
Maelezo ya jumla Ngozi kuwa kavu sana au kupasuka (dry skin) : Ngozi yako inapokosa unyevu inaanza , kukakamaa na inakuwa dhaifu na rahisi kupasuka. Ngozo inaweza kuonekana nyekundu, yenye mikunjomikunjo na kuwa kama una magamba, na katika hali kali sana inaweza kupasuka kabisa na kuvimba. Sehemu za miguu, mikono na mgongo ndio z...