1. Home
UKUCHA UNAKUA KWENDA NDANI YA NGOZI

Maelezo ya jumla Kama kidole cha mguu kinauma, ni chekundu na kimevimba kuzunguka ukucha, kuna uwezekano mkubwa utakuwa umesababishwa na ukucha unaokua kwenda ndani ya ngozi au nyama. Kwa sehemu kubwa vidole gumba vya miguu ndio huwa vinaathirika zaidi. Ukucha unaanza kukua kuelekea ndani ya ngozi kwa pande zote mbili na kwa sababu hiyo e...

MAPUNYE | VIBARANGO | MASHILINGI

Maelezo ya jumla Mapunye/ Vibarango/ Mashilingi (Ringworm) ni ugonjwa unaosababisha madoadoa kama magamba kwenye ngozi. Madoa ni ya mviringo, yanayowasha, mekundu na yanaongezeka ukubwa ndani ya wiki moja au zaidi. Mwishowe yanatengeneza umbo kama pete nyekundu. Mashilingi yanaweza kutokea mahala popote mwilini, lakini mara nyingi yana...

KUCHA ZENYE MWONEKANO MBAYA NA ZINAZOKATIKAKATIKA

Maelezo ya jumla Sababu kubwa zaidi inayosababisha kucha zenye mwonekano mbaya ni mambukizi ya fangasi. Mara nyingi fangasi wanathiri zaidi kucha za miguu, hasa miguu inayotokwa jasho au kama haikauki vizuri baada ya kuiosha. lakini pia , kucha zinaweza kupata maambukizi kwa sababu ya unyevunyevu unaojificha chini ya kucha za kubandika....

CHAWA WA NYWELE KICHWANI

Maelezo ya jumla Chawa wa nywele kichwani ni wadudu wenye rangi ya kijivu–kahawia, wanalingana ukubwa na mbegu ya ufuta. Wanaishi kwenye nywele, hasa kwenye shina la nywele karibu kabisa na ngozi ya kichwa. Wanatotoa mayai na yakianguliwa yanatoa chawa wengine wadogo.  Wakishaanguliwa, wanaacha maganda ya mayai meupe, yakiwa yamegandia...

VIDONDA VYA HOMA / VIDONDA BARIDI / TUTUKO

Maelezo ya jumla Vidonda vya homa au vidonda baridi au tukuto, huanza kwa kuwepo kwa mwasho karibu na midomo, kisha kunatokea mkusanyiko wa vipele vidogo ambavyo baada ya muda vinatengeneza malengelenge. Malengelenge haya yakishapasuka, yanatengeneza ganda kifuniko na baadae kwa kawaida kinapona baada ya siku 10. Tatizo hili huwa linasaba...

Categories: 
VIDONDA MDOMONI

Maelezo ya jumla Ukianza kupata kidonda mdomoni unaanza kuwa na maumivu kama umeungua moto, kisha unapata kishimo kidogo cha rangi ya hudhurungi au nyeupe, ambacho baadae hubadilika rangi na kuwa chekundu. Vidonda vya mdomoni huwa vinajirudia rudia lakini haviambukizi. Vidonda vya mdomoni ni rahisi sana kuwapata watu ambao wana au walioc...

Categories: 
KUPASUKAPASUKA KWA MIDOMO

Maelezo ya jumla Kila mmoja wetu kwa wakati fulani anapatwa na tatizo hili la kukauka na kuchanika au kupasukapasuka kwa midomo. Midomo inaathiriwa kwa urahisi na mwanga wa jua, inakauka kwa urahisi sana wakati wa baridi na hali ya hewa yenye upepo au kama unakaa kwenye vyumba vinavyopashwa joto ‘’heated’’. Tatizo hili huwa linaon...

Categories: 
UCHAFU UNATOKA UKENI

Maelezo ya jumla Ni hali ya kawaida kwa mwanamke kutokwa na uteute ukeni. Uteute huu huwa hauna rangi au unakua mweupe, kiasi na uzito wa uteute huu hutofautiana katika nyakati tofauti katika mzunguko wa hedhi, wakati wa ujauzito, na wakati wa mshawasha anapohitaji kushiriki ngono. Hata hivyo, uteute unapoongezeka au kuwa na harufu mbaya...

MAUMIVU WAKATI WA NGONO

Maelezo ya jumla Wanawake wengi wanahisi maumivu wakati wa ngono kwa wakati fulani. Wakati mwingine, tatizo linaweza kuwa la kimwili: Kwa mfano, ngono huleta karaha kama umetoka kujifungua hivi karibuni, hasa kama ulishonwa au kama ulipata mchaniko wakati wa kujifungua au kama umefikia na uke umekuwa mkavu kwa sababu ya kupungua kwa kila...

KUWASHWA UKENI (SEHEMU ZA SIRI)

Melezo ya jumla Kuwashwa ukeni au eneo linalozunguka uke ni tatizo linaloleta karaha na kukera sana mchana na linaweza kusababisha usilale wakati wa usiku. Eneo la uke linaweza kuwa kavu, jekundu na kuvimba na unaweza kupata maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa ngono. Hali ya huwa inazidi zaidi wakati wa joto. Kuwashwa mara nyingi huto...