa huu, na kwa s...