KUWASHWA/FANGASI KWENYE PUMBU:Dalili, matibabu
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa kuwashwa/fangasi kwenye pumbu ni tatizo linalosababishwa na fangasi wanaoshambulia eneo la kinena. Ni zipi dalili za kuwashwa/fangasi kwenye pumbu Kuwashwa kwenye kinena, kwenye mikunjo ya sehemu ya ndani ya mapaja, au mk*ndu. Kunakuwepo na wekundu wa ngozi, inayobadilika kuwa kama magamba na inaweza kutengeneza malengelenge ambayo yanaweza kupasuka kutoa majimaji […]