Magonjwa ya wanaume

SARATANI YA UUME: Sababu, dalili, matibabu

Maelezo ya jumla Saratani ya uume ni kansa inayoanzia kwenye uume. Uume ni moja ya viungo vinavyotengeneza mfumo wa uzazi wa mwanamme. Ni zipi dalili za saratani ya uume? Zifuatazo ni dalili za saratani ya uume: Kidonda/uvimbe kwenye uume Kidonda kisicho na maumivu kwenye uume (kwa mara chache, kidonda kinaweza kuwa na maumivu) Maumivu ya […]

Read More
Magonjwa ya wanaume

TATIZO LA KUBANA KWA GOVI:Sababu,dalili,matibab

Tatizo la kubana kwa govi ni nini? Tatizo la kubana kwa govi (paraphimosis) ni tatizo hatari linaloweza kuwapata wanaume na wavulana ambao bado hawajatahiriwa. Kubana kwa govi kuna maanisha govi limebana na kukwama nyuma ya kichwa cha uume na  huwezi kulirudisha kwenye sehemu yake ya kawaida. Nini sababu ya tatizo la kubana govi? Wanaume ambao […]

Read More
Magonjwa ya wanaume

UGONJWA WA KUDHOOFIKA KWA MIFUPA

Ugonjwa wa kudhoofika kwa mifupa kwa wanaume ni nini? Ugonjwa wa kudhoofika kwa mifupa (osteoporosis) ni hali inayosababisha mifupa ya mwili kuwa dhaifu (mifupa dhaifu) na kuongeza uwezekano wa kuvunjika. Wanaume walio na umri zaidi ya mika 70 wako kwenye hatari zaidi ya kuwa na tatizo hili. Nani yuko kwenye hatari ya kupata ugonjwa wa […]

Read More
Magonjwa ya wanaume

MAGONJWA YA NGONO: Sababu, dalili, matibabu

Magonjwa ya ngono ni nini? Magonjwa ya ngono – ni maambukizi ya magonjwa yanayoenezwa kwa kufanya ngono isiyo salama. Endapo utafanya ngono ya ukeni, mk*nduni, au kwa kulamba sehemu za uke bila ya kutumia kinga (kondomu) uko hatarini kuambukizwa magonjwa yatokanayo na ngono. Magonjwa ambayo ni ya kawaida ni pamoja na UKIMWI, kisonono, malengelenge na […]

Read More
Magonjwa ya wanaume

KORODANI AMBAZO HAZIJASHUKA KWENYE PUMBU

Korodani ambazo hazijashuka kwenye pumbu ni nini? Korodani ambazo hazijashuka kwenye pumbu – Korodani ni moja ya kiungo cha mwili wa mwanamme. Korodani zinatengeneza homoni za kiume na manii. Kwa kawaida korodani zote mbili zinahifahiwa ndani ya pumbu. Wakati mtoto wa kiume anapokua ndani ya mji wa mimba, korodani zake huwa ziko tumboni. Kwa kawaida […]

Read More
Magonjwa ya wanaume

SARATANI YA KORODANI :Sababu, dalili, matibabu

Saratani ya korodani na inampata nani? Saratani ya korodani ni saratani inayoanzia kwenye moja au korodani zote. Korodani zinakaa ndani ya mifuko inayoitwa pumbu. Saratani ya korodani inawapata zaidi wanaume wenye miaka 20 mpaka 35. Uko kwenye hatari zaidi ya kupata saratani ya korodani kama kuna mtu kwenye familia yako mwenye shida hii au kama […]

Read More
Magonjwa ya wanaume

KUPATA SHIDA KUKOJOA:Sababu, matibabu

Maelezo ya jumla Kupata shida kukojoa kwa wanaume wengi huaanza uzeeni na husababiswa na kuongezeka ukubwa wa tezi dume. Tezi dume ni tezi inayopatikana chini kidogo ya kibofu. Mara nyingi tatizo hili huwa sio kwa sababu ya saratani, lakini kwa baadhi ya nyakati linaweza kuambatana na saratani. Kadri tezi dume inapoendelea kukua inabana kibofu na […]

Read More
Magonjwa ya wanaume

KUWAHI KUFIKA KILELENI:Sababu, matibabu

Maelezo ya jumla Kuwahi kufika kileleni, ni pale mwanaume anapomwaga manii muda mfupi tu baada ya msisimuo wa kingono, kabla tu au muda mfupi tu baada ya kuingiza uume kwenye uke. hili ni tatizo linalowapata wanaume wengi, hasa vijana wadogo wanaoanza ngono. Tatizo hili mara nyingi linasababishwa na hamu au mshawasha na/au wasiwasi ambao mara […]

Read More
Magonjwa ya wanaume

KUSHINDWA KUSIMAMISHA UUME:Sababu,matibabu

Maelezo ya jumla Wanaume wengi huwa wanapata shida hii ya kushindwa kusimamisha uume kwa wakati fulani au wengine wanaweza kusimamisha ila baada ya muda uume unalala na hausimami tena. Sababu kubwa huwa ni msongo, uchovu, matumizi ya pombe kupita kiasi au ugonjwa wa hivi karibuni. Kama ukiamka asubuhi unakuta uume umesimama, basi kushindwa kusimamisha kwa […]

Read More
Magonjwa ya wanaume

MAUMIVU YA PUMBU:Sababu, matibabu

Maelezo ya jumla Maumivu ya pumbu – jeraha dogo tu kwenye pumbu halisababishi matatizo ya kudumu, lakini maumivu makali yanaweza kutokea kwa sababu ya kujipinda ‘’torsion’’ kwa moja ya korodani iliyo kwenye pumbu, na hii inaweza kusababisha matatizo ya kudumu. Maumivu makali ya pumbu, na wakati mwingine kuvimba kwa pumbu, kunaweza kusababishwa na maambukizi ‘’epididymitis’’. […]

Read More
X