JICHO JEKUNDU :Sababu, matibabu, kuzuia
Jicho jekundu ni nini? Jicho jekundu ni hali inayotokana na kuvimba kwa utando mwepesi unaofunika jicho na sehemu ya ndani ya kope. Jicho jekundu ni hali inayotambulika pia kama konjaktivaitisi. Kwa kawaida hali hii inasababishwa na maambukizi ya kawaida. Visa vingi vya Jicho jekundu vinasababishwa na virusi, lakini pia yanaweza kusababishwa na vimelea wengine (kama […]