KUZUIA AJALI:Unatakiwa kufanya nini?
Maelezo ya jumla Ajali zote zinaweza kuua, kusababisha ulemavu na uharibifu wa mali, hivyo basi kuleta umasikini kwa watu na Taifa kwa ujumla. Takimwi za ajali Katika kipindi cha Novemba 2011 na Desemba 2012, jumla ya majeruhi 9,311 wa ajali mbalimbali walionwa katika hospitali za MOI, Morogoro, Mtwara, Kigoma, Musoma na Korogwe (sawa na jeruhi […]