1. Home
  2. Magonjwa ya ngozi, kucha, nywele
KUWASHWA

Maelezo ya jumla Kuwashwa (itching) ni hali ya kuhisi mchonyoto unaokera kwenye ngozi anaokufanya utamani kukuna sehemu ilioathiriwa. Unaweza kuwashwa sehemu fulani ya mwili pekee au mwili mzima. Kuwashwa husababishwa na nini? Kuna sababu nyingi za kuwashwa, ikiwa ni pamoja na: Kuzeeka kwa ngozi Kuvimba...

BERIBERI

Maelezo ya jumla Beriberi ni ugonjwa uletwao na ukosefu wa vitamini B1 mwilini (vitamini B1). Nini dalili za beriberi? Dalili za beriberi kavu (dry ) ni pamoja na: Kupata shida kutembea Kupoteza hisia kwenye mikono na miguu Kupooza kwa miguu Kuchanganyikiwa akili...

MZIO

Maelezo ya jumla Mzio (allergy) ni muuitikio (reaction) wa kinga ya mwili usio kawaidMa, unaotokea kwa kitu ambacho kwa kawaida hakidhuru. Kuna aina nyingi za mzio, aina hizi hugawanywa kulingana na vitu vinavyousababisha au mahali unapotokea. Kwa mfano: Mzio unaosababishwa na vumbi,manyoya ya wanyama, madawa, chakula au nyasi kavu, Mzio...

CHUNUSI

Maelezo ya jumla Chunusi (acne) ni hali ya muda mrefu ya ngozi ambayo husababisha kutokea kwa vipele na madoa meupe na/au meusi. Je, nini dalili za chunusi? Kwa kawaida huto kea kwenye uso na mabega, lakini pia zinaweza kutokea kwenye kiwiliwili, mikono, miguu, na matako....

JIPU

Maelezo ya jumla Jipu (abscess) ni mkusanyiko wa usaha katika sehemu yoyote ya mwili, ambayo mara nyingi huisababisha ivimbe . Je! Ni nini dalili za jipu?...

UKURUTU

Maelezo ya jumla Ukurutu (eczema), ni neno linalotumika kuwakilisha aina mbalimbali za uvimbe wa ngozi. Tatizo hili hujulikana pia kama ugonjwa wa ngozi (dermatitis). Ukurutu sio hatari na hauambukizwi, lakini aina...