1. Home
  2. Magonjwa ya ndani ya mwili
SHINIKIZO LA JUU LA DAMU

Maelezo ya jumla Shinikizo la juu la damu, ni hali ya muda mrefu ambapo shinikizo la damu katika mishipa huwa juu saana. Shinikizo la damu ni nguvu ya damu inaposukumwa/kukandamizwa dhidi ya kuta za mishipa wakati wa kutiririka. Kila wakati moyo unapopiga, unasukuma damu ndani ya mishipa. Shinikizo la damu ni kubwa wakati moyo unapiga na...

KIHARUSI

Maelezo ya jumla Kiharusi (stroke) ni hali inayomtokea mtu kunapokuwepo na kizingiti kinachozuia damu kufika katika sehemu fulani ya ubongo.Wakati mwingine kiharusi huitwa "shambulio la ubongo." Je! Nini dal...

KANSA/SARATANI

Maelezo ya jumla Saratani au kansa ni ukuaji wa seli sizizo za kawaida mwilini usio na udhibiti. Dalili Dalili za kansa hutegemea ni aina gani ya kansa na eneo la mwi...

KICHOMI

Maelezo ya jumla Kichomi ni yanayotokea hasa wakati wa kuvuta pumzi ndani au, maumivu haya husababishwa na kuvimba kwa utando mdogo (pleural) unaofunika kifua na mapafu....

MAPAFU KUJAA MAJI

Maelezo ya jumla Mapafu kujaa maji (pulmonary edema) ni hali isiyo ya kawaida ya maji kujaa kwenye mapafu na kusababisha kupumua kwa shida. Je! Nini dalili...

KOMA

Maelezo ya jumla Koma (coma) si ugonjwa. Ni hali ya kuwa na usingizi mzito sana, mgonjwa kwa muda mrefu na hawezi kuhisi chochote. Koma inaweza kusababishwa na , , , , maambukizi kwenye ubongo, upungufu wa oksijeni mwilini unao...

MKAMBA

Maelezo ya jumla Mkamba (bronchitis) ni kuvimba kwa njia kuu ya kupitisha hewa kwenda kwenye mapafu. Mkamba unaweza kuwa wa muda mfupi tu (acute) au sugu (chronic),hii inamaanisha kuwa mkamba hudumu kwa muda mrefu na mara nyingi huji...

VIDONDA VYA TUMBO

Maelezo ya jumla Vidonda vya tumbo (peptic ulcers) ni vidonda kwenye ukuta wa tumbo au duodeni (mwanzo wa utumbo mdogo). Vidonda vinawapata watu wengi siku hizi: Mmoja kati ya Watu 10 hupata kidonda kwa wakati fulani katika mais...

ROVU

Maelezo ya jumla Rovu (goitre) ni hali ambayo husababisha kuvimba kwa tezi dundumio (thyroid gland ). Sababu  kubwa inayosababisha kuvimba kwa tezi dundumio ni ukosefu wa madini ya joto (iodine) katika mlo. Pia inaweza kusababishwa...