1. Home
  2. Kinywa na meno
TATIZO LA SAUTI KUKWARUZA AU KUPOTEA

Maelezo ya jumla Tatizo la sauti kukwaruza au kupotea ''hoarsness of voice'' ni shida inayokera, sauti yako inakua inakwaruza kwaruza na inakuwa ngumu wewe kusikika unapoongea. Sababu ya kawaida huwa ni kuvimba kwa sanduku la kutengenezea sauti ‘’voice box’’ kwa sababu ya maambukizi kama vile . Koo lako linaweza kuwa linawasha au...

Categories: 
KUWASHWA AU MAUMIVU YA KOO

Maelezo ya jumla Kuwashwa au maumivu ya koo (sore throat) ni tatizo la kwaida sana. Pamoja na koo kuuma, unaweza kuwa unapata shida kumeza, ukawa na ka-kikohozi kepesi, sauti inaweza kuwa inakwaruza kwaruza,, na kuvimba kwa tezi zilizo kwenye shingo. Kwa kawaida unakuta hii hali ya kuwasha au kuuma kwa koo inazidi kuwa mbaya ndani ya sik...

Categories: 
MAUMIVU MDOMONI AU ULIMI

Maelezo ya jumla Kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha upate maumivu mdomoni au ulimi. Utando ute unaofunika mdomo na ulimi unaweza kusumbuliwa ''irritated'' na kusababisha uvimbe kwa kula vyakula ambavyo ni vya moto, vyenye pilipili sana au vinavyowasha au hata vinywaji vya moto au kwa sababu ya matumizi yaliyopitiliza ya madawa ya k...

Categories: 
MAUMIVU YA MENO

Maelezo ya jumla Maumivu ya jino yanaweza kuwa ya kadri unayoweza kuyavumilia au yanaweza kuwa makali sana, yanayokuwepo wakati wote, unahisi kama jino lina puta puta. Kuoza kwa meno kwa sababu ya usafi duni wa meno ndio sababu kubwa ya tatizo hili, lakini maumivu kwenye jino yanaweza pia kutokana na , jino lililopasuka au kuvunjika au ma...

Categories: 
TATIZO LA FIZI KUVUJA DAMU

Maelezo ya jumla kuhusu fizi kuvuja damu Tatizo la fizi kuvuja au kutokwa na damu kwenye fizi huwa ni ishara kuwa zimevimba au zina ‘’gingivitis’’. Fizi zenye afya huwa zina rangi iliyofifia na huwa imara, lakini kama fizi zina matatizo yoyote zinabadilika rangi na kuwa za zambarau au nyekundu, zinavim...

Categories: 
MDOMO WAZI

Maelezo ya jumla Mdomo wazi au mdomo sungura (cleft lip and palate) ni kasoro ya kuzaliwa nayo inayoathiri mdomo wa juu wa kinywa na kaakaa au paa la kinywa. Mdomo wazi Kama ni mi domo ya juu pekee iliyoathirika, hii hujulikana kama mdomo wazi-cleft lip. Mdomo wazi ni uwazi mdogo, pengo au mbonyeo kwenye mdomo wa juu na unaweza...

UGONJWA WA FIZI

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa fizi (gingivitis) husababisha kuvimba kwa fizi. Dalili za ugonjwa wa fizi? (unakuta damu kwenye mswaki hata kama ukisugua polepole meno) Kuwa na fizi zenye rangi nyekundu sana au zenye rangi ya zambarau Kuwa na fizi zinazouma ukizigusa, lakini vinginevyo...

Categories: 
KUNUKA MDOMO

Maelezo ya jumla Harufu mbaya ya kinywa au kunuka mdomo (bad breath) ni hali ya kutoa pumzi/hewa kinywani, yenye harufu mbaya, isiyofurahisha na inayokera. Kuwa na harufu mbaya ya kinywa ni hali ya kitabibu inayoitwa ‘’halitosis’’, mara nyingi inatokana na usafi duni wa kinnywa. Vipande vipande vya chakula vinavyobakia md...

Categories: