1. Home
  2. Archives
BERIBERI

Maelezo ya jumla Beriberi ni ugonjwa uletwao na ukosefu wa vitamini B1 mwilini (vitamini B1). Nini dalili za beriberi? Dalili za beriberi kavu (dry beriberi ) ni pamoja na: Kupata shida kutembea Kupoteza hisia kwenye mikono na miguu Kupooza kwa miguu Kuchanga...

Categories: 
MZIO

  Maelezo ya jumla Mzio (allergy) ni muuitikio (reaction) wa kinga ya mwili usio kawaida, unaotokea kwa kitu ambacho kwa kawaida hakidhuru. Kuna aina nyingi za mzio,aina hizi hugawanywa kulingana na vitu vinavyousababisha au mahali unapotokea. Kwa mfano: Mzio unaosababishwa na vumbi,manyoya ya wanyama,...

Categories: 
KISUKARI

Maelezo ya jumla Kisukari (diabetes) ni ugonjwa unaoleta matatizo ya kimetaboliki ambayo husababisha kuwepo kwa viwango vya juu vya sukari katika damu kwa muda mrefu. Dalili za ugonjwa huu ni pamoja na kukojoa mara kwa mara, kuwa na kiu sana, na kuhisi njaa sana. Bila kutibiwa, ugonjwa wa kisukari unaweza kusa...

KUHARA

Maelezo ya jumla Kuhara (Diarrhea) ni hali ya kupata kinyesi chepesi chenye majimaji mengi. Kwa kawaida, mtu mwenye kuhara hupata kinyesi zaidi ya mara tatu kwa siku. Kuharisha ni tatizo linalowapata watu wengi na linaweza kudumu kwa siku 1 au 2 na kisha kupungua bila matibabu yoyote. Kuharisha kwa muda mrefu kunakoendelea zaidi ya siku 2...

MSONGO

Maelezo ya jumla Msongo (Stress)  hutokana na wazo lolote au tukio lolote linalokufanya uhisi huzuni, hasira, au hofu. Msongo/ mfadhaiko humpata mtu akipata shida/taabu, dhiki au matatizo fulani. Wasiwasi (anxiety) ni hisia ya hofu na mahangaiko. Chanzo cha dalili hizi mara nyingi hazijulikani. Je! Nini dalili za w...

Categories: 
ULEVI

Maelezo ya jumla Ulevi (Alcoholism) na unywaji wa pombe kupita kiasi (Alcohol abuse) ni matatizo mawili tofauti. Ulevi ni pale unapopata dalili za kimwili za uraibu wa pombe lakini ukaendelea kunywa pombe,japo utapata matatizo ya kiafya,kiakili,kijamii,kifamilia na hata kazini,utaendelea kun...

Categories: 
KIMETA

Maelezo ya jumla Kimeta (Anthrax) ni ugonjwa wa kuambukiza,unaopatikana kote duniani, unasababishwa na Bacillus anthracis. Bacillus anthracis ni bakteria anayetengeneza chembe (spores) ambazo husambaza ugonjwa huu. Ugonjwa huu mara nyingi huwapata wanyama wanaokula majani, hasa kabla hawajapewa chanjo....

AMIBA

Maelezo ya jumla Amiba (Amoebiasis) ni ugonjwa wa matumbo unaosababishwa na vimelea vya Entamoeba histolytica. Je! Ni nini dalili za Amiba? Kwa kawaida, ugonjwa huu hudumu kwa wiki mbili, lakini unaweza kurudi ikiwa hautatibiwa vyema. Dalili zisizo kali ni: Tumbo kuuma Kuhara...

FISTULA KWENYE NJIA YA HAJA KUBWA

Maelezo ya jumla Fistula/nasuri kwenye njia ya haja kubwa (anal fistula) ni mferiji usio wa kawaida unaotengenezeka kuunganisha njia ya haja kubwa na ngozi. Watu waliokuwa na jipu kwenye njia ya haja kubwa wana uwezekano mkubwa wa kupata shida hii. Dalili zake ni maumivu, kutokwa uchafu,damu au usaha, kuwashwa sehemu ya haja kubw...

JIPU KWENYE NJIA YA HAJA KUBWA

JIPU KWENYE NJIA YA HAJA KUBWA Maelezo ya jumla Jipu kwenye njia ya haja kubwa (anal abscess) ni mkusanyiko wa usaha katika eneo la mkundu (anus) na rektamu (rectum). Je! Ni nini dalili za jipu la njia ya haja kubwa? zifuatazo ni dalili za jipu kwenye njia ya haja kubwa...

Categories: