1. Home
KUSHINDWA KUZUIA MKOJO

Maelezo ya jumla Wanawake wengi wana tatizo la kushindwa kuzuia mkojo, yaani wanajikojolea kwa sababu ya kushindwa kudhibiti kibofu. Tatizo hili linazidi zaidi kunapoongezeka mgandamizo kwenye kibofu, kwa mfano unaweza kujikojolea/ kushindwa kuzuia mkojo , kupiga chafya, kufanya mazoezi, au kuinua kitu kizito. Hali hii inaweza kusababishw...

UKOMO WA HEDHI NA MATATIZO YAKE

Maelezo ya jumla Ukomo wa hedhi (menopause) ni mabadiliko ya asili ya mwili yanayowatokea wanawake wenye umri kati ya miaka 45 mpaka 55, kwa sababu ya kupungua kwa kiwango cha homoni ya kike ‘’estrojeni’’. Mwanzoni, damu ya hedhi inaanza kuwa nyepesi, baadae inaanza kukosekana kabisa kwa baadhi ya miezi na hatimae inakoma kabisa k...

MAAMBUKIZI KWENYE KIBOFU

Maelezo ya jumla Maambukizi kwenye kibofu (cystitis) yanasababisha utando unaofunika sehemu ya ndani ya kibofu kuvimba, na mara nyingi tatizo hili linatokana na maambukizi. Kama ukiwa na maambukizi ya kibofu, unahisi maumivu kama unaungua unapokuwa unakojoa na unajihisi kukojoa mara kwa mara, hata kama hakuna mkojo kwenye kibofu. Mkojo ua...

ZIJUE DALILI ZA AWALI ZA UJAUZITO

Je, una wasiwasi kuwa una ujauzito? Kwa kweli njia pekee kujua kama wewe ni mjamzito ni kupima ujauzito. Hata hivyo, zipo dalili za awali za ujauzito zinazoweza kukujulisha kuwa yawezekana ukawa mjauzito. Wajawazito wote wanapata dalili za kufanana? Ukweli ni kwamba wanawake hawapati dalili za...

MATATIZO YANAYOTOKEA SIKU CHACHE KABLA YA HEDHI

Maelezo ya jumla Wanawake wenye matatizo yanayotokea siku chache kabla ya hedhi ‘’premenstrual syndrome’’ husumbuliwa na dalili kadhaa ambazo huanza siku angalau siku 7 kabla ya hedhi na kuanza kupungua baada ya damu ya hedhi kuanza kutoka. Unaweza kuwa mwenye kisirani, mgomvi, mwenye hasira, mwenye au unaweza kuwa na wasiwasi mw...

CHUCHU YA TITI ILIYOPASUKA

Maelezo ya jumla Kina mama wengi waliojifungua siku za hivi karibuni, wanapatwa na maumivu kwenye chuchu katika wiki za kwanza kwa sababu ya kunyonyesha. Chuchu moja au zote zinaweza kuuma, zikawa nyekundu na kukunjamana na zinaweza kuvuja damu kwa kurahisi kama ngozi itapasuka. Chuchu ya titi iliyopasuka huwa inatokana na kushindwa kumsh...

MAUMIVU NA UVIMBE KWENYE MATITI

Maelezo ya jumla Wanawake wengi wanapatwa na shida hii ya maumivu na uvimbe kwenye matiti. Dalili mara nyingi zinaathiri matiti yote mawili na huwa zinahusiana na mabadiliko ya homoni wakati wa mzunguko wa hedhi. Siku chache kabla ya kupata damu ya hedhi unaweza kupata maumivu na uvimbe kwenye matiti na yanaweza kuuma yakiguswa. Dalili hi...

MATATIZO YA LENZI ZA MACHO

Matatizo ya lenzi za macho ‘’contact lens ‘’ Sababu kubwa ya matatizo ya lenzi za macho yanatokana na lenzi ambayo haikai sawa kwenye jicho, lenzi ambayo haifanyiwi usafi vizuri, lenzi ambayo inaharibiwa na dawa za kusafishia na vumbi au mazingira yenye upepo mwingi. Kama ukivaa lezi kwa muda mrefu au kukiwa na kipande cha uchafu...

Categories: 
KUONDOA KITU JICHONI

Maelezo ya jumla Kama ukiingiliwa na kitu jichoni, kinaweza kuleta usumbufu , kikasababisha wekundu kwenye jicho, kutokwa machozi na hata kupunguza uwezo wa kuona. Mara nyingi utakuta kitu kilichoingia jichoni ni kidogo sana, kama vile unywele wa kope, kipande cha vumbi au uchafu, na hivi huoshwa na kuondolewa na machozi unapofumba na kuf...

Categories: 
TATIZO LA UKAVU WA MACHO | KUPUNGUA KWA MACHOZI

Maelezo ya jumla Macho yanaweza kuwa makavu unapokuwa hautengenezi machozi ya kutosha au kama machozi unayotengeneza hayalowanishi macho vizuri. Ukiwa na tatizo la kupungua kwa machozi unaweza kuhisi macho yanakwaruza, kunata na kama yana mchanga ndani. Mtu wa umri wowote anaweza kupatwa na hili tatizo, lakini watu wazima, hasa wanawake a...

Categories: