1. Home
CHANJO YA UGONJWA WA POLIO

Utangulizi ni ugonjwa unaoambukiwa na virusi vijuikanavyo kwa jina la kitaalamu polio virus.  Ugonjwa huu unaweza kumpata mtu yoyote katika umri wowote ila watoto walio chini ya miaka 15 huathirika zaidi. Virusi vya polio humwingia  mtu mwilini kwa kupitia chakula, au maji yaliyochafuliwa. Virusi hivi huishi kwenye utumbo na kuongezeka...

DEGEDEGE

Maelezo ya jumla Degedege (seizuire) ni mabadiliko ya kimwili na tabia yanayotokea kunapokuweko na shughuli ya umeme isiyo ya kawaida kwenye ubongo. Mtu anayepatwa na degedege hutikisika na kutupa tupa mikono na miguu kwa vurugu bila kujitambua, misuli yake hukaza na kulegea kwa kujirudia rudia. Aina fulani za degedege hazina dalili ka...

JINSI A KUMWAMBIA MWENZI WAKO KUWA UNA UGONJWA WA NGONO

Maelezo ya jumla Kuna unyanyapaa mkubwa sana na habari nyingi sana za kupotosha kuhusu . Kwa sababu hii inaweza kuwa ngumu sana kuyaongelea. Lakini sote tunajuan ni muhimu sana kuyaongelea ili kuyadhibiti. yanawapata watu wengi, hasa vijana wanaobalehe. Kwa hiyo, unaweza kulikwepa swala hili la kuyaongelea, lakini siku moja utapaswa kufa...

KIDONDAMALAZI

Maelezo ya jumla Kidondamalazi (Bedsore) ni kidonda kinachotokea kwenye ngozi baada ya shinikizo la muda mrefu linalotokana na kutokujongea kwa muda mrefu (mf: Kuketi au kulala kwa muda mrefu bila kujongea). Kidondamalazi huwapata wagonjwa waliolazwa kitandani kwa muda mrefu sana. Je! Nini dalili za kidondamalazi? Dali...

MTOTO NJITI

Maelezo ya jumla Mtoto njiti (premature infant) ni mtoto anayezaliwa kabla ya wiki 37 za ujauzito. Je! Nini dalili za kujifungua mtoto njiti? Viungo vya watoto njiti havijakomaa vizuri. Mtoto huyu anahitaji uangalizi maalumu katika mazingira maalumu mpaka viungo vyako vitakapokomaa na kuweza kuendeleza maisha bila m...

KIFAFA CHA MIMBA

Maelezo ya jumla Kifafa cha mimba (Eclampsia) ni degedege inayompata mwanamke mjamzito ambayo haihusiani kabisa na tatizo kwenye ubongo. Dalili za kifafa cha mimba Dalili ni pamoja na: Maumivu ya misuli Kuwa mkali na mwenye hasira Kupoteza fahamu...

KUONGEZEWA DAMU

Maelezo ya jumla Kuongezewa damu (blood transfusion) ni utaratibu wa kimatibabu wa kuwaongezea wahitaji damu iliyochangishwa toka kwa wadhamini wa kujitolea. Damu hii huingizwa mwilini kupitia kwenye mshipa wa mkono. Utaratibu huu unaweza kuokoa maisha ya mtu aliyepoteza damu kwa sababu ya upasuaji au ajali. Kuongezewa damu ku...

MAFUA

Maelezo ya jumla Mafua (common cold) hali inayosababisha kutokwa na kamasi, kuziba kwa pua na kupiga chafya. Pia, unaweza kuwa na, kikohozi, au dalili nyingine. Dalili za mafua? Dalili kwa kawaida hujitokeza ndani ya siku 2-3 baada ya kuambukizwa virusi, lakini wakati mwingine inaweza kuchukua mpaka wiki nzima kabla ya dalili...

MAUMIVU YA KIFUA

Maelezo ya jumla Maumivu ya kifua (chest pain) ni adha au maumivu unayohisi kwenye sehemu ya mbele ya mwili kati ya shingo na tumbo. Ni nini husababisha maumivu ya kifua? Watu wengi wanaopata maumivu kifuani hudhani kuwa ni . Lakini, kuna sababu nyingi sana za maumivu ya kifua. Baadhi ya sababu ni za kawaida, zinazosababisha us...

MDOMO WAZI

Maelezo ya jumla Mdomo wazi au mdomo sungura (cleft lip and palate) ni kasoro ya kuzaliwa nayo inayoathiri mdomo wa juu wa kinywa na kaakaa au paa la kinywa. Mdomo wazi Kama ni mi domo ya juu pekee iliyoathirika, hii hujulikana kama mdomo wazi-cleft lip. Mdomo wazi ni uwazi mdogo, pengo au mbonyeo kwenye mdomo wa juu na unaweza...