1. Home
  2. Magonjwa ya ndani ya mwili
HOMA YA EBOLA

Maelezo ya jumla Homa ya Ebola ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya ebola. Ugonjwa huu, huua zaidi ya 90% ya wagonjwa wanaoambukizwa. Japo asili ya virusi vya ebola haijulikani, popo hufikiriwa kuwa chanzo cha maambukizi. Unaweza kuambukizwa ebola kwa kugusa majimaji ya mwili yenye uambukizo. Dalili za ugonjwa huu ni pamoja na: , kuhis...

PEPOPUNDA | TETENASI

Maelezo ya jumla Pepopunda (tetanus) ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria. Bakteria hawa huishi kwenye udongo, mate, vumbi na mbolea. Bakteria hawa mara nyingi huingia mwilini kupitia kwenye kidonda, mfano unapojikata na kisu au unapochomwa na msumari. Je! Nini dalili za pepopunda? Maambukizi ya ugonjwa huu husababisha misuli...

MALARIA

Maelezo ya jumla Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea wanaoambukizwa na mbu aina ya anofelesi. Dalili za awali za ugonjwa huu ni pamoja na: , , kuhisi baridi, , , . Dalili zinazofuta zinaweza kuwa mbaya na hata kutishia maisha ya mgonjwa. Mgonjwa huanza kupata shida kupumua, , na hatimaye . Kuna aina tano za vimelea wanaoweza kusa...

KUFUNGA CHOO

Maelezo ya jumla Kufunga choo (constipation) ni hali ya kushindwa kupata kinyesi (kunya) kwa angalau mara tatu kwa wiki. Mtu akifunga choo, kinyesi huwa kigumu, kidogo, na kigumu kutoka. Baadhi ya watu hupata maumivu  wakati wa kupata kinyesi, hujikamua sana wakiwa chooni na huwa na hisia ya tumbo kujaa. Watu wengine hufikiri...

MAUMIVU YA TUMBO

Maelezo ya jumla Maumivu ya tumbo ni maumivu yanayotokea popote kati ya kifua na kinena. Dalili za maumivu ya tumbo? Karibu kila mtu hupata maumivu ya tumbo kwa wakati mmoja au mwingine, na mara nyingi maumivu haya hayasababiswi na ugonjwa mkubwa. Ukali wa maumivu ya tumbo hauashirii kuwa ugonjwa wako ni mkubwa au la. Kwa mf...

HOMA

Maelezo ya jumla Homa (fever) ni dalili inayotajwa mara kwa mara kuelezea ongezeko la joto la mwili kuliko kiwango cha kawaida (kiwango cha kawaida  cha joto la mdomoni ni 36.8 ± 0.7 ° C au 98.2 ± 1.3 ° F). Homa huelezeka kama ongezeko la muda mfupi la joto la mwili, kwa kawaida huwa karibu 1-2 ° C. Homa sio ugonjwa bali da...

UKIMWI

Maelezo ya jumla UKIMWI – Upungufu wa kinga mwilini- ni ugonjwa unaopata mtu baada virusi vya VVU kuharibu mfumo wa kinga yako ya mwili. Kwa kawaida, mfumo wako wa kinga husaidia kupambana na magonjwa. Mfumo wako wa kinga unaposhindwa kufanya kazi yake vyema unaweza kuugua sana na hata kufa. VVU - Virusi vya Ukimwi - ni virusi vinavyoua...

KITAMBI

Maelezo ya jumla Kitambi (obesity) humaanisha kuwa una mafuta mengi mwilini. Kuwa na kitambi si sawa na kuwa na uzito mkubwa (overweight), kuwa na uzito mkubwa humaanisha mtu ana uzito mkubwa sana kuliko ilivyokawaida. Mtu anaweza kuwa na uzito mkubwa kutokana na  ziada ya misuli, mifupa au maji mwilini, mafuta pia yana...

KIBOLE

Maelezo ya jumla Kibole (appendicitis) ni uvimbe wa kidole tumbo (appendix) unaosababishwa na maambukizi. Kidole tumbo ni kiungo kidogo kinachoonekana kama kidole kilichopachikwa kwenye sehemu ya mwanzo ya utumbo mpana. Kidole tumbo kiko tumboni upande wa chini-kulia. Kazi yake haijulikani. Kuziba kwa kidole tumbo husaba...