1. Home
  2. Archives
SARATANI YA NJIA YA HAJA KUBWA

Maelezo ya jumla Kansa ya njia ya haja kubwa ni kansa kwenye mfumo wa kumeng’enya chakula. Mkundu ni sehemu ya mfumo wa kumeng’enya chakula ,inayoruhusu kinyesi kutoka nje.Imeundwa kwa aina tofauti za seli, na kila aina inaweza kuwa na kansa. ndio aina ya saratani ya njia ya haja kubwa inayowapata watu wengi zaidi kuliko zingine. Dal...

UFA KWENYE NJIA YA HAJA KUBWA

Maelezo ya jumla Ufa kwenye njia ya haja kubwa (anal fissure) ni hali inayotokana na kuchanika au kupasuka kwa utando utelezi (mucosa) unaoifunika sehemu ya chini ya rektamu Je! Nini dalili za ufa kwenye njia ya haja kubwa? Nyufa kwenye njia ya haja kubwa zinaweza kusababisha maumivu wakati wa kwenda haja kubw...

Categories: 
BRONCHIECTASIS

Maelezo ya jumla Bronchiectasis ni uharibufu unaosababisha kupanuka kusiko kwa kawaida kwa njia ya hewa. Mtoto anapozaliwa na hali hii, inaitwa congenital bronchiectasis. Hali hii inapotokea baadae maishani, inaitwa acquired bronchiectasis. Ni nini dalili za bronchiectas...

MAAMBUKIZI KWENYE NJIA YA MKOJO

MAAMBUKIZI KWENYE NJIA YA MKOJO Maelezo ya jumla Mambukizi kwenye njia ya mkojo (urinary tract infection (UTI)) yanaweza kutokea mahali popote kwenye njia ya mkojo. Maambukizi haya yana majina tofauti, kulingana na sehemu ilioambukizwa. Maambukizi katika kibofu cha mkojo huitwa cystitis, maambukizi kwenye figo moja au zo...

KUPANDIKIZA MOYO

KUPANDIKIZA MOYO Maelezo ya jumla Kupandikiza moyo (heart transplant ) ni upasuaji unaofanyika ili kuondoa moyo ulioharibika au mgonjwa na badala yake kupandikiza moyo wenye afya wa mtoaji (mfadhili). Maelezo Kupata moyo kwa ajili ya kupandikiza inaweza kuwa ngumu. Moyo ni lazima utolewe...

MSHTUKO WA MOYO/SHAMBOLIO LA MOYO

MSHTUKO/SHAMBULIO LA MOYO Maelezo ya jumla Shambulizi la moyo (heart attack) hutokea pindi tu mtiririko wa damu kuelekea kwenye misuli ya moyo unapokatishwa.Ikiwa mtiririko wa damu haukurejeshwa haraka misuli ya moyo huharibika/kufa kutokana na ukosefu wa oksijeni. shambulio la moyo linaongoza kwa kusababisha v...

SHINIKIZO LA JUU LA DAMU

SHINIKIZO LA JUU LA DAMU Maelezo ya jumla Shinikizo la juu la damu (Hypertension), ni hali ya muda mrefu ambapo shinikizo la damu katika mishipa huwa juu saana [1] Shinikizo la damu ni nguvu ya damu inaposukumwa/kukandamizwa dhidi ya kuta za mishipa wakati wa kutiririka. Kila wakati moyo unapopiga, unasukuma d...

KIHARUSI

Maelezo ya jumla Kiharusi (stroke) ni hali inayomtokea mtu kunapokuwepo na kizingiti kinachozuia damu kufika katika sehemu fulani ya ubongo.Wakati mwingine kiharusi huitwa "shambulio la ubongo." Je! Nini dalili za kiharusi...

KANSA/SARATANI

Maelezo ya jumla Saratani (cancer) ni ukuaji wa seli sizizo za kawaida mwilini usio na udhibiti. Dalili Dalili za kansa hutegemea ni aina gani ya kansa na eneo la mwili ilip...

CHUNUSI

CHUNUSI Maelezo ya jumla Chunusi (acne) ni hali ya muda mrefu ya ngozi ambayo husababisha kutokea kwa vipele na madoa meupe na/au meusi. Je, nini dalili za chunusi? Chunusi kwa kawaida huto kea kwenye uso na mabega, lakini pia zinaweza kutokea kwenye kiwiliwili, mik...

Categories: