1. Home
  2. Magonjwa ya akili
KUSHINDWA KULALA | KUKOSA USINGIZI USIKU

Maelezo ya jumla Watu wengi wanapata shida kulala (insomnia), inaweza kuwa kwa sababu ya kukosa usingizi kabisa usiki au kwa sababu wanashtuka kutoka usingizini mapema sana na wanashindwa tena kupata usingizi. Watu wazima wanahitaji angalau masaa 7-8 ya usingizi kwa wastani, lakini ukweli ni kwamba kadri umri unavyoongezeka na uhitaji wa...

DEGEDEGE

Maelezo ya jumla Degedege (seizuire) ni mabadiliko ya kimwili na tabia yanayotokea kunapokuweko na shughuli ya umeme isiyo ya kawaida kwenye ubongo. Mtu anayepatwa na degedege hutikisika na kutupa tupa mikono na miguu kwa vurugu bila kujitambua, misuli yake hukaza na kulegea kwa kujirudia rudia. Aina fulani za degedege hazina dalili ka...

MTINDIO WA UBONGO

Maelezo ya jumla Mtindio wa ubongo (cerebral palsy),ni hali inayosababishwa na matatizo ya ubongo inayopelekea kuvurugika kwa shughuli za mfumo wa neva kama vile kujongea, kujifunza, kusikia, kuona na kufikiri. Neno utindio wa ubongo linatumika kuwakilisha matatizo yote ya mfumo wa neva yanayotokea utotoni na yanayothiri mjongeo na mis...

Categories: 
MSONGO

Maelezo ya jumla Msongo (Stress)  hutokana na wazo lolote au tukio lolote linalokufanya uhisi huzuni, hasira, au hofu. Msongo/ mfadhaiko humpata mtu akipata shida/taabu, dhiki au matatizo fulani. Wasiwasi (anxiety) ni hisia ya hofu na mahangaiko. Chanzo cha dalili hizi mara nyingi hazijulikani. Je! Nini dalili za w...

Categories: 
ULEVI

Maelezo ya jumla Ulevi (Alcoholism) na unywaji wa pombe kupita kiasi (Alcohol abuse) ni matatizo mawili tofauti. Ulevi ni pale unapopata dalili za kimwili za uraibu wa pombe lakini ukaendelea kunywa pombe, japo utapata matatizo ya kiafya, kiakili, kijamii, kifamilia na hata kazini,utaendelea...

WENDAWAZIMU

Maelezo ya jumla Wendawazimu (psychosis) ni hali ya kupoteza mawasiliano na ukweli, mara nyingi mgonjwa huwa na imani potofu kuhusu mambo yanayofanyika au mtu anayeyafanya na huanza kuona vitu au kisikia sauti ambazo watu we...

KIFAFA

Maelezo ya jumla Kifafa (epilepsy) ni ugonjwa wa ubongo unaotokea kama muundo na shughuli za neva kwenye ubongo umevurugika .Ugonjwa wa kifafa unaweza kusababishwa na majeraha ya kichwa, na magonjwa mengine ya mishipa ya damu, , maambukizi kwenye ubongo yanayoweza kusababisha uvimbe wa ta...

Categories: