Magonjwa ya wanawake

SARATANI YA UKE: Sababu, dalili, matibabu

Maelezo ya jumla Saratani ya uke ni kansa inayotokea kwa nadra sana. Haina dalili za awali. Uke unaanzia kwenye mlango wa kizazi mpaka kwenye k*ma. Uke una urefu wa kati ya sentimeta 3 mpaka 4.   Unapokuwa na kansa ya uke, dalili za kawaida ni pamoja na kutokwa na damu ukeni, kutokwa na uchafu ukeni, […]

Read More
Magonjwa ya wanawake

Uhusiano wa VVU/UKIMWI na UJAUZITO/MIMBA

Je, watu walioambukizwa VVU wanaweza kupata au kuzaa watoto ambao hawana virusi? Ndio. Hii ni mojawapo ya faida nyingi za matibabu ya VVU (tumia dawa za kupunguza makali ya VVU/ART). Unaweza kupata watoto ukiwa umeadhirika na VVU. Tafadhali zungumza na daktari wako ikiwa umeamua kuwa mjamzito. Katika nchi ya Tanzania, watu wanaoishi na VVU wanapaswa […]

Read More
Magonjwa ya wanawake

KUZUIA UCHUNGU/MAUMIVU WAKATI WA KUJIFUNGUA

Uchungu/maumivu wakati wa kujifungua yatakuwa makali kiasi gani? Hakuna njia nzuri ya kutambua maumivu yatakuwa makali kiasi gani wakati wa kujifungua. Uchungu/maumivu wakati wa kujifungua yanatofautiana kwa kila mwanamke. Baadhi ya wanawake wanahitaji dawa kidogo tu au hawahitaji kabisa kupunguza maumivu. Baadhi ya wanawake, dawa za kupunguza maumivu zinawasaidia kuweza kuhimili mchakato wa kujifungua. Wanawake […]

Read More
Magonjwa ya wanawake

UGONJWA WA PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)

Ugonjwa wa PID (Pelvic inflammatory disease) ni nini? Ugonjwa wa PID (Pelvic inflammatory disease) ni maambukizi yanayowapata wanawake wengi, yanayotokea kwenye viungo vya ndani vilivyopo kwenye nyonga ya mwanamke. Kwa kawaida, ugonjwa huu unaanzia ukeni na kwenye mlango wa shingo ya kizazi, na kusambaa kwenda kwenye mji wa mimba/kizazi (uterasi), mirija ya uzazi na ovari/mayai. […]

Read More
Magonjwa ya wanawake

KUTOKA KWA MIMBA/UJAUZITO :Sababu, matibabu

Kutoka kwa mimba/ujauzito ni nini? Kutoka kwa mimba/ujauzito ni hali inayotokea ujauzito unapoacha kukua. Hali hii inatambuliwa baada ya mwanamke kutokwa damu katika hatua za mwanzo za ujauzito, au inaweza kutambuliwa wakati wa vipimo vya kawaida. Kutoka kwa mimba/ujauzito kunatokea kwa ujauzito ambao kwa hali ya kawaida usingekuwa na afya kwa sababu ambazo ziko juu […]

Read More
Magonjwa ya wanawake

KUTOKWA DAMU KATIKA HATUA ZA MWANZO ZA UJAUZITO

Ni nini husababisha kutokwa damu katika hatua za mwanzo za ujauzito? Karibu mwanamke mmoja kati ya wanne watapata tatizo la kutokwa damu katika hatua za mwanzo za ujauzito/ mimba. Hasa katika miezi michache ya mwanzo. Sababu zinaweza kuwa nyingi. Baadhi ya sababu zilizozoeleka kusababisha shida hii ni hali ya kutishia kutoka kwa mimba, mimba iliyotungwa […]

Read More
Magonjwa ya wanawake

UGONJWA WA SONONA (HUZUNI) BAADA YA KUJIFUNGUA

Ugonjwa wa sonona (huzuni) baada ya kujifungua ni nini? Ugonjwa wa sonona (huzuni) baada ya kujifungua ni aina ya sonona kali inayotokea baada ya kujifungua. Karibu wanawake wanne kati ya watano wanaojifungua wanapata mabadiliko ya kihisia ndani ya siku 10 za mwanzo baada ya kujifungua. Kama dalili hizi ni kali sana na zinadumu zaidi ya […]

Read More
Magonjwa ya wanawake

UGONJWA WA KLAMIDIA:Sababu, dalili, matibabu

Maelezo ya jumla kuhusu ugonjwa wa klamidia Ugonjwa wa klamidia ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na bakteria. Mara nyingi hauna dalili. Unaweza kusababisha maumivu wakati wa kukojoa, usaa utoka kwenye uume ama uke, au maumivu kwenyi pande ya chini ya tumbo ya mama. Unaweza kuwa hatari kwa maana unaweza kusababisha maumivu ya kiuno kwa wakinamama […]

Read More
Magonjwa ya wanawake

UJAUZITO KUTUNGWA NJE YA MJI WA MIMBA

Ujauzito kutungwa nje ya mji wa mimba ina maana gani? Ujauzito kutungwa nje ya mji wa mimba ni pale mtoto anapotungwa na kupandikizwa katika sehemu tofauti mwilini. Katika ujauzito wa kawaida, mtoto anapandikizwa na kukua kwenye mji wa mimba (uterasi). Ujauzito unapotungwa nje ya mji wa mimba, mtoto anapandikizwa na kukua nje ya mji wa […]

Read More
Magonjwa ya wanawake

MIMBA/UJAUZITO ULIOZIDI UMRI WA KUJIFUNGUA

Mimba/ujauzito uliozidi umri wa kujifungua ni nini? Mimba/ujauzito uliozidi umri wa kujifungua ni mimba iliyozidi wiki mbili baada ya siku tarajiwa ya kujifungua au baada ya wiki 40 za ujauzito. Moja kati ya mimba 10 mpaka 20 huzidi siku tarajiwa ya kujifungua. Ni nini husababisha mimba/ujauzito uliozidi umri wa kujifungua? Hakuna anyaejua baadhi ya wanawake […]

Read More
X