1. Home
KUHARA BAADA YA KULA CHAKULA KILICHOHARIBIKA

Maelezo ya jumla Matukio mengi ya kuhara baada ya kula chakula kilichoharibika au kichafu, husababishwa na usafi duni wakati wa kuandaa, mapishi na utunzaji wa chakula. Kwa sababu ya mazingira haya ya uchafu, inaruhusu bakteria na virusi kuzaliana na kuharibu chakula. Vyakula vinavyoharibika kwa urahisi ni samaki, maziwa, mayai ambayo hay...

KUVIMBIWA NA KUJAMBA

Maelezo ya jumla Kuvimbiwa na kujamba ni tatizo la kawaida linalosababishwa na kujaa kwa hewa ndani ya mfumo wa umeng’enyaji wa chakula. Unaweza pia kuhisi au kusikia sauti za kuunguruma ndani ya tumbo. Matukio mengi ya kuvimbewa na kujamba yanatokana na chakula, baadhi ya vyakula kama maharage na kabeji vinatoa kiasi kikubwa cha hewa...

KUTAPIKA WAKATI WA SAFARI

Maelezo ya jumla Kama una tatizo la kutapika wakati wa safari, utahisi, na wakati mwingine unapokuwa umekaa ndani ya gari, meli, garimoshi au ndege. Kama motokaa itaendele kutembea, hali inaweza kuzidi kuwa mbaya zaidi, na unaweza kuanza , kupumua haraka haraka na mwishoni. Tatizo la kutapika safarini linatokea kunapokuwepo na mkanganyi...

Categories: 
MAPIGO YA MOYO KWENDA MBIO

Maelezo ya jumla Kwa kawaida moyo unapopiga huwa hatuna ufahamu au kuhisi kuwa unapiga, lakini unapoanza kwenda mbio au kupiga isivyo kawaida unahisi unaenda kwa kasi au unapiga isivyo kawaida. Kwa wakati mwingi hali hii ni ya kawaida. Sababu za hali hii ni pamoja na mazoezi, furaha, , wasiwasi na kutumia viams...

KUKOROTA

Maelezo ya jumla Kukorota ni sauti kama mluzi inayotokea mtu anapokuwa anapumua kutoa hewa nje. Kifua kinaweza kuwa kimebana na unaweza kupata shida kupumua. Sababu kubwa ya kukorota ni ; tukio la mara nyingi husababishwa na unaosababishwa na kuvuta hewa yenye kizio kama vile vumbi, au kwa sababu ya , hewa ya baridi au mazoezi. Sababu n...

KUKOHOA

Maelezo ya jumla Sababu kubwa ya kukohoa ni usumbufu au kuvimba kwa mapafu au koo kwa sababu ya , maambukizi kwenye kifua au . Vitu vinavyosababisha usumbufu kama moshi wa tumbaku, vumbi na chamvua za mimea, zinaweza kusababisha ukakohoa. Kamasi zinazotiririka kutoka juu kwenda chini kwenye sehemu nyuma ya koo â€...

VIDOLE VINAPATA BARIDI SANA

Maelezo ya jumla Ni kawaida kwa vidole vya miguu au mikono kushikwa na baridi. Lakini kwa baadhi ya watu, vidole vinashikwa na baridi kali sana utadhani vimetoka ndani ya jokofu/friji. Mzunguko usio wa kutosha wa damu kwenda kwenye vidole vya mikono na miguu au upungufu wa homoni zinazotolewa na tezi dundumio ‘’thyroid gland’’ una...

MAUMIVU YA MIGUU

Maelezo ya jumla Mguu ''foot'' unahimili mikwaruzo na shinikizo kubwa sana. Baada ya kusimama au kutembea kwa muda mrefu, unaweza kuwa na maumivu ya miguu na hata kuvimba. Miguu ikitumika sana inaweza kuwa na maumivu ya uwayo, , maumivu ya misuli ya miguu au kukaza kwa kano "tendons" za miguu. Viatu ambavyo havikutoshi, vinavyobana au amb...

MAUMIVU YA KISIGINO

Maelezo ya jumla Kuvimba kwa wayo wa mguu ‘’plantar facitis’’ ndio sababu kubwa ya maumivu ya kisigino ‘’heal pain’’, mgonjwa anapata maumivu makali sana akikanyaga chini baada tu ya kuamka asubuhi au baada ya kukaa bila kutembea kwa muda mrefu. Tatizo hili linaweza kutokana na shughuli kama kukimbia, na unaweza kujihisi v...

KUVIMBA KWA VIFUNDO VYA MIGUU

Maelezo ya jumla Kuvimba kwa vifundo vya miguu ‘’swollen ankles’’ kunaweza kutokea baada ya kukaa kwa muda mrefu bila kufanya lolote, kwa mfano; wakati wa safari ndefu ya gari au ndege au kama unatumia muda mrefu ukiwa umesimama, hasa katika mazingira ya joto kali. Kuvimba kwa vifundo vya miguu hutokana na kutwama kwa majimaji mig...