1. Home
  2. Archives
KUFUNGA CHOO

Maelezo ya jumla Kufunga choo (constipation) ni hali ya kushindwa kupata kinyesi (kunya) kwa angalau mara tatu kwa wiki. Mtu akifunga choo, kinyesi huwa kigumu, kidogo, na kigumu kutoka. Baadhi ya watu hupata maumivu  wakati wa kupata kinyesi, hujikamua sana wakiwa chooni na huwa na hisia ya tumbo kujaa. Watu wengine hufikiri...

MAUMIVU YA TUMBO

Maelezo ya jumla Maumivu ya tumbo ni maumivu yanayotokea popote kati ya kifua na kinena. Dalili za maumivu ya tumbo? Karibu kila mtu hupata maumivu ya tumbo kwa wakati mmoja au mwingine, na mara nyingi maumivu haya hayasababiswi na ugonjwa mkubwa. Ukali wa maumivu ya tumbo hauashirii kuwa ugonjwa wako ni mkubwa au la. Kwa...

HOMA

Maelezo ya jumla Homa (fever) ni dalili inayotajwa mara kwa mara kuelezea ongezeko la joto la mwili kuliko kiwango cha kawaida (kiwango cha kawaida  cha joto la mdomoni ni 36.8 ± 0.7 ° C au 98.2 ± 1.3 ° F). Homa huelezeka kama ongezeko la muda mfupi la joto la mwili, kwa kawaida huwa karibu 1-2 ° C.  Homa sio ugonjwa bali...

EKSIREI

Eksirei ni nini? Eksirei (X-ray) ni kipimo cha picha ambacho kimetumika kwa miongo mingi. Kinamsaidia daktari kutazama ndani ya mwili wa mgonjwa bila ya kufanya upasuaji wowote. Hii inasaidia kutambua, kufuatilia, na kutibu hali nyingi za kitabibu. Kuna aina nyingi tofauti tofauti za eksirei zinazotumika kwa madhumuni tofauti...

Categories: 
DARUBINI

Maelezo ya jumla Darubini (Microscope) ni chombo kinachotumika kuangalia vitu ambavyo ni vidogo sana kuonekana kwa macho pekee . Sayansi ya kuchunguza vitu vidogo kwa kutumia chombo hiki inaitwa microscopy. Neno microscopic humaanisha vitu vidogo sana, visivyoonekana kwa jicho isipokuwa kwa msaada wa darubini. Darubini ya kwanza iliyof...

Categories: 
NJIA ZINAZOTUMIKA KUPIMA KAMA UNA KITAMBI

Maelezo ya jumla Kuchunguza kama una kunashauriwa kwa watoto wenye umri zaidi ya miaka sita, na angalau mara moja kwa mwaka kwa watu wazima. Njia kuu za kupima kama una ni pamoja na kupima Body mass index (BMI), kupima mzunguko wa kiuno, na kupima kiwango cha mafuta mwilini. Body mass index (BMI) Uchunguzi wa unapaswa kufanyi...

Categories: 
UKIMWI

Maelezo ya jumla UKIMWI – Upungufu wa kinga mwilini- ni ugonjwa unaopata mtu baada virusi vya VVU kuharibu mfumo wa kinga yako ya mwili. Kwa kawaida, mfumo wako wa kinga husaidia kupambana na magonjwa. Mfumo wako wa kinga unaposhindwa kufanya kazi yake vyema unaweza kuugua sana na hata kufa. VVU - Virusi vya Ukimwi - ni virusi vinavyoua...

KITAMBI

Maelezo ya jumla Kitambi (obesity) humaanisha kuwa una mafuta mengi mwilini. Kuwa na kitambi si sawa na kuwa na uzito mkubwa (overweight), kuwa na uzito mkubwa humaanisha mtu ana uzito mkubwa sana kuliko ilivyokawaida. Mtu anaweza kuwa na uzito mkubwa kutokana na  ziada ya misuli, mifupa au maji mwilini, mafuta pia yana...

KIBOLE

Maelezo ya jumla Kibole (appendicitis) ni uvimbe wa kidole tumbo (appendix) unaosababishwa na maambukizi. Kidole tumbo ni kiungo kidogo kinachoonekana kama kidole kilichopachikwa kwenye sehemu ya mwanzo ya utumbo mpana. Kidole tumbo kiko tumboni upande wa chini-kulia. Kazi yake haijulikani. Kuziba kwa kidole tumbo husaba...

KUTOKWA DAMU

Maelezo ya jumla Kutokwa damu (bleeding) kunaweza kutokea nje au ndani ya mwili: Ndani ya mwili, damu huvuja kutoka kwenye mishipa ya damu au viungo Nje ya mwili, damu hutoka kupitia kwenye matundu ya asili (kama vile uke, mdomo, au njia ya haja kubwa) au damu inapotoka kupitia kwenye ngozi D...