
Maelezo ya jumla Upungufu wa maji mwilini (Dehydration) unaweza kuwa upungufu wa kadri, upungufu wa wastani, au upungufu mkubwa sana kulingana na kiasi cha maji ya mwili yaliyopotea. Upungufu wa maji mwilini unapokuwa mkubwa sana unaweza kutishia maisha. Upungufu wa maji mwilini humaanisha kuwa mwili wako hauna maji ya...