MLO/LISHE WAKATI WA MAJANGA
Majanga na Dharura Majanga na dharura ni matukio ambayo yanatokea kwa ghafla na kuharibu mfumo mzima wa maisha na mali za mtu, watu au jamii nzima. Pia matukio hayo yanaweza kusababisha watu kuumia na hata kupoteza maisha. Kuna makundi mawili ya majanga ambayo ni majanga ya asili na majanga yanayosababishwa na binadamu wenyewe. Majanga ya […]