1. Home
KUWASHWA MACHO

Maelezo ya jumla Macho yanayowasha mara nyingi utakuta ni mekundu, yanawasha na unahisi kama yanaungua hivi. Unahisi kujikuna kila mara. Kitu chochote kinachosumbua macho, kama vile hali ya hewa, vumbi au maambukizi, kinaweza kusababisha kuwashwa macho. unaosababishwa na chemvua za mimea au mjibizo mbaya unaotokana na ''chlorine'' inayow...

Categories: 
JERAHA LA JICHO BAADA YA KUPIGWA

Maelezo ya jumla Damu huwa inavilia chini ya ngozi inayozunguka jicho kama umepata jeraha la jicho baada ya kupigwa na kitu, kama vile ngumi moja kwa moja kwenye jicho. Kwa sababu damu imevilia chini ya ngozi, eneo linalozunguka jicho linaoneka jeusi kuliko kawaida ‘’black eye’’ kwa sababu eneo hili ni rahisi kuumia. Mara nyingi u...

Categories: 
KIKOPE

Maelezo ya jumla Kikope (stye) ni uvimbe mwekundu unakuwa juu au ndani ya ukingo wa kope ya jicho lako, uvimbe huu unaouma huwa unaaanza kuvimba na kuongezeka ukubwa ndani ya siku kadhaa. Uvimbe huu huw unatokana na maambukizi ambayo huwa yameanzia kwenye shina la unywele wa kope (eyelash). Inaweza ikawa ngumu kufungua jicho au unaweza ku...

Categories: 
MATATIZO WAKATI WA KUKOJOA

Maelezo ya jumla Matatizo wakati wa kukojoa kwa wanaume wengi huwa yanaanza uzeeni na huwa yanasababiswa na . Tezi dume ni tezi inayopatikana chini kidogo ya kibofu. Mara nyingi tatizo hili huwa huwa sio kwa sababu ya, lakini kwa baadhi ya nyakati linaweza kuambatana na saratani. Kadri tezi dume inapoendelea kukua inabana kibofu na kusaba...

Categories: 
KUWAHI KUFIKA KILELENI

Maelezo ya jumla Kuwahi kufika kileleni, ni pale mwanaume anapomwaga manii muda mfupi tu baada ya msisimuo wa kingono, kabla tu au muda mfupi tu baada ya kuingiza uume kwenye uke. hili ni tatizo linalowapata wanaume wengi, hasa vijana wadogo wanaoanza ngono. Tatizo hili mara nyingi linasababishwa na hamu au mshawasha na/au wasiwasi ambao...

Categories: 
KUSHINDWA KUSIMAMISHA UUME

Maelezo ya jumla Wanaume wengi huwa wanapata shida hii ya kushindwa kusimamisha uume kwa wakati fulani au wengine wanaweza kusimamisha ila baada ya muda uume unalala na hausimami tena. Sababu kubwa huwa ni, , matumizi ya au ugonjwa wa hivi karibuni. Kama ukiamka asubuhi unakuta uume umesimama, basi kushindwa kusimamisha kwa siku moja sio...

Categories: 
MAUMIVU YA PUMBU

Maelezo ya jumla Jeraha dogo tu kwenye pumbu halisababishi matatizo ya kudumu, lakini maumivu makali yanaweza kutokea kwa sababu ya kujipinda ‘’torsion’’ kwa moja ya korodani iliyo kwenye pumbu, na hii inaweza kusababisha matatizo ya kudumu. Maumivu makali ya pumbu, na wakati mwingine kuvimba kwa pumbu, kunaweza kusababishwa na ma...

Categories: 
MAUMIVU YA UUME

Maelezo a jumla Ngozi inayoufunika uume ni nyepesi na ni rahisi kuumia. Mikwaruzo midogo midogo inaweza kutokea wakati wa michezo au wakati wa ngono. Maumivu kwenye kichwa cha uume yanaweza kusababishwa na usafi duni au kwa sababu ya harara inayosababishwa na sabuni au maambukizi, hii ni pamoja na maambukizi ya. Dalili nyingine za ni pam...

Categories: 
KUWASHWA SEHEMU YA KUTOLEA HAJA KUBWA

Maelezo ya jumla Kuwashwa sehemu ya kutolea haja kubwa (mkundu), ni hali inayoleta karaha sana na inaweza kuaibisha kwa sababu unapata hamu kubwa ya kutaka kujikuna. Ngozi inayozunguka mkundu inaweza kuwa nyekundu na inayouma, na inaweza na hata kupata maambukizi kama utapakuna sana. Kuwashwa mara nyingi huwa kunazidi baada ya kujisaidia...

BAWASIRI

Maelezo ya jumla Bawasiri ni ugonjwa ambao unatokana na kuvimba kwa mishipa ya damu ndani au kuzunguka njia ya kutolea haja kubwa ‘’mkundu’’. Tatizo hili mara nyingi linawaathiri zaidi watu ambao wana tatizo la, ambalo linasababisha wanajikamua sana wakiwa chooni au kama wanapata matukio ya ya mara kwa mara. Dalili kubwa ya bawasi...