1. Home
  2. Magonjwa ya ndani ya mwili
KISONONO

Maelezo ya jumla Kisonono (Gonorrhea) ni ugonjwa wa zinaa. Je, Nini dalili za kisonono? Dalili za kisonono huanza kuonekana siku 2 - 5 baada ya kuambukizwa. Hata hivyo, kwa wanaume, dalili zinaweza kuchelewa mpaka mwezi. Watu wengine hawapati dalili kabisa. Wanaweza kuwa hawajui kabisa kwamba wameambukizwa ugonjwa huu, na kwa s...

KIPINDUPINDU

Maelezo ya jumla Kipindupindu (cholera) ni ugonjwa unasababishwa na maambukizi ya bakteria aina ya vibrio cholerae. Mara nyingi maambukizi huwa ya kawaida na yanaweza yasisababishe dalili yoyote. Lakini wakati mwingine  yanaweza kuwa hatari sana. Takribani mtu moja kati ya 20 wanaoambukizwa kipindupindu, huwa na dalili kali, dal...

KICHWA KUUMA

Maelezo ya jumla Kichwa kuuma ni neno linalotumika kuelezea maumivu ya kichwa au sehemu ya juu ya shingo. Kichwa ni eneo linalopata maumivu ya mara kwa mara. Maumivu ya kichwa yana sababu nyingi,nyingine ni za kawaida lakini nyingine ni hatari kama vile , maambukizi kwenye ubongo, , ya shingo au mgongo, , baadhi ya madawa, pombe na ma...

UGONJWA WA POLIO

Maelezo ya jumla Polio ni ugonjwa unaoathiri mishipa ya fahamu na kusababisha kupooza. Ugonjwa huu husababishwa na virusi (poliovirus) wanaoishi kwenye mfumo wa kumeng’enya chakula. Si kila mtu anayeambukizwa virusi hivi vya polio hupooza, watu wengi huwa na dalili za kawaida tu, kama;, , , maumivu ya mgongo, maumivu ya misuli,...

HOMA YA EBOLA

Maelezo ya jumla Homa ya Ebola ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya ebola. Ugonjwa huu, huua zaidi ya 90% ya wagonjwa wanaoambukizwa. Japo asili ya virusi vya ebola haijulikani, popo hufikiriwa kuwa chanzo cha maambukizi. Unaweza kuambukizwa ebola kwa kugusa majimaji ya mwili yenye uambukizo. Dalili za ugonjwa huu ni pamoja na: , kuhis...

PEPOPUNDA | TETENASI

Maelezo ya jumla Pepopunda (tetanus) ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria. Bakteria hawa huishi kwenye udongo, mate, vumbi na mbolea. Bakteria hawa mara nyingi huingia mwilini kupitia kwenye kidonda, mfano unapojikata na kisu au unapochomwa na msumari. Je! Nini dalili za pepopunda? Maambukizi ya ugonjwa huu husababish...

MALARIA

Maelezo ya jumla Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea wanaoambukizwa na mbu aina ya anofelesi. Dalili za awali za ugonjwa huu ni pamoja na: uchovu, , kuhisi baridi, kutokwa jasho, , . Dalili zinazofuta zinaweza kuwa mbaya na hata kutishia maisha ya mgonjwa. Mgonjwa huanza kupata shida kupumua, kuchanganyikiwa, na hatimaye . Kuna a...

KUFUNGA CHOO

Maelezo ya jumla Kufunga choo (constipation) ni hali ya kushindwa kupata kinyesi (kunya) kwa angalau mara tatu kwa wiki. Mtu akifunga choo, kinyesi huwa kigumu, kidogo, na kigumu kutoka. Baadhi ya watu hupata maumivu  wakati wa kupata kinyesi, hujikamua sana wakiwa chooni na huwa na hisia ya tumbo kujaa. Watu wengine hufikiri...

MAUMIVU YA TUMBO

Maelezo ya jumla Maumivu ya tumbo ni maumivu yanayotokea popote kati ya kifua na kinena. Dalili za maumivu ya tumbo? Karibu kila mtu hupata maumivu ya tumbo kwa wakati mmoja au mwingine, na mara nyingi maumivu haya hayasababiswi na ugonjwa mkubwa. Ukali wa maumivu ya tumbo hauashirii kuwa ugonjwa wako ni mkubwa au la. Kwa...