1. Home
  2. Magonjwa ya wanawake
KUOTA VINYAMA /MASUNDOSUNDO SEHEMU ZA SIRI

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa kuota vinyama sehemu za siri/Masundosundo/vigwaru au "Genital warts", ni tatizo la kuota vinyama vidogo laini kwenye ngozi au utando laini unaozunguka maeneo ya siri. Vinaweza kutokea kwenye uume, uke, mrija wa mkojo "urethra", vulva, shingo ya kizazi , au maeneo ya kuzunguka njia ya haja kubwa au ndani yake. H...

VIFO VYA KINA MAMA WAJAWAZITO

Maelezo ya jumla Kifo cha mama, au vifo vya akina mama au kifo kinachotokana na uzazi ni kifo cha mwanamke kinachotokea wakati wa ujauzito au muda mfupi baada ya kujifungua. Mnamo mwaka 2000, Umoja wa Mataifa ulikadiria vifo vya akinamama ulimwenguni kote kuwa 529,000, ambapo chini ya 1%...

KIFAFA CHA MIMBA

Maelezo ya jumla Kifafa cha mimba (Eclampsia) ni degedege inayompata mwanamke mjamzito ambayo haihusiani kabisa na tatizo kwenye ubongo. Dalili za kifafa cha mimba Dalili ni pamoja na: Maumivu ya misuli Kuwa mkali na mwenye hasira Kupoteza fahamu...

MAUMIVU WAKATI WA HEDHI

Maelezo ya jumla Maumivu wakati wa hedhi ni tatizo linalowapata wanawake wengi Hedhi ni hali ya kawaida kwa wanawake, wanawake hutokwa na damu ukeni kwa siku kadhaa na mara nyingi hutokea kila mwezi mara moja. Hali hii huwapata wanawake walio katika umri wa kuzaa, yaani wale ambao wamekwisha vunja ungo tayari....

SARATANI YA SHINGO YA MLANGO WA KIZAZI

Maelezo ya jumla Saratani ya shingo ya mlango wa  kizazi (cervical cancer) ni aina ya ambayo huathiri tishu za shingo ya kizazi (shingo ya kizazi ni kiungo kinachounganisha uke na mji wa mimba. Ni saratani ambayo kwa kawaida hukua taratibu sana na kwa kificho, inaweza isisababishe dalili yoyote mwanzoni, lakini inaweza kugunduliwa kwa k...

KUONGEZA NJIA WAKATI WA KUJIFUNGUA

Maelezo ya jumla Kuongeza njia wakati wa kujifungua ( Episiotomy) ni utaratibu unaofanyika kwa kuchana ngozi iliyo kati ya uke na mkundu. Utaratibu huu hufanyika wakati wa kujifungua ili kupanua uke wa mwanamke ili mtoto anayezaliwa apite kwa urahisi. Je, Kuongeza njia kunafanyikaje? Kabla tu ya mtoto kuzaliwa, mkunga au daktar...

UGUMBA

Maelezo ya jumla Ugumba (Infertility) ni hali ya kutoweza kupata ujauzito katika kipindi cha mwaka mmoja au zaidi kwa wenzi ambao wamekuwa wakifanya mapenzi bila kutumia njia zozote za uzazi wa mpango. Hali hii inaweza kutokea kutokana na tatizo kwa mwanaume au mwanamke. Ugumba umegawanywa katika makundi m...

KUCHUNGUZA MATITI YAKO MWENYEWE

Maelezo ya jumla Kuchunguza matiti yako mwenyewe ni sehemu muhimu ya afya kwa wanawake wengi. Inawasaidia kujua matiti yao yalivyo katika hali ya kawaida, ili kunapotokea mabadiliko, wazungumze na mtoa huduma ya afya mapema. Hata hivyo, hakuna makubaliano ya pamoja ya wataalamu wa tiba kuhusu kujifanyia uchuguzi wa matiti. Haijulikani...

SARATANI YA MATITI

Maelezo ya jumla Saratani ya matiti ni inayotokea kwenye tishu za matiti. Inatokea kwa wanaume na wanawake. Saratani ya matiti kwa wanaume hutokea kwa nadra. Dalili zake ni pamoja na; Kuvimba titi, kuchubuka au kubonyea kwa ngozi ya titi, maumivu ya titi/chuchu, kurudi ndani kwa chuchu (retraction), wekundu, kukakamaa kwa ngozi ya titi n...