Tumerahisisha Inafanyaje Kazi?
Jukwaa hili lilitengenezwa ili kuwaunganisha madaktari na watumishi wa afya, ili kurahisisha upatikanaji wa huduma na msaada wa haraka kwa wagonjwa kwa masaa 24 siku 7 za wiki.
Hatua ya 1. Tengeneza Akaunti
Unahitajika kujisajili na kuhakiki akaunti yako (verify) kwa barua pepe. Unaweza pia kujisajili kupitia akauti yako ya facebook au google.

Hatua ya 2. Tafuta Makala na habari za afya
Pata habari muhimu na Makala kuhusu afya, sayansi na dawa. Angaziwa kuhusu teknolojia na sayansi inayotumiwa katika tafiti na matibabu

Hatua ya 3. Tafuta msaada wa kitabibu
Tafuta jinsi ya kupata msaada wa kitabibu na cheti cha dawa. Jukwaa hili linakupatia fursa ya kujadili matatizo yako na wataalamu wa afya.

Hatua ya 4. Tafuta kituo cha afya
Jukwaa hili linakuwezesha kutafuta kituo cha afya kilicho karibu yako, kwa umbali.

Hatua ya 5. Toa Mrejesho
Unaweza kutoa mrejesho kwa kuandika kuhusu huduma na ushauri uliopokea kutoka kwa wataalamu wetu wa afya.
