1. Home
  2. Nyinginezo
KUKOROMA

Maelezo ya jumla Kukoroma (snoring) ni hali ya kupumua kwa nguvu au kutoa sauti kubwa yenye mkwaruzo usingizini. Kukoroma husababishwa na nini ? Unapokuwa umelala, misuli ya koo hulegea, ulimi wako hurudi nyuma na koo lako hupungua upana na kulegea. Unapovuta pumzi ndani, kuta za koo hutetema na kusaba...

Makundi: 
NJIA ZINAZOTUMIKA KUPIMA KAMA UNA KITAMBI

Maelezo ya jumla Kuchunguza kama una kitambi kunashauriwa kwa watoto wenye umri zaidi ya miaka sita, na angalau mara moja kwa mwaka kwa watu wazima. Njia kuu za kupima kama una kitambi ni pamoja na kupima Body mass index (BMI), kupima mzunguko wa kiuno, na kupima kiwango cha mafuta mwilini. Body mass index (BMI) Uchunguzi wa ki...

Makundi: 
KIKOJOZI

Maelezo ya jumla Kikojozi (bedwetter) ni mtoto wa miaka 5 mpaka 6 anayejikojolea bila hiari yake. Anaweza kujikojolewa wakati wowote ,iwe usiku au mchana. Makala hii inalenga kuzungumzia zaidi kujikojolea wakati wa usiku. Je! Nini dalili za ukojozi ? Dalili kuu ni kukojoa bila hiari ,hasa wakati wa usiku, na hutokea an...

Makundi: 
ULEVI

Maelezo ya jumla Ulevi (Alcoholism) na unywaji wa pombe kupita kiasi (Alcohol abuse) ni matatizo mawili tofauti. Ulevi ni pale unapopata dalili za kimwili za uraibu wa pombe lakini ukaendelea kunywa pombe,japo utapata matatizo ya kiafya,kiakili,kijamii,kifamilia na hata kazini,utaendelea kun...

Makundi: 
UFA KWENYE NJIA YA HAJA KUBWA

Maelezo ya jumla Ufa kwenye njia ya haja kubwa (anal fissure) ni hali inayotokana na kuchanika au kupasuka kwa utando utelezi (mucosa) unaoifunika sehemu ya chini ya rektamu Je! Nini dalili za ufa kwenye njia ya haja kubwa? Nyufa kwenye njia ya haja kubwa zinaweza kusababisha maumivu wakati wa kwenda haja kubw...

Makundi: