1. Home
  2. Upasuaji
KUTOKWA | KUVUJA DAMU KUTOKA PUANI

Maelezo ya jumla Kuvuja damu kutoka puani (Nosebleed) ni jambo la kawaida sana kwa watoto, lakini watu wazima pia wanapatwa na hii hali mara chache pia. Sababu za kawaida ni pamoja na kuchokonoa pua na kupuliza kwa nguvu pua hasa wakati wa kutoa makamasi, lakini mara nyingi kuvuja damu puani huwa kunaokea bila sababu ya msingi au...

UCHANGIAJI WA DAMU

Maelezo ya jumla Uchangiaji wa damu (blood donation) ni utaratibu wa hiari unaoweza kuokoa maisha ya wengine. Kuna aina kadhaa za uchangiaji wa damu, unaosaidia kukidhi mahitaji mbalimbali ya kitabibu. Aina za uchangiaji damu Kuna aina mbili za uchangiaji wa damu, kuchangia damu nzima au apheresis Kuchangia damu n...

DEGEDEGE

Maelezo ya jumla Degedege (seizuire) ni mabadiliko ya kimwili na tabia yanayotokea kunapokuweko na shughuli ya umeme isiyo ya kawaida kwenye ubongo. Mtu anayepatwa na degedege hutikisika na kutupa tupa mikono na miguu kwa vurugu bila kujitambua, misuli yake hukaza na kulegea kwa kujirudia rudia. Aina fulani za degedege hazina dalili ka...

KIDONDAMALAZI

Maelezo ya jumla Kidondamalazi (Bedsore) ni kidonda kinachotokea kwenye ngozi baada ya shinikizo la muda mrefu linalotokana na kutokujongea kwa muda mrefu (mf: Kuketi au kulala kwa muda mrefu bila kujongea). Kidondamalazi huwapata wagonjwa waliolazwa kitandani kwa muda mrefu sana. Je! Nini dalili za kidondamalazi? Dali...

KUONGEZEWA DAMU

Maelezo ya jumla Kuongezewa damu (blood transfusion) ni utaratibu wa kimatibabu wa kuwaongezea wahitaji damu iliyochangishwa toka kwa wadhamini wa kujitolea. Damu hii huingizwa mwilini kupitia kwenye mshipa wa mkono. Utaratibu huu unaweza kuokoa maisha ya mtu aliyepoteza damu kwa sababu ya upasuaji au ajali. Kuongezewa damu ku...

MAUMIVU YA KIFUA

Maelezo ya jumla Maumivu ya kifua (chest pain) ni adha au maumivu unayohisi kwenye sehemu ya mbele ya mwili kati ya shingo na tumbo. Ni nini husababisha maumivu ya kifua? Watu wengi wanaopata maumivu kifuani hudhani kuwa ni . Lakini, kuna sababu nyingi sana za maumivu ya kifua. Baadhi ya sababu ni za kawaida, zinazosababisha us...

MDOMO WAZI

Maelezo ya jumla Mdomo wazi au mdomo sungura (cleft lip and palate) ni kasoro ya kuzaliwa nayo inayoathiri mdomo wa juu wa kinywa na kaakaa au paa la kinywa. Mdomo wazi Kama ni mi domo ya juu pekee iliyoathirika, hii hujulikana kama mdomo wazi-cleft lip. Mdomo wazi ni uwazi mdogo, pengo au mbonyeo kwenye mdomo wa juu na unaweza...

KUONGEZA NJIA WAKATI WA KUJIFUNGUA

Maelezo ya jumla Kuongeza njia wakati wa kujifungua ( Episiotomy) ni utaratibu unaofanyika kwa kuchana ngozi iliyo kati ya uke na mkundu. Utaratibu huu hufanyika wakati wa kujifungua ili kupanua uke wa mwanamke ili mtoto anayezaliwa apite kwa urahisi. Je, Kuongeza njia kunafanyikaje? Kabla tu ya mtoto kuzaliwa, mkunga au daktar...

NGIRI

Maelezo ya jumla Ngiri (hernia) ni hali inayotokea kama kuna uwazi au udhaifu kwenye ukuta wa tumbo na kusababisha viungo vya ndani ya tumbo kuchoropoka na kutokeza nje ya ukuta wa tumbo. Ukuta wa tumbo umeundwa na safu imara ya fascia inayoizunguka misuli ya tumbo, na kazi yake kubwa ni kulinda na kuzuia vinavyopaswa ku...