1. Home
KUSHINDWA KULALA | KUKOSA USINGIZI USIKU

Maelezo ya jumla Kukosa usingizi (insomnia) ni tatizo kubwa kwa watu wengi, wegine wanashindwa kulala kabisa usiku au wanashtuka kutoka usingizini mapema sana na wanashindwa tena kupata usingizi. . Watu wazima wanahitaji angalau masaa 7-8 ya usingizi kwa wastani, lakini ukweli ni kwamba kadri umri unavyoongezeka na uhitaji wa kulala unapu...

KUJISIKIA VIBAYA BAADA YA KULEWA POMBE ”HANGOVER”

Maelezo ya jumla Hangover ni matokeo ya , lakini kuna baadhi ya watu wanapata hangover baada ya kunywa hata kidogo tu. Sababu ya hangaover baada ya huwa inasababishwa na unaosababishwa na pombe, kemikali na viungo vingine vinavyowekwa kwenye vinywaji, hasa vinywaji vyenye rangi nzito kama red wine, brandy, port na sherry. Unaweza kuhisi...

UCHOVU

Maelezo ya jumla Kila mmoja wetu anajihisi kuchoka baada ya shughuli za kimwili au kazi ngumu. Kulala vizuri usiku mara nyingi ni tiba kamili ya uchovu, lakini wakati mwingine utajikuta unahisi uchovu unakuwepo kwa siku kadhaa na unaweza kukuta shughuli zako zinaharibika kabisa. Sababu ya wazi kabisa ya uchovu huwa ni...

UMUHIMU WA MAVAZI

Maelezo ya jumla Umuhimu wa mavazi -Tafiti nyingi zinaonesha kuwa, mavazi tunayovaa yana adhari kubwa kwa maisha yetu kiakili na kimwili. Japo tafiti hizi nyingi, ni tafiti ndogo, zinazofanyika kwa makundi ya watu wachache na hayajapata uwezekano wa kufanyika kwa watu wengi ulimwenguni, lakini kadri tafiti hizi zinavyoongezeka zinaashiria...

Categories: 
VIFO VYA KINA MAMA WAJAWAZITO

Maelezo ya jumla Kifo cha mama, au vifo vya akina mama au kifo kinachotokana na uzazi ni kifo cha mwanamke kinachotokea wakati wa ujauzito au muda mfupi baada ya kujifungua. Mnamo mwaka 2000, Umoja wa Mataifa ulikadiria vifo vya akinamama ulimwenguni kote kuwa 529,000, ambapo chini ya 1%...

UPUNGUFU WA MAJI MWILINI

Maelezo ya jumla Upungufu wa maji mwilini (Dehydration) unaweza kuwa upungufu wa kadri, upungufu wa wastani, au upungufu mkubwa sana kulingana na kiasi cha maji ya mwili yaliyopotea. Upungufu wa maji mwilini unapokuwa mkubwa sana unaweza kutishia maisha. Upungufu wa maji mwilini humaanisha kuwa mwili wako hauna maji ya...

UCHANGIAJI WA DAMU

Maelezo ya jumla Uchangiaji wa damu (blood donation) ni utaratibu wa hiari unaoweza kuokoa maisha ya wengine. Kuna aina kadhaa za uchangiaji wa damu, unaosaidia kukidhi mahitaji mbalimbali ya kitabibu. Aina za uchangiaji damu Kuna aina mbili za uchangiaji wa damu, kuchangia damu nzima au apheresis Kuchangia damu n...

RATIBA YA CHANJO TANZANIA KWA WATOTO

Utoaji wa chanjo zaidi ya moja kwenye kila hudhurio; Katika ratiba ya chanjo Tanzania watoto hupata chanjo zaidi ya moja wakati wa hudhurio inauhusu mtoto kupata kinga kamili haraka iwezekanavyo. Hii hutoa ulinzi wakati wa miezi ya kwanza ya hatari ya maisha ya mtoto. Kwa kupata chanjo zaidi ya moja kwa kila hudhurio humpunguz...

Categories: 
TETEKUWANGA

Maelezo ya jumla Tetekuwanga (Chicken pox) ni maambukizi ya virusi yanayosababisha mtu kupata malengelenge yanayowasha mwili mzima. Tetekuwanga ulikuwa ugonjwa uliowapata watoto wengi sana kabla ya kugunduliwa kwa chanjo Je, nini dalili za tetekuwanga? Watoto wengi wenye tetekuwanga huwa na dalili zifuatazo kabla ya...