Madaktari wetu
wanapatikana, 24/7

Jopo la madaktari waliosajiliwa pamoja na wataalam wa afya,
Wapo tayari kusikiliza tatizo lako,kujibu maswali yako kisha kukutengenezea mpango wa matibabu kwa ajili yako.
Ongea na DaktariMsaada wa Dharura

Ushauri

Pata ushauri na majibu ya maswali yako kuhusu hali yako ya kiafya,
bila wasiwasi wa taarifa zako za siri za kitabibu.

Ongea na Daktari

Huduma Kamili Mtandaoni

Madaktari wetu wapo 24/7 kukuhudumia, wakati wote na mahali popote ulipo utahudumiwa.

Ongea na Daktari

Wataalamu Waliobobea

Kundi la madaktari waliosajiliwa na baraza la madaktari na wenye nia ya kuihudumia jamii.

Ongea na Daktari

Huduma Wakati Wote

Unganishwa na daktari haraka ndani ya dakika chache, wakati wowote, weekend, sikukuu hata usiku.

Ongea na Daktari

Pata ushauri wa Daktari mtandaoni kama una wasiwasi kuhusu afya

Shauriana na daktari aliyethibitishwa kuhusu dukuduku la kiafya ulilonalo kupitia mtandao

Mafua, Homa, Kikohozi

Ongea na Daktari

Matatizo ya uzazi

Ongea na Daktari

Matatizo ya ngozi

Ongea na Daktari

Mambukizi ya njia ya mkojo.

Ongea na Daktari

WikiElimu ni mshauri nambari moja wa huduma za afya katika mtandao

Uwepo wa madaktari wazoefu katika mtandao wakati wote, unatoa nafasi ya kupata ushauri, majibu ya maswali yako na kuandaa mpango wa matibabu utakaokufaa wewe binafsi.

Wataalamu wa afya waliobobea

Tunasikiliza na kuyapa kipaumbele mahitaji yako na kisha kuchukua hatua pale tu inapofaa kwa ustawi wa afya yako

Huduma za viwango vya juu kabisa

Tunajinoa na kuimarisha ustadi wa taaluma yetu kila siku ili kuwa hodari katika kutoa huduma ya afya unapoihitaji.

Tunafahamu mipaka yetu

Japo madaktari wetu wanaweza kutibu magonjwa mengi, yapo ambayo hatuwezi kuyatibu mtandaoni.

Makala za Hivi Karibuni

Angalia Makala za afya zilizoandikwa hivi karibuni kuhusu, mazoezi, mlo, ulaji, uzazi na kulea, mahusiano, dawa, magonjwa, na kuishi kwa afya
UGONJWA WA HOMA YA INI B

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa homa ya ini B ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya hepatitis B. Sio rahisi kwa […]

UGONJWA WA HOMA YA INI C

Maelezo ya jumla Sio rahisi kwa watoto kuambukizwa ugonjwa wa homa ya ini C, isipokuwa wanaoambukizwa wakati wa kuzaliwa. Watu [...]

UGONJWA WA HOMA YA INI A

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa homa ya ini A ni ugonjwa wa ini unaosababishwa na virusi wanaoitwa hepatitis A. Dalili […]

UGONJWA WA DEMENTIA (UGONJWA WA KUSAHAU)

Ugonjwa wa dementia (Ugonjwa wa kusahau) ni nini? Ugonjwa wa dementia (Ugonjwa wa kusahau) ni ugonjwa unaosababisha mgonjwa kupoteza kumbukumbu, […]

KUUMIA AU JERAHA LA JICHO

Maelezo ya jumla Ni rahisi sana kupata jeraha la jicho yanayotokana na kupigwa. Macho yanaweza kupata majeraha pia yanayosababishwa na […]

KUUMIA/ JERAHA LA KICHWA

Maelezo ya jumla Majeraha yote ya kichwa ni hatari. Kupigwa kichwani kunaweza kusababisha damu kuvia kwenye ngozi, jereha la kichwa […]

KUTEGUKA AU KUVUNJIKA MFUPA

Maelezo ya jumla Kuvujika mfupa ni hali ya kupata ufa au mvujiko kwenye mfupa kwa sababu ya kupigwa na kitu […]

KUPOTEZA FAHAMU

Maelezo ya jumla Kupoteza fahamu ni tatizo linaloweza kutishia maisha. Tatizo hili linaweza kusababishwa na sababu nyingi, hii ni pamoja […]

MMENYUKO MKALI WA MZIO

Maelezo ya jumla Baadhi ya watu hupatwa na hali hatari inayoweza kuhatarisha maisha baada ya kuumwa na mdudu, kula baadhi […]

KUUMWA NA MDUDU

Maelezo ya jumla Kuumwa na mdudu kama nyigu au nyuki huleta maumivu, na eneo lililoumwa linaweza kuvimba, kuwa jekundu na […]

KUUMIA MAUNGIO:Mguu,goti,kiwiko n.k

Maelezo ya jumla Kuumia maungio ‘’sprain/strain’’ ni jambo la kawaida kwenye michezo. Wakati mwingine kano ‘’ligaments’’ za kwenye maungio kama […]

KUVUJA DAMU SANA

Maelezo ya jumla Kuvuja damu sana ni jambo linalomwogopesha mwathirika na mtu anayemsaidia. Mara nyingi hali ya kuvuja damu hutokana […]

NAMNA YA KUTOA KIJITI KILICHOKUCHOMA & KUTIBU MKWARUZO AU JERAHA DOGO

Maelezo ya jumla Kujikata kidogo, kujikwaruza mahali na kuchomwa na kijiti ni majeraha ya kawaida. Mkato kwa kawaida huvuja damu […]

MALENGELENGE

Maelezo ya jumla Malengelenge ‘’blisters’’ kwa kawaida hutokea kwenye miguu na mikono, na husababishwa na msuguano au shinikizo. Mwanzoni ngozi […]

UGONJWA WA RUBELLA / SURUA YA UJERUMANI

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa rubella unaojulikana pia kama surua ya ujerumani ‘’German measles’’ ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na […]

MATUBWITUBWI / MACHUBWICHUBWI

Maelezo ya jumla Matubwitubwi au machubwichubwi ”Mumps” ni ugonwa unaosababishwa na virusi na ulikuwa unawaathiri sana watoto kabla ya enzi […]

UGONJWA WA KIFADURO

Maelezo ya jumla Kifaduro ‘’pertusis /whooping cough’’ ni aina ya maambukizi makali ya bakteria ambayo yaliwapata sana watoto kabla ya […]

UGONJWA WA MKANDA WA JESHI

Maelezo ya jumla Mkanda wa jeshi ‘’shingles’’ ni ugonjwa unaotokana na kuamka kwa virusi walio bakia mwilini baada ya kuugua […]

UGONJWA WA SURUA

Maelezo ya jumla Surua ‘’measles’’ ni ugonjwa unaoweza kuambukizwa kwa urahisi sana, na ulikuwa ugonjwa uliowapata watoto wengi sana kabla […]

IMANI POTOFU KUHUSIANA NA VVU/UKIMWI

Maelezo ya jumla Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini unaosababishwa na virusi. Virusi hushambulia mwili na kusababisha kinga ya mwili […]

KUOTA NYWELE SEHEMU ZISIZO KAWAIDA

Maelezo ya jumla Kuota nywele nyingi kuliko kawaida (hirsutism) ni tatizo ambalo linaweza kuwapata watu wa jinsi zote mbili, lakini […]

WAOGELEAJI:UGONJWA WA MASIKIO

Maelezo ya jumla Sio kwamba wanaopata ugonjwa huu wa masikio ‘’otitis externa’’ ni wanaoogelea pekee. Unapooga au kuosha nywele, unyevunyevu […]

NTA AU UCHAFU MASIKIONI

Maelezo ya jumla Kwa kawaida nta masikioni hutengenezwa kwa kiwango kidogo tu ili kulinda sikio na kisha kutawanyika yenyewe. Lakini […]

TATIZO LA KUHARISHA KWA WATOTO

Maelezo ya jumla Yawezekana mwanao amewahi kusumbuka au umewahi kusikia rafiki au ndugu akilalamika kuwa mtoto wake anaharisha na haelewi […]

KUVIMBA KIMEO/KILIMI

Maelezo ya jumla Kuvimba kilimi/kimeo ni hali inaweza kukera sana . Kuvimba kilimi (uvulitis) mara nyingi huambatana na kuvimba kwa […]

TATIZO LA KUSIKIA KELELE MASIKIONI/KICHWANI

Maeleo ya jumla Kama unatatizo la kusikia kelele masikioni au kichwani (tinnitus), unahisi kama kengele inapigiwa masikioni, sauti ”buzzz” kama […]

MAUMIVU YA SIKIO

Maelezo ya jumla Maumivu kwenye sikio moja au yote mawili na kushindwa kusikia mara nyingi hutokana na maambukizi kwenye sehemu […]

KUINGILIWA NA MDUDU/KITU SIKIONI NA JINSI YA KUKITOA

Maelezo ya jumla Kuingiliwa na kitu sikioni ni tatizo. Kama kitu kitaingia na kung’ang’ania ndani ya sikio  kinaweza kusababisha usumbufu […]

TATIZO LA KUUMA, KULA, KUTAFUNA KUCHA

Maelezo ya jumla Watoto wengi na vijana ambao wako kwenye balehe wanauma au kutafuna kucha. Lakini wengi wao, kadri wanavyokua […]

MBA

Maelezo ya jumla Mba (dandruff) hazina madhara yoyote, lakini zinakera na zinaaibisha. Ukiwa na tatizo la hili, ngozi ya kichwa […]

UKUCHA UNAKUA KWENDA NDANI YA NGOZI

Maelezo ya jumla Kama kidole cha mguu kinauma, ni chekundu na kimevimba kuzunguka ukucha, kuna uwezekano mkubwa utakuwa umesababishwa na […]

MAPUNYE | VIBARANGO | MASHILINGI

Maelezo ya jumla Mapunye/ Vibarango/ Mashilingi (Ringworm) ni ugonjwa unaosababisha madoadoa kama magamba kwenye ngozi. Madoa ni ya mviringo, yanayowasha, […]

KUCHA ZENYE MWONEKANO MBAYA NA ZINAZOKATIKAKATIKA

Maelezo ya jumla Sababu kubwa zaidi inayosababisha kucha zenye mwonekano mbaya ni mambukizi ya fangasi. Mara nyingi fangasi wanathiri zaidi […]

CHAWA WA NYWELE KICHWANI

Maelezo ya jumla Chawa wa nywele kichwani ni wadudu wenye rangi ya kijivu–kahawia, wanalingana ukubwa na mbegu ya ufuta. Wanaishi […]

VIDONDA VYA HOMA / VIDONDA BARIDI / TUTUKO

Maelezo ya jumla Vidonda vya homa au vidonda baridi au tukuto, huanza kwa kuwepo kwa mwasho karibu na midomo, kisha […]

VIDONDA MDOMONI

Maelezo ya jumla Ukianza kupata kidonda mdomoni unaanza kuwa na maumivu kama umeungua moto, kisha unapata kishimo kidogo cha rangi […]

KUPASUKAPASUKA KWA MIDOMO

Maelezo ya jumla Kila mmoja wetu kwa wakati fulani anapatwa na tatizo hili la kukauka na kuchanika au kupasukapasuka kwa […]

UCHAFU UNATOKA UKENI

Maelezo ya jumla Ni hali ya kawaida kwa mwanamke kutokwa na uteute ukeni. Uteute huu huwa hauna rangi au unakua […]

MAUMIVU WAKATI WA NGONO

Maelezo ya jumla Wanawake wengi wanahisi maumivu wakati wa ngono kwa wakati fulani. Wakati mwingine, tatizo linaweza kuwa la kimwili: […]

KUWASHWA UKENI (SEHEMU ZA SIRI)

Melezo ya jumla Kuwashwa ukeni au eneo linalozunguka uke ni tatizo linaloleta karaha na kukera sana mchana na linaweza kusababisha […]

KUSHINDWA KUZUIA MKOJO

Maelezo ya jumla Wanawake wengi wana tatizo la kushindwa kuzuia mkojo, yaani wanajikojolea kwa sababu ya kushindwa kudhibiti kibofu. Tatizo […]

UKOMO WA HEDHI NA MATATIZO YAKE

Maelezo ya jumla Ukomo wa hedhi (menopause) ni mabadiliko ya asili ya mwili yanayowatokea wanawake wenye umri kati ya miaka […]

MAAMBUKIZI KWENYE KIBOFU

Maelezo ya jumla Maambukizi kwenye kibofu (cystitis) yanasababisha utando unaofunika sehemu ya ndani ya kibofu kuvimba, na mara nyingi tatizo […]

ZIJUE DALILI ZA AWALI ZA UJAUZITO

Je, una wasiwasi kuwa una ujauzito? Kwa kweli njia pekee kujua kama wewe ni mjamzito ni kupima ujauzito. Hata hivyo, […]

MATATIZO YANAYOTOKEA SIKU CHACHE KABLA YA HEDHI

Maelezo ya jumla Wanawake wenye matatizo yanayotokea siku chache kabla ya hedhi ‘’premenstrual syndrome’’ husumbuliwa na dalili kadhaa ambazo huanza […]

CHUCHU YA TITI ILIYOPASUKA

Maelezo ya jumla Kina mama wengi waliojifungua siku za hivi karibuni, wanapatwa na maumivu kwenye chuchu katika wiki za kwanza […]

MAUMIVU NA UVIMBE KWENYE MATITI

Maelezo ya jumla Wanawake wengi wanapatwa na shida hii ya maumivu na uvimbe kwenye matiti. Dalili mara nyingi zinaathiri matiti […]

MATATIZO YA LENZI ZA MACHO

Matatizo ya lenzi za macho ‘’contact lens ‘’ Sababu kubwa ya matatizo ya lenzi za macho yanatokana na lenzi ambayo […]

KUONDOA KITU JICHONI

Maelezo ya jumla Kama ukiingiliwa na kitu jichoni, kinaweza kuleta usumbufu , kikasababisha wekundu kwenye jicho, kutokwa machozi na hata […]

TATIZO LA UKAVU WA MACHO | KUPUNGUA KWA MACHOZI

Maelezo ya jumla Macho yanaweza kuwa makavu unapokuwa hautengenezi machozi ya kutosha au kama machozi unayotengeneza hayalowanishi macho vizuri. Ukiwa […]

KUWASHWA MACHO

Maelezo ya jumla Macho yanayowasha mara nyingi utakuta ni mekundu, yanawasha na unahisi kama yanaungua hivi. Unahisi kujikuna kila mara. […]

JERAHA LA JICHO BAADA YA KUPIGWA

Maelezo ya jumla Damu huwa inavilia chini ya ngozi inayozunguka jicho kama umepata jeraha la jicho baada ya kupigwa na […]

KIKOPE

Maelezo ya jumla Kikope (stye) ni uvimbe mwekundu unakuwa juu au ndani ya ukingo wa kope ya jicho lako, uvimbe […]

MATATIZO WAKATI WA KUKOJOA

Maelezo ya jumla Matatizo wakati wa kukojoa kwa wanaume wengi huwa yanaanza uzeeni na huwa yanasababiswa na kuongezeka ukubwa wa […]

KUWAHI KUFIKA KILELENI

Maelezo ya jumla Kuwahi kufika kileleni, ni pale mwanaume anapomwaga manii muda mfupi tu baada ya msisimuo wa kingono, kabla […]

KUSHINDWA KUSIMAMISHA UUME

Maelezo ya jumla Wanaume wengi huwa wanapata shida hii ya kushindwa kusimamisha uume kwa wakati fulani au wengine wanaweza kusimamisha […]

MAUMIVU YA PUMBU

Maelezo ya jumla Jeraha dogo tu kwenye pumbu halisababishi matatizo ya kudumu, lakini maumivu makali yanaweza kutokea kwa sababu ya […]

MAUMIVU YA UUME

Maelezo a jumla Ngozi inayoufunika uume ni nyepesi na ni rahisi kuumia. Mikwaruzo midogo midogo inaweza kutokea wakati wa michezo […]

KUWASHWA SEHEMU YA KUTOLEA HAJA KUBWA

Maelezo ya jumla Kuwashwa sehemu ya kutolea haja kubwa (mkundu), ni hali inayoleta karaha sana na inaweza kuaibisha kwa sababu […]

BAWASIRI

Maelezo ya jumla Bawasiri ni ugonjwa ambao unatokana na kuvimba kwa mishipa ya damu ndani au kuzunguka njia ya kutolea […]

KUHARA BAADA YA KULA CHAKULA KILICHOHARIBIKA

Maelezo ya jumla Matukio mengi ya kuhara baada ya kula chakula kilichoharibika au kichafu, husababishwa na usafi duni wakati wa […]

KUVIMBIWA NA KUJAMBA

Maelezo ya jumla Kuvimbiwa na kujamba ni tatizo la kawaida linalosababishwa na kujaa kwa hewa ndani ya mfumo wa umeng’enyaji […]

KUTAPIKA WAKATI WA SAFARI

Maelezo ya jumla Kama una tatizo la kutapika wakati wa safari, utahisi kizunguzungu, kichefuchefu na wakati mwingine maumivu ya kichwa […]

MAPIGO YA MOYO KWENDA MBIO

Maelezo ya jumla Kwa kawaida moyo unapopiga huwa hatuna ufahamu au kuhisi kuwa unapiga, lakini unapoanza kwenda mbio au kupiga […]

KUKOROTA

Maelezo ya jumla Kukorota ni sauti kama mluzi inayotokea mtu anapokuwa anapumua kutoa hewa nje. Kifua kinaweza kuwa kimebana na […]

KUKOHOA

Maelezo ya jumla Sababu kubwa ya kukohoa ni usumbufu au kuvimba kwa mapafu au koo kwa sababu ya mafua, maambukizi […]

VIDOLE VINAPATA BARIDI SANA

Maelezo ya jumla Ni kawaida kwa vidole vya miguu au mikono kushikwa na baridi. Lakini kwa baadhi ya watu, vidole […]

MAUMIVU YA MIGUU

Maelezo ya jumla Mguu ”foot” unahimili mikwaruzo na shinikizo kubwa sana. Baada ya kusimama au kutembea kwa muda mrefu, unaweza […]

MAUMIVU YA KISIGINO

Maelezo ya jumla Kuvimba kwa wayo wa mguu ‘’plantar facitis’’ ndio sababu kubwa ya maumivu ya kisigino ‘’heal pain’’, mgonjwa […]

KUVIMBA KWA VIFUNDO VYA MIGUU

Maelezo ya jumla Kuvimba kwa vifundo vya miguu ‘’swollen ankles’’ kunaweza kutokea baada ya kukaa kwa muda mrefu bila kufanya […]

KUVIMBA KWA MISHIPA YA VENA MIGUUNI

Maelezo ya jumla Kuvimba kwa mishipa ya vena miguuni ‘’varicose veins’’, ni tatizo la vena za miguu, linalosababisha mishipa ya […]

KUKAZA KWA MISULI YA MIGUU

Maelezo ya jumla Kukaza kwa misuli ya miguu ”leg cramp” kunasababisha maumivu kwenye misuli ya mguu au ndama ya mguu. […]

MAUMIVU YA BEGA

Maelezo ya jumla Maumivu ya bega yanaweza kuwepo muda wote au yanaweza kuwepo unapoweka mkono katika mkao fulani au kuuchezesha […]

MAUMIVU YA GOTI

Maelezo ya jumla Magoti ni maungio yanayobeba sehemu kubwa ya uzito wa mwili, na kwa sababu hii ni rahisi sana […]

MAUMIVU YA NYONGA

Maelezo ya jumla Sababu kubwa zaidi ya mkazo au maumivu ya nyonga ni kulika na kuisha kwa maungio ya nyonga […]

KUKAZA AU MAUMIVU YA SHINGO

Maelezo ya jumla Kukaza au maumivu ya shingo, mara nyingi yanatokana na kukaza kwa misuli ya shingo kunakotokana na mkao […]

KIPANDAUSO

Maelezo ya jumla Kipandauso ni maumivu makali ya kichwa, unahisi kama kinadunda na kinagonga upande mmoja tu hasa nyuma ya […]

KUOTA VINYAMA /MASUNDOSUNDO SEHEMU ZA SIRI

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa kuota vinyama sehemu za siri/Masundosundo/vigwaru au “Genital warts”, ni tatizo la kuota vinyama vidogo laini […]

TATIZO LA SAUTI KUKWARUZA AU KUPOTEA

Maelezo ya jumla Tatizo la sauti kukwaruza au kupotea ”hoarsness of voice” ni shida inayokera, sauti yako inakua inakwaruza kwaruza […]

KUWASHWA AU MAUMIVU YA KOO

Maelezo ya jumla Kuwashwa au maumivu ya koo (sore throat) ni tatizo la kwaida sana. Pamoja na koo kuuma, unaweza […]

MAUMIVU MDOMONI AU ULIMI

Maelezo ya jumla Kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha upate maumivu mdomoni au ulimi. Utando ute unaofunika mdomo na ulimi unaweza […]

MAUMIVU YA MENO

Maelezo ya jumla Maumivu ya jino yanaweza kuwa ya kadri unayoweza kuyavumilia au yanaweza kuwa makali sana, yanayokuwepo wakati wote, […]

TATIZO LA FIZI KUVUJA DAMU

Maelezo ya jumla kuhusu fizi kuvuja damu Tatizo la fizi kuvuja au kutokwa na damu kwenye fizi huwa ni ishara […]

mafua ya nguruwe
MAFUA YA NGURUWE

Mafua ya nguruwe (Swine flu) ni ugonjwa unaosababishwa na virusi aina ya H1N1 na H3N2 wanaosababisha mafua. Dalili za mafua ya nguruwe zinafanana kabisa na zile za mafua ya kawaida.
Mwaka 2009 wanasayansi walitambua aina ya kirusi kinachoitwa H1N1. Kirusi hiki kilikuwa kimetengenezwa kwa muunganiko wa virusi ambao wanapatikana kwa nguruwe, ndege na wanadamu na kusababisha ugonjwa kwa wanadamu. Kati ya mwaka 2009 -2010, virusi wa H1N1 walisababisha ugonjwa wa mafua kwa watu wengi. Kwa sababu watu wengi sana duniani kote waliugua mafua haya, shirika la afya duniani lilitangaza ugonjwa huu kuwa janga la dunia. Ilipofika agosti mwaka 2010 WHO ilitangaza kuwa janga limedhibitiwa.
Siku hizi kuna chanjo ambayo inaweza kulinda watu dhidi ya mafua ya nguruwe yanayosababishwa na H1N1.

TATIZO LA NGOZI KUWA KAVU AU KUPASUKA

Maelezo ya jumla Ngozi kuwa kavu sana au kupasuka (dry skin) : Ngozi yako inapokosa unyevu inaanza kuwasha, kukakamaa na […]

MAMBO YA KUFANYA KUPUNGUZA MAUMIVU WAKATI WA HEDHI

Maelezo ya jumla Wanawake wengi wanapata maumivu kwenye sehemu ya chini ya tumbo muda kidogo tu kabla au wakati hedhi […]

KWIKWI

Maeleozo ya jumla Kila mmoja wetu anapatwa na kwikwi mara moja moja- unajikuta unavuta hewa kwa haraka na kwa mshtuo, […]

KUTOKWA | KUVUJA DAMU KUTOKA PUANI

Maelezo ya jumla Kuvuja damu kutoka puani (Nosebleed) ni jambo la kawaida sana kwa watoto, lakini watu wazima pia wanapatwa […]

KUONDOA SUGU KWENYE MIGUU AU MIKONO

Maelezo ya jumla Kama kuna msuguano wa muda mrefu unaosababiswa na mgandamizo kwenye mikono au miguu kunatokea sugu ambayo inasababisha […]

CHUNJUA | VIGWARU | MASUNDOSUNDO

Maelezo ya jumla Chunjua (warts) ni viuvimbe vidogo ambavyo huwa vinaota kwenye ngozi, vinamwonekano kama wa mkoliflawa (cauliflower) na wakati […]

KUSHINDWA KULALA | KUKOSA USINGIZI USIKU

Maelezo ya jumla Kukosa usingizi (insomnia) ni tatizo kubwa kwa watu wengi, wegine wanashindwa kulala kabisa usiku au wanashtuka kutoka […]

KUJISIKIA VIBAYA BAADA YA KULEWA POMBE ”HANGOVER”

Maelezo ya jumla Hangover ni matokeo ya kunywa pombe nyingi, lakini kuna baadhi ya watu wanapata hangover baada ya kunywa […]

UCHOVU

Maelezo ya jumla Kila mmoja wetu anajihisi kuchoka baada ya shughuli za kimwili au kazi ngumu. Kulala vizuri usiku mara […]

TATIZO LA KUTOKWA JASHO JINGI KULIKO KAWAIDA

Maelezo ya jumla Karibu kila mmoja wetu anatokwa jasho kuliko kawaida anapokuwa anafanya mazoezi au wakati wa joto kali. Lakini […]

UMUHIMU WA MAVAZI

Maelezo ya jumla Umuhimu wa mavazi -Tafiti nyingi zinaonesha kuwa, mavazi tunayovaa yana adhari kubwa kwa maisha yetu kiakili na […]

VIFO VYA KINA MAMA WAJAWAZITO

Maelezo ya jumla Kifo cha mama, au vifo vya akina mama au kifo kinachotokana na uzazi ni kifo cha mwanamke […]

UPUNGUFU WA MAJI MWILINI

Maelezo ya jumla Upungufu wa maji mwilini (Dehydration) unaweza kuwa upungufu wa kadri, upungufu wa wastani, au upungufu mkubwa sana […]

uchangiaji wa damu
UCHANGIAJI WA DAMU

Maelezo ya jumla Uchangiaji wa damu (blood donation) ni utaratibu wa hiari unaoweza kuokoa maisha ya wengine. Kuna aina kadhaa […]

RATIBA YA CHANJO TANZANIA KWA WATOTO

Utoaji wa chanjo zaidi ya moja kwenye kila hudhurio; Katika ratiba ya chanjo Tanzania watoto hupata chanjo zaidi ya moja […]

TETEKUWANGA

Maelezo ya jumla Tetekuwanga (Chicken pox) ni maambukizi ya virusi yanayosababisha mtu kupata malengelenge yanayowasha mwili mzima. Tetekuwanga ulikuwa ugonjwa […]

CHANJO YA UGONJWA WA POLIO

Utangulizi Ugonjwa wa polio ni ugonjwa unaoambukiwa na virusi vijuikanavyo kwa jina la kitaalamu polio virus.  Ugonjwa huu unaweza kumpata […]

DEGEDEGE

Maelezo ya jumla Degedege (seizuire) ni mabadiliko ya kimwili na tabia yanayotokea kunapokuweko na shughuli ya umeme isiyo ya kawaida […]

JINSI A KUMWAMBIA MWENZI WAKO KUWA UNA UGONJWA WA NGONO

Maelezo ya jumla Kuna unyanyapaa mkubwa sana na habari nyingi sana za kupotosha kuhusu magonjwa ya ngono. Kwa sababu hii […]

KIDONDAMALAZI

Maelezo ya jumla Kidondamalazi (Bedsore) ni kidonda kinachotokea kwenye ngozi baada ya shinikizo la muda mrefu linalotokana na kutokujongea kwa […]

MTOTO NJITI

Maelezo ya jumla Mtoto njiti (premature infant) ni mtoto anayezaliwa kabla ya wiki 37 za ujauzito. Je! Nini dalili za […]

KIFAFA CHA MIMBA

Maelezo ya jumla Kifafa cha mimba (Eclampsia) ni degedege inayompata mwanamke mjamzito ambayo haihusiani kabisa na tatizo kwenye ubongo. Dalili […]

KUONGEZEWA DAMU

Maelezo ya jumla Kuongezewa damu (blood transfusion) ni utaratibu wa kimatibabu wa kuwaongezea wahitaji damu iliyochangishwa toka kwa wadhamini wa […]

MAFUA

Maelezo ya jumla Mafua (common cold) hali inayosababisha kutokwa na kamasi, kuziba kwa pua na kupiga chafya. Pia, unaweza kuwa […]

MAUMIVU YA KIFUA

Maelezo ya jumla Maumivu ya kifua (chest pain) ni adha au maumivu unayohisi kwenye sehemu ya mbele ya mwili kati […]

MDOMO WAZI

Maelezo ya jumla Mdomo wazi au mdomo sungura (cleft lip and palate) ni kasoro ya kuzaliwa nayo inayoathiri mdomo wa […]

YABISI KAVU

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa yabisi kavu ”arthritis” na hali nyingine 100 za yabisi baridi ”rheumatic” huathiri viungo na tishu […]

MAUMIVU WAKATI WA HEDHI

Maelezo ya jumla Maumivu wakati wa hedhi ni tatizo linalowapata wanawake wengi Hedhi ni hali ya kawaida kwa wanawake, wanawake […]

KIZUNGUZUNGU

Maelezo ya jumla Kizunguzungu (dizziness) ni hali ya kuhisi kama unataka kuzimia, unatetereka, unapoteza balance au kuhisi kama wewe au […]

UVUTAJI WA SIGARA

Hatari za kuvuta sigara Uvutaji wa sigara huongeza uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo. Baadhi ya bidhaa zinazotumika kutengeneza sigara […]

KIBWIKO

Maelezo ya jumla Mtoto mwenye kibwiko (clubfoot) huzaliwa na miguu au mguu wenye wayo uliogeukia ndani au nje. Hali hii […]

MTINDIO WA UBONGO

Maelezo ya jumla Mtindio wa ubongo (cerebral palsy),ni hali inayosababishwa na matatizo ya ubongo inayopelekea kuvurugika kwa shughuli za mfumo […]

KICHEFUCHEFU NA KUTAPIKA

Maelezo ya jumla Kichefuchefu (nausea) ni hisia ya kuwa na hamu ya kutapika. Kutapika ni hali ya kutupa yaliyomo tumboni […]

kondomu
KONDOMU

1. Kondomu ya kiume Kondomu ni kiwambo chembamba kinachovaliwa kwenye uume wakati wa kujamiiana. Ukitumia kondomu itasaidia : Kuzuia ujauzito […]

Magonjwa ya ngono
MAGONJWA YA NGONO

Maelezo ya jumla Magonjwa ya ngono (Sexual transmitted diseases) ni magonjwa yanayoambukiza kwa njia ya tendo la kujamiiana na mtu […]

UGONJWA UNAOTOKANA NA KUWA KATIKA ENEO LILILO JUU SANA KUTOKA USAWA WA BAHARI

Maelezo ya jumla Ugonjwa unaotokana na kuwa katika maeneo yaliyo juu sana kutoka usawa wa bahari  (altitude sickness), huu ni […]

KISUKARI AINA YA 1

Maelezo ya jumla Kisukari aina ya 1 huwapata zaidi watoto na vijana wadogo. Kisukari ni ugonjwa ambao mgonjwa huwa na […]

KISUKARI AINA YA 2

Maelezo ya jumla Mgonjwa wa kisukari huwa na kiwango cha juu cha sukari kwenye damu kuliko ilivyo kawaida. Kisukari aina […]

SARATANI YA SHINGO YA MLANGO WA KIZAZI

Maelezo ya jumla Saratani ya shingo ya mlango wa  kizazi (cervical cancer) ni aina ya saratani ambayo huathiri tishu za […]

KUONGEZA NJIA WAKATI WA KUJIFUNGUA

Maelezo ya jumla Kuongeza njia wakati wa kujifungua ( Episiotomy) ni utaratibu unaofanyika kwa kuchana ngozi iliyo kati ya uke […]

UGONJWA WA FIZI

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa fizi (gingivitis) husababisha kuvimba kwa fizi. Dalili za ugonjwa wa fizi? Kutokwa damu kwenye fizi […]

UASTIGMATI

Maelezo ya jumla Uastigmati (Astigmatism) ni dosari katika jicho/lenzi unaozuia fokasi sahihi ya mwanga kwenye retina (refrative error). Retina ni […]

SONONA

Maelezo ya jumla Sonona (Depression) ni hali ya kuhisi huzuni, kushuka moyo na kukosa furaha. Wengi wetu hujihisi hivi kwa […]

USAHAULIFU

Maelezo ya jumla Usahaulifu (amnesia) ni hali isiyo ya kawaida ya kusahau sana. Mgonjwa anaweza asiwe na uwezo wa kukumbuka […]

KUMTELEKEZA MTOTO

Maelezo ya jumla Kumtelekeza mtoto (child neglect) ni aina ya unyanyasaji wa mtoto unaotokea mtu anapoamua kwa makusudi kutokumpatia mtoto […]

KIUNGULIA

Maelezo ya jumla Kiungulia (heartburn) ni hali ya kuhisi mchomo (maumivu kama moto) unaotokea nyuma ya mfupa wa kidari. Kwa […]

kushuka kwa shinikizo la damu
KUSHUKA KWA SHINIKIZO LA DAMU

Maelezo ya jumla Kushuka kwa shinikizo la damu (hypotension), ni hali ya kuwa na shinikizo la damu lililo chini sana […]

NGIRI

Maelezo ya jumla Ngiri (hernia) ni hali inayotokea kama kuna uwazi au udhaifu kwenye ukuta wa tumbo na kusababisha viungo […]

busha
MABUSHA

Maelezo ya jumla Mabusha (hydrocele) ni hali inayosababishwa na kujaa kwa maji katikati ya tabaka mbili za utando unaozunguka korodani […]

HOMA YA DENGUE

Maelezo ya jumla Homa ya dengue (dengue fever) ni ugonjwa unaosababishwa na virusi wanaoenezwa na mbu. Je, ni dalili za […]

UGUMBA

Maelezo ya jumla Ugumba (Infertility) ni hali ya kutoweza kupata ujauzito katika kipindi cha mwaka mmoja au zaidi kwa wenzi […]

KUWASHWA

Maelezo ya jumla Kuwashwa (itching) ni hali ya kuhisi mchonyoto unaokera kwenye ngozi anaokufanya utamani kukuna sehemu ilioathiriwa. Unaweza kuwashwa […]

KUKOROMA

Maelezo ya jumla Kukoroma (snoring) ni hali ya kupumua kwa nguvu au kutoa sauti kubwa yenye mkwaruzo usingizini. Kukoroma husababishwa […]

UNYANYASAJI WA KINGONO KWA WATOTO

Maelezo ya jumla Unyanyasaji wa kingono kwa watoto (sexual abuse) ni hali ya kuwaingiza kwa makusudi watoto wadogo kwenye shughuli […]

MTOTO WA JICHO

Maelezo ya jumla Mtoto wa jicho (cataract) ni ukungu kwenye lenzi ya jicho unaoathiri uwezo wa kuona. Inaweza kutokea kwa […]

TAUNI

Maelezo ya jumla Tauni (plague) ni ugonjwa wa kuambukiza unaowapata  panya, wanyama wengine na binadamu. Ugonjwa huu husababishwa na bakteria […]

KISONONO

Maelezo ya jumla Kisonono (Gonorrhea) ni ugonjwa wa zinaa. Je, Nini dalili za kisonono? Dalili za kisonono huanza kuonekana siku […]

KIPINDUPINDU

Maelezo ya jumla Kipindupindu (cholera) ni ugonjwa unasababishwa na maambukizi ya bakteria aina ya vibrio cholerae. Mara nyingi maambukizi huwa […]

KICHWA KUUMA

Maelezo ya jumla Kichwa kuuma ni neno linalotumika kuelezea maumivu ya kichwa au sehemu ya juu ya shingo. Kichwa ni […]

ECHOCARDIOGRAM

Maelezo ya jumla Echocardiogram hutumia mawimbi ya sauti ili kuzalisha picha ya moyo. Kipimo hiki humruhusu daktari kuuchunguza moyo ukipiga […]

UGONJWA WA POLIO

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa polio ni ugonjwa unaoathiri mishipa ya fahamu na kusababisha kupooza. Ugonjwa huu husababishwa na virusi […]

HOMA YA EBOLA

Maelezo ya jumla Homa ya Ebola ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya ebola. Ugonjwa huu, huua zaidi ya 90% ya […]

PEPOPUNDA | TETENASI

Maelezo ya jumla Pepopunda (tetanus) ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria. Bakteria hawa huishi kwenye udongo, mate, vumbi na mbolea. Bakteria […]

MALARIA

Maelezo ya jumla Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea wanaoambukizwa na mbu aina ya anofelesi. Dalili za awali za ugonjwa […]

KICHAA CHA MBWA

Maelezo ya jumla Kichaa cha mbwa (Rabies) ni ugonjwa hatari sana wa wanyama unaosababishwa na virusi. Unaweza kuwapata wanyama wa […]

UCHUNGUZI WA NJIA YA HAJA KUBWA

Digital rectal examination (DRE) ni uchunguzi wa njia ya haja kubwa (rektamu) unaofanywa na daktari au mtaalamu wa huduma ya […]

ELECTROCARDIOGRAM

Ni nini? Electrocardiogram – Hufupishwa kama EKG au ECG – ni kipimo kinachopima shughuli ya umeme kwenye moyo. Kwa kila […]

KUFUNGA CHOO

Maelezo ya jumla Kufunga choo (constipation) ni hali ya kushindwa kupata kinyesi (kunya) kwa angalau mara tatu kwa wiki. Mtu […]

MAUMIVU YA TUMBO

Maelezo ya jumla Maumivu ya tumbo ni maumivu yanayotokea popote kati ya kifua na kinena. Dalili za maumivu ya tumbo? […]

HOMA

Maelezo ya jumla Homa (fever) ni dalili inayotajwa mara kwa mara kuelezea ongezeko la joto la mwili kuliko kiwango cha […]

EKSIREI

Eksirei ni nini? Eksirei (X-ray) ni kipimo cha picha ambacho kimetumika kwa miongo mingi. Kinamsaidia daktari kutazama ndani ya mwili […]

DARUBINI

Maelezo ya jumla Darubini (Microscope) ni chombo kinachotumika kuangalia vitu ambavyo ni vidogo sana kuonekana kwa macho pekee . Sayansi […]

ukimwi
UKIMWI

Maelezo ya jumla UKIMWI – Upungufu wa kinga mwilini- ni ugonjwa unaopata mtu baada virusi vya VVU kuharibu mfumo wa […]

KITAMBI

Maelezo ya jumla Kitambi (obesity) humaanisha kuwa una mafuta mengi mwilini. Kuwa na kitambi si sawa na kuwa na uzito […]

KIBOLE

Maelezo ya jumla Kibole (appendicitis) ni uvimbe wa kidole tumbo (appendix) unaosababishwa na maambukizi. Kidole tumbo ni kiungo kidogo kinachoonekana […]

KUTOKWA DAMU

Maelezo ya jumla Kutokwa damu (bleeding) kunaweza kutokea nje au ndani ya mwili: Ndani ya mwili, damu huvuja kutoka kwenye […]

DAMU KWENYE KINYESI

Maelezo ya jumla Mara nyingi kunapokuwepo na damu kwenye kinyesi huashiria kuwa kuna tatizo au jeraha kwenye mfumo wa kumeng’enya […]

SARATANI YA KIBOFU

Maelezo ya jumla Kibofu (bladder) hupatikana kwenye sehemu ya chini ya tumbo, na kazi yake kubwa ni kuhifadhi mkojo. Saratani […]

UVIMBE KWENYE UBONGO

Maelezo ya jumla Ubongo ni sehemu ya mfumo mkuu wa neva. Ni chanzo cha mawazo, hisia, kumbukumbu, lugha, kuona, kusikia, […]

KUCHUNGUZA MATITI YAKO MWENYEWE

Maelezo ya jumla Kuchunguza matiti yako mwenyewe ni sehemu muhimu ya afya kwa wanawake wengi. Inawasaidia kujua matiti yao yalivyo […]

KIKOJOZI

Maelezo ya jumla Kikojozi ”bedwetter” ni mtoto wa miaka 5 mpaka 6 anayejikojolea bila hiari yake. Anaweza kujikojolewa wakati wowote ,iwe […]

MATEGE

Maelezo ya jumla Matege  (bowlegs) huchukuliwa kuwa jambo la kawaida kwa watoto chini ya miezi 18. Mtu mwenye tatizo hili […]

SARATANI YA MATITI

Maelezo ya jumla Saratani ya matiti ni kansa inayotokea kwenye tishu za matiti. Inatokea kwa wanaume na wanawake. Saratani ya […]

UGONJWA WA TEZI DUME

Maelezo ya jumla Tezi dume (prostate), ni tezi iliyo kwenye kizazi cha mwanaume inayozalisha maji maji yanayobeba manii/shahawa. Inaizunguka urethra, […]

KUNUKA MDOMO

Maelezo ya jumla Harufu mbaya ya kinywa au kunuka mdomo (bad breath) ni hali ya kutoa pumzi/hewa kinywani, yenye harufu […]

MAUMIVU YA MGONGO

Maelezo ya jumla Maumivu ya mgongo ni tatizo linalowapata watu wengi sana. Katika kipindi chote cha maisha ya mwanandamu ,watu […]

BERIBERI

Maelezo ya jumla Beriberi ni ugonjwa uletwao na ukosefu wa vitamini B1 mwilini (vitamini B1). Nini dalili za beriberi? Dalili za […]

MZIO

Maelezo ya jumla Mzio (allergy) ni muuitikio (reaction) wa kinga ya mwili usio kawaidMa, unaotokea kwa kitu ambacho kwa kawaida […]

KISUKARI

Maelezo ya jumla Kisukari (diabetes) ni ugonjwa unaoleta matatizo ya kimetaboliki ambayo husababisha kuwepo kwa viwango vya juu vya sukari […]

KUHARA

Maelezo ya jumla Kuhara (Diarrhea) ni hali ya kupata kinyesi chepesi chenye majimaji mengi. Kwa kawaida, mtu mwenye kuhara hupata […]

MSONGO

Maelezo ya jumla Msongo (Stress)  hutokana na wazo lolote au tukio lolote linalokufanya uhisi huzuni, hasira, au hofu. Msongo/ mfadhaiko […]

ULEVI

Maelezo ya jumla Ulevi (Alcoholism) na unywaji wa pombe kupita kiasi (Alcohol abuse) ni matatizo mawili tofauti. Ulevi ni pale […]

KIMETA

Maelezo ya jumla Kimeta (Anthrax) ni ugonjwa wa kuambukiza,unaopatikana kote duniani, unasababishwa na Bacillus anthracis. Bacillus anthracis ni bakteria anayetengeneza […]

AMIBA

Maelezo ya jumla Amiba (Amoebiasis) ni ugonjwa wa matumbo unaosababishwa na vimelea vya Entamoeba histolytica. Je! Ni nini dalili za […]

FISTULA KWENYE NJIA YA HAJA KUBWA

Maelezo ya jumla Fistula/nasuri kwenye njia ya haja kubwa (anal fistula) ni mferiji usio wa kawaida unaotengenezeka kuunganisha njia ya […]

JIPU KWENYE NJIA YA HAJA KUBWA

Maelezo ya jumla Jipu kwenye njia ya haja kubwa (anal abscess) ni mkusanyiko wa usaha katika eneo la mkundu (anus) […]

SARATANI YA NJIA YA HAJA KUBWA

Maelezo ya jumla Kansa ya njia ya haja kubwa ni kansa kwenye mfumo wa kumeng’enya chakula. Mkundu ni sehemu ya […]

UFA KWENYE NJIA YA HAJA KUBWA

Maelezo ya jumla Ufa kwenye njia ya haja kubwa (anal fissure) ni hali inayotokana na kuchanika au kupasuka kwa utando […]

BRONCHIECTASIS (KUHARIBIKA KWA MFUMO WA HEWA)

Maelezo ya jumla Bronchiectasis ni uharibufu unaosababisha kupanuka kusiko kwa kawaida kwa njia ya hewa. Mtoto anapozaliwa na hali hii, […]

MAAMBUKIZI KWENYE NJIA YA MKOJO

Maelezo ya jumla Mambukizi kwenye njia ya mkojo (urinary tract infection (UTI)) yanaweza kutokea mahali popote kwenye njia ya mkojo. […]

KUPANDIKIZA MOYO

Maelezo ya jumla Kupandikiza moyo (heart transplant ) ni upasuaji unaofanyika ili kuondoa moyo ulioharibika au mgonjwa na badala yake […]

MSHTUKO WA MOYO/SHAMBULIO LA MOYO

  Maelezo ya jumla Shambulizi la moyo (heart attack) hutokea pindi tu mtiririko wa damu kuelekea kwenye misuli ya moyo […]

SHINIKIZO LA JUU LA DAMU

Maelezo ya jumla Shinikizo la juu la damu, ni hali ya muda mrefu ambapo shinikizo la damu katika mishipa huwa […]

KIHARUSI

Maelezo ya jumla Kiharusi (stroke) ni hali inayomtokea mtu kunapokuwepo na kizingiti kinachozuia damu kufika katika sehemu fulani ya ubongo.Wakati […]

KANSA/SARATANI

Maelezo ya jumla Saratani au kansa ni ukuaji wa seli sizizo za kawaida mwilini usio na udhibiti. Dalili Dalili za […]

CHUNUSI

Maelezo ya jumla Chunusi (acne) ni hali ya muda mrefu ya ngozi ambayo husababisha kutokea kwa vipele na madoa meupe […]

KIPARA/KUCHOMOKA/KUKATIKA KWA NYWELE

Maelezo ya jumla Kukatika au kuchomoka kwa nywele (alopecia) ni hali ya kupoteza nywele zote au sehemu ya nywele. Je, […]

JIPU

Maelezo ya jumla Jipu (abscess) ni mkusanyiko wa usaha katika sehemu yoyote ya mwili, ambayo mara nyingi huisababisha ivimbe . […]

KUZIBA KWA NJIA YA HEWA

Maelezo ya jumla Kuziba kwa njia ya hewa (airway obstruction) hutokana na uzibe kwenye njia ya hewa, uzibe huu unaweza […]

UKURUTU

Maelezo ya jumla Ukurutu (eczema), ni neno linalotumika kuwakilisha aina mbalimbali za uvimbe wa ngozi. Tatizo hili hujulikana pia kama […]

KICHOMI

Maelezo ya jumla Kichomi ni maumivu ya kifua yanayotokea hasa wakati wa kuvuta pumzi ndani au kukohoa, maumivu haya husababishwa […]

MAPAFU KUJAA MAJI

Maelezo ya jumla Mapafu kujaa maji (pulmonary edema) ni hali isiyo ya kawaida ya maji kujaa kwenye mapafu na kusababisha […]

KOMA

Maelezo ya jumla Koma (coma) si ugonjwa. Ni hali ya kuwa na usingizi mzito sana, mgonjwa huzimia kwa muda mrefu […]

MKAMBA

Maelezo ya jumla Mkamba (bronchitis) ni kuvimba kwa njia kuu ya kupitisha hewa kwenda kwenye mapafu. Mkamba unaweza kuwa wa […]

KURUKWA NA AKILI/ WENDAWAZIMU

Maelezo ya jumla Kurukwa na akili /wendawazimu (psychosis) ni hali ya kupoteza mawasiliano na ukweli, mara nyingi mgonjwa huwa na […]

JIPU LA INI

Maelezo ya jumla Jipu la ini (liver abscess) ni eneo kwenye ini lililojaa usaha. Je! Nini dalili za jipu la […]

VIDONDA VYA TUMBO

Maelezo ya jumla Vidonda vya tumbo (peptic ulcers) ni vidonda kwenye ukuta wa tumbo au duodeni (mwanzo wa utumbo mdogo). […]

ROVU

Maelezo ya jumla Rovu (goitre) ni hali ambayo husababisha kuvimba kwa tezi dundumio (thyroid gland ). Sababu  kubwa inayosababisha kuvimba […]

SARATANI YA MAPAFU

Maelezo ya jumla Saratani ya mapafu ni kansa inayowapata watu wengi duniani kote. Ni kansa inayoongoza kwa kusababisha vifo kwa […]

KIFUA KIKUU

Maelezo ya jumla Kifua kikuu (Tuberculosis) ni maambukizi ya bakteria yanayoua zaidi ya watu milioni 1.8 kote duniani. Takribani watu […]

MAUMIVU/CHEMBE YA MOYO ”ANGINA”

Maelezo ya jumla  Chembe ya moyo ”angina” ni aina ya usumbufu au maumivu ya kifua ambayo yanatokea kama matokeo ya […]

UPUNGUFU WA DAMU MWILINI

Maelezo ya jumla Upungufu wa damu (anaemia) ni hali ambayo humpata mtu,akiwa na upungufu wa seli nyekundu za damu. Seli […]

KIFAFA

Maelezo ya jumla Kifafa (epilepsy) ni ugonjwa wa ubongo unaotokea kama muundo na shughuli za neva kwenye ubongo umevurugika .Ugonjwa […]

PUMU

Maelezo ya jumla Pumu ni ugonjwa unaosababishwa na mkazo wa ghafla na kuvimba kwa njia ya hewa, hii husababisha, kifua […]

Huduma Yako Binafsi Ya Afya Ya Mwili Na Akili ❤

  • Rahisi kutumia.
  • Nafuu kabisa
  • Salama zaidi
Pata Huduma

Watu wanasemaje kuhusu huduma zetu na matibabu?

Soma maoni ya baadhi ya wagonjwa wetu. Asante kwa kutuamini na kushirikiana nasi!

Angalia hapa majibu ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara na watumiaji wetu

Je, unawachagua vipi madaktari wanaotoa huduma?

Madaktari wetu wote wana vyeti halali vya kitaaluma na wamesajiliwa na baraza la afya la Tanganyika na utendaji kazi wao unaendelea kufuatiliwa na kuangaliwa hata baada ya kuajiriwa ili kuhakikisha huduma bora inatolewa.

Je, daktari anaweza kuniandikia dawa za kutumia?

Ndio, daktari anaweza kukuandikia dawa za kutumia, zinazoweza  kutibu maambukizi, mzio na matatizo mengine, ambazo utanunua kwenye duka la dawa au famasi iliyo karibu nawe.

Je, mnapokea bima ya afya?

Hapana, kwa sasa hatupokei bima yoyote, japo ni jambo tunaloliendea huko usoni.

Soma Maswali zaidi

Jiunge Nasi