Magonjwa ya dharura

Jinsi ya kutibu na kuepuka maumivu

Jinsi ya kutibu na kuepuka maumivu Maumivu ni hali ya kawaida ambayo huathiri watu wengi. Maumivu yanaweza kuwa ya aina mbalimbali kama vile maumivu ya kichwa, maumivu ya tumbo, maumivu ya mgongo, maumivu ya viungo, na kadhalika. Hata hivyo, maumivu sio lazima yawe sehemu ya maisha yetu. Hapa tutajadili jinsi ya kudhibiti, kupunguza au kuepuka […]

Read More
Magonjwa ya dharura

UGONJWA WA MIONZI: Sababu, dalili, matibabu

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa mionzi (radiation injury) husababisha dalili kwa sababu ya kukutana na mionzi kwa kiasi kikubwa. Kuna aina kuu mbili za mionzi: mionzi isiyoumiza (nonionizing) na mionzi inayoumiza (ionizing). Mionzi isiyoumiza (nonionizing) ni mionzi inayotokana na mwanga, mawimbi ya radio, mawimbi ya vifaa vya umeme na radar. Aina hii ya mionzi kwa […]

Read More
Magonjwa ya dharura

KUZAMA KWENYE MAJI: Nini cha kufanya

Maelezo ya jumla Kuzama kwenye maji humaanisha kuwa mtu karibia afie ndani ya maji kwa sababu ya kushindwa kupumua ndani ya maji. Kama mtu ameokolewa baada ya tukio la kuzama kwenye maji, anahitaji huduma ya kwanza haraka na matibabu. Ni zipi dalili za kuzama kwenye maji? Dalili za kuzama kwenye maji ni pamoja na: Kuvimba […]

Read More
Magonjwa ya dharura

KUUMWA NA NYOKA: Dalili, cha kufanya, matibabu

Niepuke vipi kuumwa na nyoka? Unaweza kufanya yafuatayo ili kupunguza uwezekano wa kuumwa na nyoka: Epuka kwenda kwenye maeneo wanapoishi nyoka. Maeno hay ani kama vile, nyasi ndefu au vichaka, maeneo yenye mawe au miamba, magogo yaliyoanguka na kulala chini, kinamasi (bwawa lenye tope nyingi na nyasi), na mashimo marefu kwenye ardhini. Unapokuwa unatembea ndani […]

Read More
Magonjwa ya dharura

KUUMIA JICHO AU JERAHA LA JICHO :Dalili …..

Maelezo ya jumla Ni rahisi sana kuumia jicho/ kupata jeraha la jicho yanayotokana na kupigwa. Macho yanaweza kupata majeraha pia yanayosababishwa na vitu vyenye ncha kali kama vile vipande vya kioo, au uchafu au vumbi inayoingia machoni. Kemikali zinaweza pia kurukia machoni na bidhaa nyingi za kusafishia nyumba zinaweza kusumbua jicho zikiingia. Kuna maumivu makali […]

Read More
Magonjwa ya dharura

JERAHA LA KICHWA / KUUMIA KICHWA :Dalili..

Maelezo ya jumla Kupigwa kichwani kunaweza kusababisha damu kuvia kwenye ngozi, jeraha la kichwa linalovuja damu au wakati mwingine kusababisha upoteze fahamu kabisa. Kuna hatari ya kuvunjika kwa fuvu la kichwa, kukandamizwa kwa ubongo na damu inayovuja au kuvimba kwa ubongo kwa sababu ya kuumia kwa tishu zake. Dalili ni kama vile, maumivu makali ya […]

Read More
Magonjwa ya dharura

KUTEGUKA MFUPA AU KUVUNJIKA MFUPA

Maelezo ya jumla Kuvunjika mfupa ni hali ya kupata ufa au mvujiko kwenye mfupa kwa sababu ya kupigwa na kitu kizito au kwa sababu ya kukunja au kuzungusha mfupa kwa ghafla. Mfupa uliovunjika unaweza kutoboa ngozi na kutokeza nje au unaweza usitokeze nje japo umevunjika. Kuteguka mfupa ni hali ya kuvutwa au kutenganishwa kwa mifupa […]

Read More
Magonjwa ya dharura

KUPOTEZA FAHAMU :Dalili, Sababu, Matibabu….

Maelezo ya jumla Kupoteza fahamu ni tatizo linaloweza kutishia maisha. Tatizo hili linaweza kusababishwa na sababu nyingi, hii ni pamoja na jeraha baya la kichwa; kuvuja damu nyingi sana; kupungua kwa mzunguko wa damu mwilini; sumu; matatizo ya upumuaji; au ugonjwa mkali sana. Mtu ambaye amepoteza fahamu hawezi kushtushwa na kelele kubwa. Macho yanaweza kuwa […]

Read More
Magonjwa ya dharura

MMENYUKO MKALI WA MZIO :Dalili, Sababu,……

Maelezo ya jumla Mmenyuko mkali wa mzio ni tatizo linalowapata baadhi ya watu. Baadhi ya watu hupatwa na hali hatari inayoweza kuhatarisha maisha baada ya kuumwa na mdudu, kula baadhi ya vyakula kama vile njugu au samaki, au kutumia madawa fulani. Mshtuko huu unaotokana na mmenyuko mkali au mjibizo mbaya wa mzio ‘’allergic reaction’’ huitwa […]

Read More
Magonjwa ya dharura

KUUMWA NA MDUDU :Dalili, Nini cha kufanya….

Maelezo ya jumla Kuumwa na mdudu kama nyigu au nyuki huleta maumivu, na eneo lililoumwa linaweza kuvimba, kuwa jekundu na linalowasha kwa siku 1 au 2. Ukiumwa na kiroboto na mbu kunaweza kusababisha uvimbe unaowasha, na kuumwa na kupe kunasababisha uvimbe, mwekundu, unaoonekana kama ushanga. Kupe wanaweza kueneza magonjwa kwa hiyo wanapaswa kuondolewa haraka na […]

Read More
X