Tunatoa Tiba ya Akili na mwili
Sababu Kuu 10 za wagonjwa waliotumia WikiElimu
-
- Mafua
- Maambukizi kwenye njia ya mkojo
- Sonona
- Kuwashwa na upele
- Wasiwasi kuhusu Covid-19
- Wasiwasi
- Maambukizi ya fangasi
- Shinikizo la juu la damu
- Magonjwa ya ngono
- Mengineyo
Tatizo lako halijaorodheshwa ? Muulize Muhudumu wetu

Afya ya akili
Watoa huduma wetu waliobobea watakutegemeza wakati uapohisi kuelemewa au kushindwa kihisia kwa usiri mkubwa ukiwa nyumbani kwako. Utazungumza na mtaalamu wetu na ikihitajika atakuandikia dawa unazaohitaji ili kuish vizuri.
Baadhi ya mambo tunayoweza kusaidia na kutibu:
- Wasiwasi uliokiithiri
- Sonona
- Matatizo ya mahusiano
- Kuomboleza na hisia ya kupoteza
Maisha na afya
Wataalamu wetu wa afya wapo tayari kukusaidia katika kupanga mambo yako ya siku kwa siku kwa ajili ya afya bora zaidi. Kuanzia mlo wa afya unaokukinga na magonjwa, mazoezi na tatuzi za matatizo yako binafsi kwa ajili ya afya bora.
Baadhi ya mambo tunayoweza kukusaidia na kutibu:
- Afya ya wanaume
- Afya ya wanawake
- Afya ya familia
- Mlo na Chakula
- Mpangilio na matumizi ya dawa
Huduma kwa magonjwa ya muda mrefu
Ushiriki wetu unakupatia muda kuiangalia zaidi afya yako. Tunafanya iwe rahisi unapohitaji kuuthibiti ugonjwa wako wa muda mrefu.
- Pumu
- Kisukari
- Kudhibiti uzito
- Rovu – goiter
- Shinikizo la juu damu