1. Home
KUOTA NYWELE SEHEMU ZISIZO KAWAIDA

Maelezo ya jumla Kuota nywele nyingi kuliko kawaida (hirsutism) ni tatizo ambalo linaweza kuwapata watu wa jinsi zote mbili, lakini huwa linawaathiri zaidi wanawake. Baadhi ya wanawake kwa asili yao, wana nywele nyingi mwilini kuliko wengine na wanaweza kuwa na nywele ambazo hawazipendi au hawazitaki hasa usoni au wanaweza kuota nywele ny...

WAOGELEAJI:UGONJWA WA MASIKIO

Maelezo ya jumla Sio kwamba wanaopata ugonjwa huu wa masikio ‘’otitis externa’’ ni wanaoogelea pekee. Unapooga au kuosha nywele, unyevunyevu unaobakia kwenye masikio unaweza kuwa na vimelea ambao wakiingia sikioni wanaweza kusababisha maambukizi.  Tatizo hili pia, linaweza kuwapata watuambaowanafanya kazi kwenye maeneo ya joto au...

Categories: 
NTA AU UCHAFU MASIKIONI

Maelezo ya jumla Kwa kawaida nta masikioni hutengenezwa kwa kiwango kidogo tu ili kulinda sikio na kisha kutawanyika yenyewe. Lakini kama nta inayotengenezwa kwenye sikio ni nyingi sana, inaweza kujaa kwenye sikio, ikakakamaa baada ya kukauka na kuziba kabisa njia ya sikio. Ukitumia vijiti vya kusafisha ili kuondoa nta masikioni, vinaweza...

Categories: 
TATIZO LA KUHARISHA KWA WATOTO

Maelezo ya jumla Yawezekana mwanao amewahi kusumbuka au umewahi kusikia rafiki au ndugu akilalamika kuwa mtoto wake na haelewi ni kitu gani anaweza kufanya. Makala hii inalenga kuwa msaada unapokutana na changamoto ya kuharisha kwa watoto. kwa watot...

Categories: 
KUVIMBA KIMEO/KILIMI

Maelezo ya jumla Kuvimba kilimi/kimeo ni hali inaweza kukera sana . Kuvimba kilimi (uvulitis) mara nyingi huambatana na kuvimba kwa eneo la koromeo (phyrinx), mafindofindo (tonsilitis), kidaka tonge (epiglotis)  au kaakaa la mdomo (palate). Kilimi ni tishu ndogo yenye umbo kama ulimi inayoning'inia kwenye sehemu ya nyuma ya mdomo. V...

Categories: 
TATIZO LA KUSIKIA KELELE MASIKIONI/KICHWANI

Maeleo ya jumla Kama unatatizo la kusikia kelele masikioni au kichwani (tinnitus), unahisi kama kengele inapigiwa masikioni, sauti ''buzzz'' kama mdudu anayeruka au sauti ''hissss'' kama nyoka. Unasikia sauti kama zinaanzia masikioni au kichwani na ukitafuta chanzo cha kelele hizi kwenye mazingira uliyopo hakipo. Kelele hizi zinaweza kuwe...

Categories: 
MAUMIVU YA SIKIO

Maelezo ya jumla Maumivu kwenye sikio moja au yote mawili na kushindwa kusikia mara nyingi hutokana na maambukizi kwenye sehemu ya kati ya sikio ‘’middle-ear infection’’. Unaweza kuwa na na kujihisi unaumwa mwili kwa ujumla. Wakati mwingine ngoma ya sikio inaweza kupasuka kwa sababu ya ongezeko la shinikizo. Baadae majimaji huanz...

Categories: 
KUINGILIWA NA MDUDU/KITU SIKIONI NA JINSI YA KUKITOA

Maelezo ya jumla Kuingiliwa na kitu sikioni ni tatizo. Kama kitu kitaingia na kung’ang’ania ndani ya sikio  kinaweza kusababisha usumbufu na kusababisha ushindwe kusikia kwa kitambo kama kitaziba njia nya sikio. Kama ni kitu chenye ncha kali kinaweza kutoboa ngoma ya sikio. Watoto wadogo wakati fulani wanaweza kuweka vitu masikioni....

Categories: 
TATIZO LA KUUMA, KULA, KUTAFUNA KUCHA

Maelezo ya jumla Watoto wengi na vijana ambao wako kwenye balehe wanauma au kutafuna kucha. Lakini wengi wao, kadri wanavyokua wanaiacha tabia hii. Baadhi ya watu, huendelea na tabia hii ya kula au kutafuna kucha mpaka utu uzima. Inaweza kuwa ngumu kweli kuacha tabia hii. Unaweza kujikuta ukitafuna kucha bila kujitambua, hasa unapokuwa ha...

MBA

MBA

Maelezo ya jumla Mba (dandruff) hazina madhara yoyote, lakini zinakera na zinaaibisha. Ukiwa na tatizo la hili, ngozi ya kichwa inakuwa inatoa seli nyingi zaidi zilizokufa zinazotakiwa kuondolewa. Seli hizi nyeupe kama vipande vya ukoko zinabakia kwenye nywele au mabega kama umevaa nguo yenye rangi nzito. Unaweza kuhisi ngozi ya kichwa in...