1. Home
  2. Masikio, pua, koo
WAOGELEAJI:UGONJWA WA MASIKIO

Maelezo ya jumla Sio kwamba wanaopata ugonjwa huu wa masikio ‘’otitis externa’’ ni wanaoogelea pekee. Unapooga au kuosha nywele, unyevunyevu unaobakia kwenye masikio unaweza kuwa na vimelea ambao wakiingia sikioni wanaweza kusababisha maambukizi.  Tatizo hili pia, linaweza kuwapata watuambaowanafanya kazi kwenye maeneo ya joto au...

Categories: 
NTA AU UCHAFU MASIKIONI

Maelezo ya jumla Kwa kawaida nta masikioni hutengenezwa kwa kiwango kidogo tu ili kulinda sikio na kisha kutawanyika yenyewe. Lakini kama nta inayotengenezwa kwenye sikio ni nyingi sana, inaweza kujaa kwenye sikio, ikakakamaa baada ya kukauka na kuziba kabisa njia ya sikio. Ukitumia vijiti vya kusafisha ili kuondoa nta masikioni, vinaweza...

Categories: 
TATIZO LA KUSIKIA KELELE MASIKIONI/KICHWANI

Maeleo ya jumla Kama unatatizo la kusikia kelele masikioni au kichwani (tinnitus), unahisi kama kengele inapigiwa masikioni, sauti ''buzzz'' kama mdudu anayeruka au sauti ''hissss'' kama nyoka. Unasikia sauti kama zinaanzia masikioni au kichwani na ukitafuta chanzo cha kelele hizi kwenye mazingira uliyopo hakipo. Kelele hizi zinaweza kuwe...

Categories: 
MAUMIVU YA SIKIO

Maelezo ya jumla Maumivu kwenye sikio moja au yote mawili na kushindwa kusikia mara nyingi hutokana na maambukizi kwenye sehemu ya kati ya sikio ‘’middle-ear infection’’. Unaweza kuwa na na kujihisi unaumwa mwili kwa ujumla. Wakati mwingine ngoma ya sikio inaweza kupasuka kwa sababu ya ongezeko la shinikizo. Baadae majimaji huanz...

Categories: 
KUINGILIWA NA MDUDU/KITU SIKIONI NA JINSI YA KUKITOA

Maelezo ya jumla Kuingiliwa na kitu sikioni ni tatizo. Kama kitu kitaingia na kung’ang’ania ndani ya sikio  kinaweza kusababisha usumbufu na kusababisha ushindwe kusikia kwa kitambo kama kitaziba njia nya sikio. Kama ni kitu chenye ncha kali kinaweza kutoboa ngoma ya sikio. Watoto wadogo wakati fulani wanaweza kuweka vitu masikioni....

Categories: 
MAFUA

Maelezo ya jumla Mafua (common cold) hali inayosababisha kutokwa na kamasi, kuziba kwa pua na kupiga chafya. Pia, unaweza kuwa na, kikohozi, au dalili nyingine. Dalili za mafua? Dalili kwa kawaida hujitokeza ndani ya siku 2-3 baada ya kuambukizwa virusi, lakini wakati mwingine inaweza kuchukua mpaka wiki nzima kabla ya dalili...