1. Home
  2. Archives
DAMU KWENYE KINYESI

Maelezo ya jumla Mara nyingi kinyesi kinapokuwa na damu huashiria kuwa kuna tatizo au jeraha kwenye mfumo wa kumeng’enya chakula. Damu kwenye kinyesi inaweza kutoka mahali popote kwenye mfumo wa kumeng’enya chakula, kuanzia mdomoni hadi kwenye sehemu ya kutolea haja kubwa. Damu inaweza kuwepo kwa kiasi kidogo sana kiasi kwamba huwe...

SARATANI YA KIBOFU

Maelezo ya jumla Kibofu (bladder) hupatikana kwenye sehemu ya chini ya tumbo, na kazi yake kubwa ni kuhifadhi mkojo. Saratani ya kibofu (bladder cancer) hutokea kwenye utando wa ndani wa kibofu. Je, nini dalili za kansa ya kibofu? Dalili za kansa ya kibofu ni pamoja na: Mkojo wenye damu (Mkojo huw...

UVIMBE KWENYE UBONGO

Maelezo ya jumla Ubongo ni sehemu ya mfumo mkuu wa neva. Ni chanzo cha mawazo, hisia, kumbukumbu, lugha, kuona, kusikia, kutembea, na kadhalika. Hakuna sababu inayojulikana ya kutokea kwa uvimbe kwenye ubongo. Kwa upande mmoja, uvimbe unaweza kuharibu moja kwa moja seli za ubongo. Kwa upande mwingine, unaweza kuharibu seli za ubongo kwa k...

KUCHUNGUZA MATITI YAKO MWENYEWE

Maelezo ya jumla Kujifanyia uchunguzi wa matiti mwenyewe ni sehemu muhimu ya afya kwa wanawake wengi. Inawasaidia kujua matiti yao yalivyo katika hali ya kawaida, ili kunapotokea mabadiliko, wazungumze na mtoa huduma ya afya mapema. Hata hivyo, hakuna makubaliano ya pamoja ya wataalamu wa tiba kuhusu kujifanyia uchuguzi wa matiti. Haij...

KIKOJOZI

Maelezo ya jumla Kikojozi (bedwetter) ni mtoto wa miaka 5 mpaka 6 anayejikojolea bila hiari yake. Anaweza kujikojolewa wakati wowote ,iwe usiku au mchana. Makala hii inalenga kuzungumzia zaidi kujikojolea wakati wa usiku. Je! Nini dalili za ukojozi ? Dalili kuu ni kukojoa bila hiari ,hasa wakati wa usiku, na hutokea an...

Categories: 
MATEGE

Maelezo ya jumla Matege  (bowlegs) huchukuliwa kuwa jambo la kawaida kwa watoto chini ya miezi 18. Mtu mwenye matege akisimama mguu sawa magoti hayagusani, magoti huwa mbali mbali kama vifundo vya miguu vimekutanisha. Je, nini dalili za matege? Magoti hayagusani akisimama mguu sawa (vifundo vya miguu vikiw...

Categories: 
SARATANI YA MATITI

Maelezo ya jumla Saratani ya matiti ni kansa inayotokea kwenye tishu za matiti. Inatokea kwa wanaume na wanawake. Saratani ya matiti kwa wanaume hutokea kwa nadra. Dalili za saratani ya matiti ni pamoja na; Kuvimba titi, kuchubuka au kubonyea kwa ngozi ya titi, maumivu ya titi/chuchu, kurudi ndani kwa chuchu (retraction), wekundu...

TEZI DUME

Maelezo ya jumla Tezi dume (prostate), ni tezi iliyo kwenye kizazi cha mwanaume inayozalisha maji maji yanayobeba manii/shahawa. Inaizunguka urethra, mrija unaotoa mkojo kwenye kibofu kwenda nje. Tezi dume ya kila mwanaume huongezeka ukubwa kadri umri unavyoongezeka. Kadri tezi inapokua na kuongezeka ukubwa,inaweza kukandamiza...

KUNUKA MDOMO

Maelezo ya jumla Kunuka mdomo (bad breath) ni hali ya kutoa pumzi/hewa kinywani, yenye harufu mbaya, isiyofurahisha na inayokera. Je, nini dalili za kunuka mdomo? Matatizo kadhaa yanaweza kusababisha mgonjwa kutoa harufu ya aina fulani kinywani. Mara nyingi kunuka mdomo husababishwa na usafi duni wa kinywa, harufu h...

Categories: 
MAUMIVU YA MGONGO

Maelezo ya jumla Maumivu ya mgongo ni tatizo linalowapata watu wengi sana. Katika kipindi chote cha maisha ya mwanandamu ,watu 8 kati ya 10 huathiriwa na tatizo hili. Maumivu ya mgongo yanaweza kuwa ya kawaida,mengine yanaweza kuwa ya kawaida lakini yanayodumu kwa muda mrefu au yanaweza kuwa maumivu makali ya ghafla. Je! Nini dalili...