
Maelezo ya jumla Kuvuja damu kutoka puani (Nosebleed) ni jambo la kawaida sana kwa watoto, lakini watu wazima pia wanapatwa na hii hali mara chache pia. Sababu za kawaida ni pamoja na kuchokonoa pua na kupuliza kwa nguvu pua hasa wakati wa kutoa makamasi, lakini mara nyingi kuvuja damu puani huwa kunaokea bila sababu ya msingi au...