1. Home
KUUMIA MAUNGIO:Mguu,goti,kiwiko n.k

Maelezo ya jumla Kuumia maungio ‘’sprain/strain’’ ni jambo la kawaida kwenye michezo. Wakati mwingine kano ‘’ligaments’’ za kwenye maungio kama vile kifundo cha mguu huumia kwa sababu ya kuvutwa sana. Hii inatokea kama mifupa itavutwa ghafla kwa nguvu na kusababisha kuachia au kuchanika kwa tishu zinazozunguka maungio. Kwa...

KUVUJA DAMU SANA

Maelezo ya jumla Kuvuja damu sana ni jambo linalomwogopesha mwathirika na mtu anayemsaidia. Mara nyingi hali ya kuvuja damu hutokana na jeraha kubwa kwa vile kuchomwa kisu, kupigwa kwa nguvu au kukatwa sana. Lengo kuu ni kuzuia damu kuvuja na kuendelea kufuatilia hali ya mwathirika kwa ukaribu. Kama kiasi kikubwa sana cha damu kitapotea i...

Categories: 
NAMNA YA KUTOA KIJITI KILICHOKUCHOMA & KUTIBU MKWARUZO AU JERAHA DOGO

Maelezo ya jumla Kujikata kidogo, kujikwaruza mahali na kuchomwa na kijiti ni majeraha ya kawaida. Mkato kwa kawaida huvuja damu kwa muda mfupi tu. Mikwaruzo kwenye ngozi huvuja damu kidogo lakini inaweza kusababisha maumivu na kuruhusu vumbi na uchafu kukwama. Mara nyingi utaweza kuhisi au kukiona kibanzi cha kijiti kilichokuchoma kwenye...

Categories: 
MALENGELENGE

Maelezo ya jumla Malengelenge ‘’blisters’’ kwa kawaida hutokea kwenye miguu na mikono, na husababishwa na msuguano au shinikizo. Mwanzoni ngozi inabadilika na kuwa nyekundu inayouma, kisha majimaji huanza kujikusanya chini ya ngozi na kutengeneza kimfuko kidogo kilichojaa majimaji. Unaweza kupata malengelenge kwenye visigino, unya...

Categories: 
UGONJWA WA RUBELLA / SURUA YA UJERUMANI

Maelezo ya jumla Ugonjwa wa rubella unaojulikana pia kama surua ya ujerumani ‘’German measles’’ ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na virusi. Ugonjwa huu umekua adimu sana siku hizi kwa sababu ya chanjo inayotolewa kukinga ugonjwa huu utotoni. Kwa kawaida husababisha upele mwekundu unaosambaa usoni na kisha kuenea mwili mzima...

MATUBWITUBWI / MACHUBWICHUBWI

Maelezo ya jumla Matubwitubwi au machubwichubwi ''Mumps'' ni ugonwa unaosababishwa na virusi na ulikuwa unawaathiri sana watoto kabla ya enzi za chanjo. Dalili za ugonjwa huu huanza kuonea siku 2 – 3 baada ya kuambukizwa. Dalili za mwanzo za ugonjwa huu ni , na maumivu ya misuli. Baadae hufuatiwa na uvimbe kwenye upande mmoja au pande...

UGONJWA WA KIFADURO

Maelezo ya jumla Kifaduro ‘’pertusis /whooping cough’’ ni aina ya maambukizi makali ya bakteria ambayo yaliwapata sana watoto kabla ya enzi za chanjo. Siku 7 – 21 baada ya kupata maambukizi, mtoto huanza kupata na dalili kama za . Baadae mtoto huanza kupata na kupata unapiga kelele kali ‘’whoop’’ wakati wa kuvuta hewa...

UGONJWA WA MKANDA WA JESHI

Maelezo ya jumla Mkanda wa jeshi ‘’shingles’’ ni ugonjwa unaotokana na kuamka kwa virusi walio bakia mwilini baada ya kuugua ugonjwa wa utotoni. Virusi hawa wa hubakia wakiwa waejificha mwilini na baadae kujitokeza tena kinga ya mwili inapopungua. Eneo lililoathirika huanza kuuma au kuwasha na baadae kufuatiwa na upele wenye male...

UGONJWA WA SURUA

Maelezo ya jumla Surua ‘’measles’’ ni ugonjwa unaoweza kuambukizwa kwa urahisi sana, na ulikuwa ugonjwa uliowapata watoto wengi sana kabla ya enzi ya chanjo kuanza. Inaweza kuchukua mpaka siku 10 kabla ya dalili kuonekana baada ya kuambukizwa. Mwanzoni mtoto anapatwa na kikavu, kuchuruzika makamasi, macho yakuwa mekundu na baadae...

IMANI POTOFU KUHUSIANA NA VVU/UKIMWI

Maelezo ya jumla ni upungufu wa kinga mwilini unaosababishwa na virusi. Virusi hushambulia mwili na kusababisha kinga ya mwili kushuka na mwili kuweza kushambuliwa na magonjwa nyemelezi. Njia kuu ya maambukizi ya ugonjwa huu ni ngono isiyo salama. Hadi sasa, bado hakuna tiba ya , lakini kuna dawa zinazotumika kupunguza m...