
Maelezo ya jumla Tetekuwanga (Chicken pox) ni maambukizi ya virusi yanayosababisha mtu kupata malengelenge yanayowasha mwili mzima. Tetekuwanga ulikuwa ugonjwa uliowapata watoto wengi sana kabla ya kugunduliwa kwa chanjo ya tetekuwanga. Je, nini dalili za tetekuwanga? Watoto wengi wenye tetekuwanga huwa na dalili zi...